Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

hamia airtel yatosha babalao
airtel kwenda mitandao mingine masaa 24

Tsh 399= dk 5+50sms+15mb

Tsh 499= dk 10+300sms+75mb

Tsh 599= dk 15+350+100mb

Tsh 649= dk 17+459sms+125mb

Tsh 999= dk 25+1000sms+150mb

UJINGA WETU UNATUPONZA HAMIENI
HUKU....
AIRTEL YATOSHA

Airtel nao washafanya yao vifurushi vyote vya siku utapata 10 Mb
 
Sasa tutakuwa namna hii
 

Attachments

  • 1423809764553.jpg
    1423809764553.jpg
    71.3 KB · Views: 176
We boya kweli !! ina maana hadi leo hujui kuwa ccm ni ukoo wa panya?
 
Kwa hiyo hata ile kauli ya jkiongozi wa nchi kua mkonga wa taifa utapunguza sana gharama za mawasiliano ikiwemo intternet ilikua ni uongo??sasa tutamuamini nani kama makampuni binafsi yanajiamulia tu yatakayo huku tuliowapa dhamana ya kutuongoza na kutupigania wakiwa kimya au wakiyaogopa hayo makampuni??
 
Mkuu huu wizi wa haya makampuni ya simu unaamuliwa na TCRA. Wao ndo wanawapangia nini cha kufanya. Huoni kuwa its just a coincidence kote wameamua the same??

Mkuu yaani hilo liko wazi.. Hapa ninasubiri kupata confirmation from Airtel kwamba na wao wameongeza ili niziamini rasmi taarifa nilizozisikia chini ya kapeti..
 
uwiii wakipunguza wakati wako ktk hii promosheni ya "yatosha zaidi" mbona na wao watakuwa viazi, mmmh!! kunani kinaendelea!!!

Naendelea na kauchunguzi atoto.. Soon nikishathibitisha ntakupa taarifa..
 
Last edited by a moderator:
lengo ni kutufanya tusijadili mambo ya taifa kwa kina ile hali watumiaji katika hili tunaelimishana na kujuzana mema na mabaya yanayo jiri dunian ila tupambane kitaeleweka tu huu ni uhun na ni wizi hawajatoa taarifa yoyote voda na tigo nimeona mabadiliko hayo jana
 
Mitandao ya simu inatengeneza mamilioni ya faida kila siku, lakini sijui kwa nini hawataki kuweka huduma rafiki kwa watumiaji!;!!!!?
😡
 
G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HUU
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU
YOUR FIRED!!!!.......... 👹 📌 🔧
MB 8 ............NAZIPELEKA WAPIIIIIIIII HATA
MUKTASARI WA GAZETI LA MWANASPORT SIPATI......sambaza had ifke voda
 
Ajabu sana tz viongozi wanafanya biashara na haya makampuni ya simu za mikononi ndio maana gharama zinaongezwa kinyemela viogozi wamekaa kimya.Jiulize mtumiaji atalazimishwaje kununua bando yenye muda wa maongez,sms na internet badala ya kupewa option achague huduma anayotaka kulingana na mahitaji yake. je ni wangapi wenye simu za kutumia internet?. je hiyo budle ya internet isipotumika zinaenda wapi, na sms zinazobaki zinaenda wapi kama sio wizi wa mchana ni nini.utashangaa unalazimishwa kutumia bundle ndani ya muda viginenvyo unaporwa bila taarifa hata kama hukutumia kutokana na dharura kwa mfano maeneo mengi umeme unakatika mtu hawei kuchaji simu yake na kuitumia matokeo yake anakatwa budle yake yote. huu ni wiziiiiiiiiiii.
TCRA chukueni changamoto hii
 
Last edited by a moderator:
G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HUU
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU
YOUR FIRED!!!!.......... 👹 📌 🔧
MB 8 ............NAZIPELEKA WAPIIIIIIIII HATA
MUKTASARI WA GAZETI LA MWANASPORT SIPATI......sambaza had ifke voda
 
Nahamia rasm airtel o zantel, wanaojua bundle za zantel plz ili nkichagua nisibadili tena.. maana mpaka sasa airtel ndo wananishawishi

Zantel Epic ya 500 unapata dk 25 mitandao yote, internet free, 500sms kwa 24hrs.
 
Hili litakua swali na 41 kwa Mh January Makamba.kama vifurushi vinapandishwa hivi na serikali ya ccm imeleta mkongo wa taifa na ww kana naibu Wazir ulisema utaleta unafuu katika mawasiliano na internet itakua faster na bei poa sasa imekuaje inapanda kihun bila t aarifa kwa watumiaji na ww kama naibu waziri umelishindwa hilo kulisimamia je kuongoza Watanzania million 48 na matatizo lukuki yanayotukabili atafanyaje kama ili la simu limekushinda
 
Back
Top Bottom