Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu inatengeneza mamilioni ya faida kila siku, lakini sijui kwa nini hawataki kuweka huduma rafiki kwa watumiaji!;!!!!?
😡

Makampuni ya simu kazi yao ni kufanya biashara ili kupata faida kubwa, hatupaswi kuwalaumu.

Tatizo ni TCRA, hii mamlaka ni hovyo sana.
Imeshindwa kusimamia makampuni ya simu, kuna uwezekano mkubwa wanapga 10% kwenye haya makampuni.

TCRA mnatia aibu na kinyaa.
 
Mnamlaumu makamba tu,maelekezo na makubaliano yote yanatoka kwa hendisamu boi.....!!
 
Makampuni ya simu kazi yao ni kufanya biashara ili kupata faida kubwa, hatupaswi kuwalaumu.

Tatizo ni TCRA, hii mamlaka ni hovyo sana.
Imeshindwa kusimamia makampuni ya simu, kuna uwezekano mkubwa wanapga 10% kwenye haya makampuni.

TCRA mnatia aibu na kinyaa.

Bila shaka itakuwa hivyo.Haiwezekani kukosekane Sera/mwongozo/kanuni/sheria za viwango vyenye kuwajali watumiaji
 
Hao vijana unaowategemea leo wote wamekasirika vifurushi vya bundle vimeshushwa zaidi ya asilimia 400 kwenye upande wa internet, wakati huo huo serikali inatuambia tuko kwenye ulimwengu wa science na technolojia kwa gharama hizi hatuwezi ku-afford hata siku moja.Mb8 huwezi peruzi chochote kwenye internet.

Waziri wewe ndio una dhamana na hili, in this you are out brother, tegemea hata maandamano.

Urais tegemea kura za ambao hujawakwaza kwa hili.

ACHA IZO WEWE, AMIA TIGO BHADO WAKO VEMA, UNAMLAUMU UYO MAKAMBA KIVIPi??
KWANI HUJUI KUWA UYU MTOTO KAKULIA KATIKA FAMILIA ZA KIFISADI KAMA ILIVYO KWA WATOTO WENGINE WA VIGOGO WA CCM??
 
G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HUU
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU
YOUR FIRED!!!!.......... 👹 📌 🔧
MB 8 ............NAZIPELEKA WAPIIIIIIIII HATA
MUKTASARI WA GAZETI LA MWANASPORT SIPATI......sambaza had ifke voda
 
Kwa sasa voda nanunua kifurushi cha internet tu siyo cha muda wa maongezi. Huko nako wakishusha natafuna laini yao.
 
Hii ni mipango maalum ya TCRA ya kutuondoa kwenye Internet.
 
G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HU
U
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU Ndugu
yangu TWISSA Unaniangusha aisee
 
dahh hii nchi hii!!afu walituambia kuna kitu wanakijenga chaitwa mkongo wa taifa na faida mojawapo ni kushusha gharama za internet!!lakini cha kushangaza gharama ndo zimepanda!!nadhan inabidi kifanyike kitu hapa!!inabidi watueleze reason ya kufanya hvo!!haiwezekan mitandao yote wapandishe gharama kiasi hiki!!January embu njoo hku!
 
Huyu jamaa fani yake vipara tu. hana uwezo yuko pale kwa kofia ya baba yake tu. mtihan wenye aliiba mtupu kabisa
 
Yaani tena tunataka gharama za chini kbsa za internet. Naomba vyombo vya habari, radio, magazeti na tv watusaidie kulisemea hili pamoja na ukweli kwamba ni wadhamini wao wakubwa
 
This is a corrupt gvt,siamini kama mtu hajashikishwa mlungula kwenye hili.Huyu Makamba asahau urais
 
Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wadau mbalimbali wanaotumia simu za mkononi hasa kwenye swala.la makampuni haya kujiongezea riba zisizo na kichwa wala miguu na kuongeza maisha kuwa magumu kwa kila mtanzaniaa
Na makampuni hayo wakiongozwa na vodacom wamekuwa wakiongoza uharamiaa hii na wizara husika ambayo iko chini ya mmoja ya mtu anetajwa kugombea nafasi za juu kwa kushika nchi uku akijinadi kuwa nchi hii inahitaji rahisi kijana ambae atakuwa active kwaajili ya matatizo ya watanzania
Sasa kama amekuwa naibu kashindwa kutusimamia katika hili je akiwa raisi si atatumaliza huyu

Nafikili tutafakali juu ya hilii
 
Kila kona kishanuka si voda,airtel au tigo bado zantel,ttcl na smile tu kukinukisha sasa
 
Itafikia kifurushi cha buku ni zero zero Aaaargh
 
Tunaomba kujulishwa ni kitu gani kimetokea hadi maamuzi haya ya kiharamia yakafanywa na makampuni ya simu.
 
Jamani eeeh mnazidi kuniongezea hasira nyingine. Hivi nikimaliza kuandika hii post naelekea Vodacom HQ wakaniambie kumetokea nini kwenye salio langu. Sijaweka tena salio mpaka leo nipate maelezo ya kuridhisha.
Juzi nimeweka salio la 3000 na kwenye simu kulikuwa na salio sio chini ya buku, nikatuma msg ya kawaida 1 na ya JAY Milionea 1 tu. Baadaye napiga simu naletewa msg eti salio langu halitoshi. Kuangalia salio kweli linasoma Tsh. 11. Hii inakuaje wadau ni kwangu tu au ndio gharama za msg 1 ni 2000, ya Jay milionea nayo 2000?
 
Back
Top Bottom