Nguyeyo go
Member
- Jan 21, 2015
- 60
- 21
Nilisikia kunakampuni moja kutoka malyesia inakujua jamani imefika wapi?
499= mb 8
999 = mb 8
Kifurushi cha wiki kwa 1999 ilikuwa mb 300, sasa mb 8...
Hivi hatuwezi kugomaaa khaaaa...?!!!
Jiunge internet tupu...sh 3500 1GB
Wanatuamsha waTZ lakini sisi bado tumelala tu!!
Yule mtaka urais kutoka tanga si ndio anaongoza hii wizara labda anaweza kuja na tamko...tusubiri tuone.
kuanzia mwanzo nilikua napinga hivi vifurushi. sikuona mantiki ya uwepo wake zaidi sana ya kuwa manipulative. kwanini wasiweke gharama standard ambazo ni reasonable na affordable kwa wateja wao kuliko kuwa na ofa zisizoisha kila siku. hapa ndipo utaona umuhimu wa kuwa na umoja wa walaji wa bidhaa na huduma.