kimbisi mbisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 508
- 132
Hivi makamba si yumo humu, mbona hajibu?
Yaani kuperuzi thread tano tu mb 8 zimeisha.
Yaani kuperuzi thread tano tu mb 8 zimeisha.
Hivi makamba si yumo humu, mbona hajibu?
Yaani kuperuzi thread tano tu mb 8 zimeisha.
Wanatafuta fedha za kuhonga wagombea wa uchaguzi... nchi inakera sana... tuliempa rungu nae anasema hana uwezo wa kututetea, kisa conflict of interest!!!Crimea said:Vodacom pamoja na Tigo Leo wameshangaza Watanzania, hii ni baada ya kupunguza muda wa maongezi pamoja na MB. Bado hawajaweka bayana nini kinachoendelea chini ya kapeti tumesubiri hata kutumiwa ujumbe ila hakuna kitu.
Huyu jamaa fani yake vipara tu. hana uwezo yuko pale kwa kofia ya baba yake tu. mtihan wenye aliiba mtupu kabisa
mwache aendelee kunyoa vipara tu
Kumbe hata mtihani aliiba basi hafai kuwa hata balozi wa nyumba 10
Mnamlaumu makamba tu,maelekezo na makubaliano yote yanatoka kwa hendisamu boi.....!!
Hao vijana unaowategemea leo wote wamekasirika vifurushi vya bundle vimeshushwa zaidi ya asilimia 400 kwenye upande wa internet, wakati huo huo serikali inatuambia tuko kwenye ulimwengu wa science na technolojia kwa gharama hizi hatuwezi ku-afford hata siku moja.Mb8 huwezi peruzi chochote kwenye internet.
Waziri wewe ndio una dhamana na hili, in this you are out brother, tegemea hata maandamano.
Urais tegemea kura za ambao hujawakwaza kwa hili.
Mkuu watanzania hatuwezi kumchagua kimeo kama huyu January kuongoza nchi yetu labda agombee uraisi wa manzese pia raisi ajaye atatoka nje ya ccm.Mie hata cjawai kumfikiria kama atakuja kuwa rais na akiupata nahama nchi. Mtu alieshindwa kufufua shirika moja tu LA TTCL ndo ataweza kimeo vilivyoachwa na JK
Mnan'ang'ania vodacom wanini wakati airtel wana super internet speed na viwango nafuu Sana vya data?
Mfano ukinunua vocha ya 500 yakujiunga moja kwa moja unapata 15 minutes kwenda mitandao yote SMS 300 na 125 Mb.....
Cha buku unapata 30 minutes to all networks 1000sms na. 300 mb
kuna vifurushi unajiunga kwa kupiga *149*81# ni very cheap mnahangaika na hao makabaila wanini?
Nimehamia airtel siku nyingi nainjoi maisha achana na wahuni hao.....
Mkuu watanzania hatuwezi kumchagua kimeo kama huyu January kuongoza nchi yetu labda agombee uraisi wa manzese pia raisi ajaye atatoka nje ya ccm.
Mkuu vip saiv umekimbilia wapi maana na Airtel wameshafanya yao!?
Serikali imechukua hatua hii kupunguza wachangiaji katika jamii forums!G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HUU
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU
YOUR FIRED!!!!..........   
MB 8 ............NAZIPELEKA WAPIIIIIIIII HATA
MUKTASARI WA GAZETI LA MWANASPORT SIPATI......sambaza had ifke voda
Huyu nadhani hata Urais wa Nyumba yake hauwezi!