Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Usipoteze mda hamia mtandao mwingine,mm nimeshaachana na vodacom!
 
hata tigo nao sasa wanatoa MB 8...kwa wenye blackberry bora ujiuge na huduma za blackberry 17000 kwa mwezi na unlimited
 
Pfof. Makame, Makamba, Inocent Mungi mpo wapi?
 
Hii haiewezekani ni wizi na uhuni tu vodacom hawafai kabisa me pia natupa laini ya voda kabisa huu ni ufa*********l kuendelea kutumia voda
 
Jamani siamini tigo napo mambo ni yale yale mb8 kwa siki na mb60 kwa week
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa watumiaji wa smartphone, tigo nao wamepunguza mb hadi mb8 kwa siku hii ni mara baada ya hapo jana voda kupunguza hadi mb8.
 
nakushauri nunua mb kivyake na bando la sms + calls kivyake kama mimi..

nanunua bando la mb 300 kwa sh 400 kwenye airtel kisha nanunua bando la calls na sms kwa 400
 
Nahamia rasm airtel o zantel, wanaojua bundle za zantel plz ili nkichagua nisibadili tena.. maana mpaka sasa airtel ndo wananishawishi
 
Back
Top Bottom