Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,552
- 21,685
Last edited by a moderator:
na airtel nao wamepunguza mamaeeee
Kutokana na watu wamekuwa na uelewa kuhusu mambo ya serikali na madudu yake kupitia mitandao ya kijamii, na pia taarifa kuwafikia wananchi kwa haraka sana kupitia mitandao ya kijamii , serikali imeona ni heri kutumia hii njia ili kupunguza mawasiliano na taarifa zinazohusu sekta binafsi na serikali kwa pamoja. Si bure mitandao yote itofautiane siku moja moja kupunguza hii ni amri kutoka juu. Serikali ya ccm imekuwa mwiba na sumu kali zaidi ya nyonga ya mamba kwa wananchi wake hakuna penye neema kabisa kila sehemu ni matatizo tu. Wananchi wenzangu mwezi october ndio kimbilio letu . Amina.
Ukiona hivyo ujue TCRA ndio waratibu wakuu
TTCL imemfia mkononi mwake, Voda na Tigo ndio hivyo tena, wametoka kufoji Airtime cards sasa wameamua kupunguza kabisa, tukimbilie wapi sie? halafu eti yeye yuko Busy kuandika Vitabu, subutuuuu yake, hivi Chakaza kule nyumbani Bumbuli bado wanapata ile huduma ya sms za bure? Hahahahaahhaaa
Mtandao pekee ambao una haki ya kuulalamikia ni TTCL Hiyo mingine Biashara Huria. Hata wakikushushia ni kwa sababu za kibiashara.
Dawa ni kuhamia aiertel yatosha tu.