Umefaidikaje na mitandao ya kijamii?

Miss Champagne

JF-Expert Member
Sep 2, 2020
2,157
6,309
Umefaidikaje na kujipost mitandao ya kijamii?

Mitandao mfano Facebook Instagram,tik tok nk

Je unalinda vipi usalama wako wako ?kama vile mtu ana nia mbaya na wewe ama ugomvi,akitaka kukujua ukoje na details kuhusu wewe anazama tu mtandaoni akisearch anakupata,picha zako kibao Anazo.anajua umesoma wapi,unaishi wapi,familia zako,ndugu,watoto wako,mke,mume,unafanya kazi gani nk!?

Uhalinda vipi privacy yako kuepusha matumizi mabaya mfano mtu anachukua picha yako anaenda kutengeneza memes unaanza kyrend unageuka kichekesho mtandaoni?

Ukiachana na kufanya biashara na kumake money online..

Wewe binafsi account zako binafsi zimekupa faida gani?
 
wewe binafsi account zako binafsi zimekupa faida gani?
Mkuu ukiwa mwoga kiasi hicho utakufa kwa presha na kabla ya muda wako! Social media sio mbaya kuposti picha zenye staha zako na hata wale wanaokuhusu kama hauwavunjii heshima! Si mbaya watu kujua wewe ni nani na unaonekanaje na watu muhimu kwako ni akina nani? Lazima dunia ijue uwepo wako! Sio unakufa unakuwa huna hata kumbukumbu kama uliwahi kuwepo! Sasa hao watakochukua picha zako na kuzifanyia mambo maovu watajijua wenyewe kwasababu ni kinyume cha sheria na ni dhambi na mamlaka zipo unaweza kuwashitaki!
 
Je unalinda vipi usalama wako wako ?kama vile mtu ana nia mbaya na wewe ama ugomvi,akitaka kukujua ukoje na details kuhusu wewe anazama tu mtandaoni akisearch anakupata,picha zako kibao Anazo.anajua umesoma wapi,unaishi wapi,familia zako,ndugu,watoto wako,mke,mume,unafanya kazi gani nk
Wewe ndo unafanya mambo haya? Tukikusearch tunapata mpk ulipokunywa breakfast asbh ya leo
 
Kupitia mitandao ya kijamii, nimekuwa na wadau wengi sehemu mbali mbali, nimejifunza na kuelemika sana kupitia mitandao ya kijamii, mwisho nilipata mwanamke ambae alikuja kuwa mke wangu, na alikuwa mke bora sana , sema wajinga wakamtia maneno kwa radhaa yake akaondoka nyumbani, lkn niseme alikuwa mke bora sana, hakuna swala inayompita, hana mambo mengi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongera kwa kupata mke mitandao ya kijamii! Hila kwa waliowengi chukua tahadhari kwani wengi sio jinsi wanavyojinadi!
 
Mkuu ukiwa mwoga kiasi hicho utakufa kwa presha na kabla ya muda wako! Social media sio mbaya kuposti picha zenye staha zako na hata wale wanaokuhusu kama hauwavunjii heshima! Si mbaya watu kujua wewe ni nani na unaonekanaje na watu muhimu kwako ni akina nani? Lazima dunia ijue uwepo wako! Sio unakufa unakuwa huna hata kumbukumbu kama uliwahi kuwepo! Sasa hao watakochukua picha zako na kuzifanyia mambo maovu watajijua wenyewe kwasababu ni kinyume cha sheria na ni dhambi na mamlaka zipo unaweza kuwashitaki!
Umeeleweka
 
Kupitia mitandao ya kijamii, nimekuwa na wadau wengi sehemu mbali mbali, nimejifunza na kuelemika sana kupitia mitandao ya kijamii, mwisho nilipata mwanamke ambae alikuja kuwa mke wangu, na alikuwa mke bora sana , sema wajinga wakamtia maneno kwa radhaa yake akaondoka nyumbani, lkn niseme alikuwa mke bora sana, hakuna swala inayompita, hana mambo mengi,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera at least umeonesha faida zake
 
Back
Top Bottom