Uchaguzi 2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

wakubwa kuna jambo la ajabu sijaelewa ukitumia line ya Vodacom kutuma ujumbe mfupi wa maandishi wenye maneno Tundu Lissu meseji haiendi.

hii maana yake nini?
Wanataka msiambizane na kusambaza taarifa za Tundu Lissu na unajua mzee alisema Airtel ni ya CCM na vodacon wana hisa huko.
 
Saiv wamesanuka wakarekebisha
IMG_20201024_110014_593.jpeg
 
WAMEZUIA VODACOM KWENDA AIRTEL NA AIRTEL KWENDA VODA KWA ZANZIBAR MITANDAO YOOTE JARIBU UONEEEE TUMIA MESEJI KWA MTU WA AIRTEL KAMA UNATUMIA VODA AU VODA KWENDA AIRTEL
 
Kila walifanyalo uwarudia wao, kwa mwendo huu wanazidi kujipunguzia kura zao huyu jamaa sijui hata vile vyeti alipataje mbona ni low thinking sana
 
Mbinu za kizamani Sana mbinu za kitoto huyu jamaa mbona reasoning yake ipo chini Sana thus elimu yake imeleta shaka ,hizi zilifaa stone age amekamatwa vibaya sana
 
Mafeni amedhamilia kwenda the Hague maadamu amedhamilia nasi hatuna budi kumwachia chaguo lake, aende salama
 
Anga likikutaa ndumba zinaexpire miti yote imeteleza utaishia kuukimbiza upepo tu
 
CCM baada ya miaka 59 ya uhuru wa Tanganyika ndiyo imefika mwisho wa safari yake. Mungu ameikataa, wananchi hawaitaki na hata Ibilisi mwenyewe amekaa mbali nayo. Isipokuwa wamebaki wanafiki wachache ambao bado wanajishebedua tu kutoka na kutaka kulinda maslahi yao binafsi.View attachment 1610217
Umeongea na MUNGU?
 
Back
Top Bottom