Uchaguzi 2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

Mbona waoga hivyo wakati wanajiaminishia ushindi? Yaani kujitapa kote miaka 5 ya kuziba upinzani ndiyo wameishia Huku? Kukataliwa mchana kweupe? Ni fundisho kubwa mno. Kifupi hapo ni kuzuia kupeleka taarifa za uchaguzi. But watu wako clever na zitasambazwa tu.
 
Mjinga mkubwa ww, kelele zimekuwa nyingi ikabidi waondoe hiyo hujuma, ww unaamka kwa shemeji saa hii ndio unaona asubuhi.
Acha utoto pimbi wewe.. Usijifanye unawajua sana watu kwa kukutana nao mitandaoni tena wakiwa na id fake.. We kama unaishi kwa shemeji yako usidhani ni kila mtu. Huenda nina maisha ya kuweza kukulea wewe na dada yako kwa jinsi unavoshinda unawalalamikia serikali. Ni ishara kwamba umesha feli life so unahitaji back up, ila usijali tupo wanaume wakubeba majukumu ya kuwalea watoto wazuri kama nyie
 
Naona CCM masirahi kazini umesahau kuweka na kadi ya usalama wa Taifa maana ndo kazi yenu kwa Sasa kutisha na kufokea watu.
Screenshot_20201023-075055.jpg
 
Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
angalia huyu nzi wa kijani kakunja hadi mishipa ya marinda kubisha ukweli
 
Acha utoto pimbi wewe.. Usijifanye unawajua sana watu kwa kukutana nao mitandaoni tena wakiwa na id fake.. We kama unaishi kwa shemeji yako usidhani ni kila mtu. Huenda nina maisha ya kuweza kukulea wewe na dada yako kwa jinsi unavoshinda unawalalamikia serikali. Ni ishara kwamba umesha feli life so unahitaji back up, ila usijali tupo wanaume wakubeba majukumu ya kuwalea watoto wazuri kama nyie
povu kama hili ndo maana halisi ya stress ya kufeli maisha🤣
 
Acha utoto pimbi wewe.. Usijifanye unawajua sana watu kwa kukutana nao mitandaoni tena wakiwa na id fake.. We kama unaishi kwa shemeji yako usidhani ni kila mtu. Huenda nina maisha ya kuweza kukulea wewe na dada yako kwa jinsi unavoshinda unawalalamikia serikali. Ni ishara kwamba umesha feli life so unahitaji back up, ila usijali tupo wanaume wakubeba majukumu ya kuwalea watoto wazuri kama nyie
Bado hujapanick, utapanick sana safari hii. Imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom