Mitaa korofi na hatari mikoani

Mitaa korofi na hatari mikoani

Ukichunguza maeneo hayo hutakosa panapouzwa zile pombe za kienyeji,sehemu panapokaangwa miguu ya kuku,vichwa na utumbo wake! mkaa wa mafungu..kwa ufupi ni maeneo ya watu waliokata tamaa ya maisha..
 
Dar_aziz ally pandisha mpaka misheni aiseeee nishashuhudia ntu ananyangwanywa sim mchana kweupee
 
Arusha ni ungalimitedi ,ngarenaro,kijenge

Kijenge iondoe haina ukorofi wowote wazungu wanatoka clock tower saa nne usiku hadi masai camp,lakini mzungu kutoka posta ya meru saa 8 mchana hadi shoprite ni shida.
 
Ifike wakati hata wezi watz wawe wa kisasa, mambo ya kuiba sim,roba,fatuma,kuuwa kwenye tukio,yamepitwa na wakati
 
Arusha nzima sio safe mida ya usiku...pub nless,sanawari,daraja la manchester,daraja la new Arusha,kwa iddi,esso,ngulelo,kisongo,sing'isi,maji ya chai,njiro karibu na IAA,kaloleni aka kibla,ngarenaro,kambi ya fisi aka kambi ya mbwa,sekei,ungalimi,daraja mbili,kwa mrefu,shangarai,ngaramtoni,burka,....
 
Arusha:Mianzini na Ngali pamoja na Matejoo.
Dsm:Jangwani,Magomeni hospital,Manzese mahakama ya simu.
Mbeya:Mabatini na Meta.
Morogoro:Manzese.

Mianzini hapana shida jombaa. Tabu ni Ngarenaro, Matejoo, Ungalimi na Daraja mbili
 
Back
Top Bottom