Mitaa korofi na hatari mikoani

Mitaa korofi na hatari mikoani

Ifike wakati hata wezi watz wawe wa kisasa, mambo ya kuiba sim,roba,fatuma,kuuwa kwenye tukio,yamepitwa na wakati

Ibra6-apa A town kuna jamaa wame improve wizi wao, wao awaibi kwa roba, fatuma wala awauui, wao wataka pesa tasilimu au simu tu, na kwa bahati mbaya wakichukua docoment zako kama atm card, pasport ,leseni ya gari na vingine wanazipeleka office ya posta yoyote na kuvitelekeza apo, kumbe hawa jamaa kdgo wana huruma
 
mtwara, kuna mdenganamadi na likonde ni noma ingawa sasa ivi wale jamaa walikua wanajiita (tukale wapi) ni madereva wa bodaboda.
du kumbe bodaboda makes life better

Ndenga, Likonde, Magalani( inafanana na Unga Limited kule Arusha) na sehemu moja inaitwa Misri kule Mtwara, hayo ni maeneo.hatari kabisa. Unaweza kuporwa hata unga wa ugali kilo moja mchana kweupe!
 
Mwanza road/ Singida road na AreaB karibu na makaburi eneo hatari pale mjini Dodoma!
 
Hahaaa habari ya hapa tulipo mkuu, Tunduma kila mtu ni mjanja dhidi ya mwenzie!
Kwa utapeli kila sehemu unatapeliwa, kwa nondo za usiku kila mtaa sio Salama ila hatari zaidi ni mtaa wa tukuyu/mangurueni kuliko maporomoko.!!
 
Mwanza road/ Singida road na AreaB karibu na makaburi eneo hatari pale mjini Dodoma!

CHAZA, inaonyesha na wewe ni walewale, mbona unaimanya mitaa yote korofi kwenye miji yote
sema tu kama we ni mstaafu!
 
Mmhh
kwa Dom Chang'ombe ni eneo tata sana..

Kunafatia Chamwino pale darajani jirani na Bonanza Hotel..

Kule wagogo wanachinja watu sana..



Dodoma, ni area D, Hazna, kikuyu.
Sehemu nyngne Wenyewe wataongezea
 
Arusha nadhani mme sahau mitaa ya white rose(sakina) ni balaaa manguruwe.
 
Back
Top Bottom