Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Naamini akaunti yako imehakiwa na wahuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanqjidai wahuni tu, kuharibu nyuzi za watu. Wanajifanya wanajuwa sana kutongoza, sasa waje hapa tutongozane.

Shenzi taipu zao.
 
Mumm! Hapa patamu umefika.

Nikutongoze kiume
tuonane lini, wapi na muda gani?

Ikiwa weekend itapendeza zaidi.
Una Dirham wewe,? pitia uzi uone wenzako wamefika ngapi, na wewe uweke dau lako au usepe.
 
Una Dirham wewe,? pitia uzi uone wenzako wamefika ngapi, na wewe uweke dau lako au usepe.
Pesa sina kwani nani atapata rahaa!
Nijikunje kukumwagia protini itakayokujaza mzigo tena nilipie..

Utazikwa nayo
 
Hivi hamna aliyeng'oaga hii kitu tu
Mpaka leo bado watu wanatia kamba!!
 
Kama bibi upo hivi maasha Allah umejaariwa
Mimi kwetu kuna ngombe wengi bibi njoo nikupe

IMG-20230903-WA0041.jpg
 
Kwani huna mume hadi utongozwe, wengine huwa hatutongozi wake za watu
 
Wahuni si watu na mikunyazi yote hiyo ukeni mwa bibi faiza wanataka mzigo hivyohivyo
 
du!!!..kama ujaolewa nitafute wangu!!!!!...najua kwenye ndoa yetu ntakula raha kwa sababu wewe ni m2 wa RRRR,,,,

Jukwaa ulilo-post hayo siyo la kutongozana, ukitaka kunitongoza, hapa ndiyo jukwaa sahihi.

Haya tema madini yako.
 
ahahahaaaaa!!!!!!....sasa hapa watoto si watatuona????,,,,,,,,,,,ngojea mangaribi ntakutumia namba ya wattsup!!
Aaah bana, huku hakuna watoto, kule uliko post kwanza ndiyo kuna watoto.

Ndiyo nini hicho nilichokuwekea rangi nyekundu? Anza kwa kuandika kiswahili.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom