Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Weka na pic zako halisi sasa watu waone wanachotongoza ni beauty au beast
 
Weka na pic zako halisi sasa watu waone wanachotongoza ni beauty au beast
1688400694904.png

DP World hoyee. Uchumi nna halafu niukalie tu? Khaa!
 
Toa uajuza wako hapa kaleee wajukuu... Nanii ana muda na papa la miaka ya 60's
Mbona uko hapa? Mimi siyo wa 60s kijana.

Unaonesha hata kutumia maandiko ya namba za Kingereza huelewi. Ngoja nikupe darsa dogo:

Ukisema wa 60s una maanisha mimi wa miaka ya 1960. hapana, mimi wa kabla ya hapo. 60s nimeshaanza kusoma na nna akili zangu. Uhuru wa Tanzania siku ya 9 December 1961 mimi nnasherehekea fashfash. Mama'ko alikuwa wapi? Labda bado yuko kwenye kiunno cha babu yako.

Inazijuwa fashfash wewe?
 
Mbona uko hapa? Mimi siyo wa 60skijana.

Unaonesha hata kutumia maandiko ya namba za Kingereza huelwi. Ngoja nikupe darsa dogo:

Ukisema wa 60s una maanisha mimi wa miaka ya 1960. hapana, mimi wa kabla ya hapo. 60s nimeshaanza kusoma na nna akili zangu. Uhuru wa Tanzania siku ya 9 December 1961 mimi nnasherehekea fashfash. Mama'ko alikuwa wapi? Labda bado yuko kwenye kiunno cha babu yaako.

Inazijuwa fashfash wewe?
Tutaeachoma moto awamu hii umalaya wenu wakula Mali za umma shwain nyie
 
Mbona uko hapa? Mimi siyo wa 60skijana.

Unaonesha hata kutumia maandiko ya namba za Kingereza huelwi. Ngoja nikupe darsa dogo:

Ukisema wa 60s una maanisha mimi wa miaka ya 1960. hapana, mimi wa kabla ya hapo. 60s nimeshaanza kusoma na nna akili zangu. Uhuru wa Tanzania siku ya 9 December 1961 mimi nnasherehekea fashfash. Mama'ko alikuwa wapi? Labda bado yuko kwenye kiunno cha babu yaako.

Inazijuwa fashfash wewe?
😆😆😆 Hatari hii isomwe miaka 5 mbele na uzi usife

404: Page Not Found
 
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.

Hivi mama'ko kaacha lini kwenda kona bar? Halafu kishakujulisha baba'ko au uzi uleule , kila mwanamme anaeingia kwenu anakwambia "mwamkie baba'ko"?
Uajuza wako tutautoboatoboa Malaya wewe ...
 
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.

Hivi mama'ko kaacha lini kwenda kona bar? Halafu kishakujulisha baba'ko au uzi uleule , kila mwanamme anaeingia kwenu anakwambia "mwamkie baba'ko"?
😆😆😆 We mama una hatari maneno gan hayo unamwambia huyu mwana ?

404: Page Not Found
 
😆😆😆 We mama una hatari maneno gan hayo unamwambia huyu mwana ?

404: Page Not Found
Siwezi kuvunjiwa heshima na vitoto vidogo hivi nikavikalia kimya. Huu uzi nimeuweka makusudi wa mashoga kama huyu. Nawahamishia hapa makusudi.

Kama vile wao wana mama zao na wengine ni mama za watu.

Waislam hatupigwi la kushoto tukageuza la kulia.
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Vipi bado unapatikana? Najua Fox na Kichuguu tunaelewana sana, nikionyoosha jamvi utakuja tu
1688427812547.png
 
Back
Top Bottom