Habari mama, kitambo sasa sikuoni JF, nimemiss sana zile mada zako hasa ile ya kutongoza, mimi ni mmojawapo niliejaribu bahati yangu ya kukutongoza, nakupenda sana
Bibi msaidie kijana!!Kuna mzee mmoja nilikuwa namsoma sasa hivi, anawezesha vijana wasio na kazi anawapa mafunzo ya ujenzi bure na anawapa posho za chakula, pitia hapa umsome: Kazi za Ufundi Ujenzi kwa Vijana waliomaliza JKT, waliojifunza vyuo vya Magereza, Jeshi au VETA wajitokeze
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Ni kweli, ila naendelea kukupenda na kukutakia mwaka mpya mwema.Wewe njaa kali una stress kwa kuondokewa na nduguyo. Huna jipya.
Hata simba mkali anazalishwa,pambania kombe kitaeleweka.Ni kweli, ila naendelea kukupenda na kukutakia mwaka mpya mwema.
P
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu Bibi wanasema ndio Hangaya mwenyewe sasa hivi majukumu yamekuwa mengi hapati nafasi ya kuudhuria jukwaani
ni mtongozano tu, full stop!Dada unatufundisha nini wadogo zako?
Faiza mama wa mjini kabisa kila mtu analijua hiloHuyu Bibi wanasema ndio Hangaya mwenyewe sasa hivi majukumu yamekuwa mengi hapati nafasi ya kuudhuria jukwaani
Hii inawezekana..Huyu Bibi wanasema ndio Hangaya mwenyewe sasa hivi majukumu yamekuwa mengi hapati nafasi ya kuudhuria jukwaani
Huyo ni Robot.Ni kweli, ila naendelea kukupenda na kukutakia mwaka mpya mwema.
P
Mkitongozwa mtukubaliDada unatufundisha nini wadogo zako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Bibi wanasema ndio Hangaya mwenyewe sasa hivi majukumu yamekuwa mengi hapati nafasi ya kuudhuria jukwaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Habari mweshimiwa nakusalimu naona unataniana na vijana nisalimie hapo Magogoni
Hivi FaizaFoxy una miaka mingapi??.Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Mama ana utani mwingi ukiachia u serious wake juu ya mkopo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli, ila naendelea kukupenda na kukutakia mwaka mpya mwema.
P
Hebu rudia tenaaaaaa young man.