squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,193
Mwanao anaenda kutawanywa miguu nae ukiwa bado na akili. Safi sana.Sio utani yaani hapa najua nitaitwa babu kabla sijafika hata miaka 40 hasa ukizingatia mtoto mwenyewe wa kike na mwaka huu kaingia form 3 bwana haahahaha!
Hiyo haizuiliki hata kama ningempata uzeeni bado kuna fala anagemtawanya miguu tu.Mwanao anaenda kutawanywa miguu nae ukiwa bado na akili. Safi sana.
Hata babu yake na mwanao kwa mama nae anasema kuna fala alimtawanya mwanangu miguu.Hiyo haizuiliki hata kama ningempata uzeeni bado kuna fala anagemtawanya miguu tu.
Nataka niwafundiahe heshima na adabu ya kuheshimu nyuzi na mada za watu. Utakuta jukwaa la siasa mtu eti anakutongoza. Alaaa.
faiza mi nimmojawapo hope unajua kweli nakupenda sitanii Uko serious au unatania niambie niko tayari kwa loloteWale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Mimi sio fala nilikuwa innocent boy by that time sema ndo circumstances tu zilitoke, anyway tuishie hapa mana Faiza Fox atatunanga kuchafua uzi wake pendwa wa Mtongozo threadHata babu yake na mwanao kwa mama nae anasema kuna fala alimtawanya mwanangu miguu.
Malaria Sugu.Jesus take the wheel...
Kama wanatongoza njemba mbabu kabisa je?
Nyakati zingine muwe mnatusikiliza sie wakongwe humu.....
Shauri yenu!