Misikiti ya uswahilini.pepo itapatkana kwel?

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Umeme ulikatika msikitini.uliporudi ghafla imam akasema "kum*#e umeme huo umerudi" sheikh nae kajibu msen#e gani huyo anaetukana? Muumini nae kajibu "acheni usho*#" basi hapo ndo maalim akajibu kwa ukarimu "kwani mwafi*#wa nyie? Hamjui mpo msikitini hapa?"...amueni nyie naniataona pepo kwani kweli uswahilini ful vi2ko.
 
huu utani kwenye dini za watu haujakaa vyema.
kuna mambo mengi sana ya kufanyia utani ila dini hapana kwani unakuwa unakashifu dini za watu.
 
we unajua kabisa dini ya ukweli ya mungu ni ya kiislamu alafu unaleta mzaa, utapata mikosi kwa kupigwa fimbo na mungu.siku moja motoni ni sawa na miaka 10 duniani ye ukiadhibiwa siku40 think about it ni mvua ngapi hiyo(40 @10=400 years kwa akiliyako ilivyokua ovyo utasema huogopi
 
na miaka mia pia ni sawa na cku moja..siogopi wala.wakuogopa hao wasemao kuwa dini ya kweli na wakati wamejaa matusi..kwani hao wanaoleta utani wa mapadri na masista huwaoni..kaseme kwa mods kama umeumwa.
 
anyways mimi napenda sana vichekesho maana vinaniburudisha. Na mara nyingi sijali vinazungumzia padri kuomba kutumiwa picha na video za porno wala masheikh kutukana. Kwangu ni vichekesho tu!

Nadhani kama mtu inamkwaza basi asisome kabisa maana si ukweli! Hakuna suala la dini ni vichekesho tu!
 
Mkuu umenena kweli kabisa, lengo hapa ni kuchakesha tu na wala siyo kukashifu dini ya mtu.. Ndo maana vichekesho huwa havitaji majina halisi..

Nimecheka sana leo, aisee!!!!
 
Back
Top Bottom