Misiba siku hizi.....'lawama tupu'.

Misiba siku hizi.....'lawama tupu'.

kwani wanaweka msiba au ni kamati ya mazishi ndio wanaweza kufanyia vikao bar?

mwaya ni mwendo wa Urafiki af next meeting muhimbili kanisani,wanaaaga magari ya rombo wapi twaenda kuzika!
mwe!
sweetheart pengine inaweza isiwe kwenye familia kabisa lakini nimehudhuria misiba mingi ya pande hizo!inaenda kwa style hiyo!
 
Digtal siku hizi, tunaonana facebook. Ukilazwa hospitali unaweka picha tu nikiangalia naasume nimekuja kukuona. NIkituma tigo pesa tayari!

Upendo umetoweka, tuombe Mungu atuguse jamani. Sisi wapendwa bado tuna upendo wa kweli, uumwe, usiumwe, mimi nakuja tu bila hata karibu kukuombea kwa nini sijakuona siku nyingi!

Halow hapo bold sijapaelewa, kuwa mpendwa ndio kuwa namna gani, au labda niulize kwa nini mpendwa????
 
Ni kweli kabisa,me nashndwa kusema kuwa watu tumekua hatuna utu ila nahc huu ugumu wa maisha pia unachangia,mtu anajikuta kazini kabanwa anatoka anakutana na foleni,bado anatakiwa kuwah shule hvo anajikuta timetable iko full,akipga hesabu akienda msibani atakosa sehemu flani kuna deal la pesa,maisha yanazid kubadilika sana...
ILA KAMA MSIBA UNAKUHUSU KWA ASILIMIA ZOTE,MFANO NI WA MTU KUTOKA FAMILIA MOJA,HAUTOKUMBUKA KAMA UNAKOSA DEAL LA PESA...
Ivo ukitaka kuuelewa msiba ukupate,ivo naona hatushtuki sababu hautuhusu ila kama unakuhusu hautakumbuka hata kama una Ipad wala kuna instagram
Inakuwaje sasa watu hao hao walio busy lkn wanapata nafac ya kwenda kwenye sherehe??????
 
sisi ukikosa msiba wa ndugu yako wanaweka record wakiona wewe si mhudhuriaji wa misiba hasa ya huko kijijini siku uking'ara tu lazima mvua ya fimbo ikuangukie hata kama una umri gani!
 
sijawahi hudhuria sherehe ikakosa wahudhuriaji, sijui kwa vile watu wanakuwa walichangia kwa hiyo wanaenda kula/kunywa hela zao?

Hii ni kwa sababu walio wengi hatuna sera za kwenda matembezi/outing na wenza wetu mara baada ya kuoana...tunasubiria wakat wa sherehe ndo tunaenda outing ndo kuchea musik nk....
 
Wananishangazaga wanao enda msibani kisha wanaenda mpaka makaburini, alafu wakati jeneza la marahemu linaingizwa shimoni, wao wapo mita nyingi wamekaa juu ya makaburi miguu inaning'inia wanapiga story za mademu. watu hawana hata uoga jamani!
 
mwaya ni mwendo wa Urafiki af next meeting muhimbili kanisani,wanaaaga magari ya rombo wapi twaenda kuzika!
mwe!
sweetheart pengine inaweza isiwe kwenye familia kabisa lakini nimehudhuria misiba mingi ya pande hizo!inaenda kwa style hiyo!

ni hivi mpora wangu, nijuavyo huko tunafanyiaga vikao vya mazishi tu, na ni kamati tu inakaa huko, nyie wengine mtafatwa nyumbani kupewa taarifa tu juu ya kamati ilivyopanga sweetheart, unataka kuhairisha kuletwa mndenyi? Lol imekula kwako hiyo.
 
Kweli mambo yamebadilika sana lkn huku uswahilini ninakoishi mimi bwana msiba ukikupata usianze na kulia kwanza huwa tunahakikisha tunafungia vitu vyote mana usipofanya hivyo itakula kwako kuna watakaochukua kijiko au kikombe. Huwa tunapika majirani wenyewe manake kuna vyama vya ujirani mwema. Na siku ya mazishi huwa tunakodi wapishi wazee flani hivi kuja kupika. Saa ya mazishi watu wanajaa hata kama hawakufahamu watakuja tu kuzika. Kilichobadilika mtaani kwetu ni kuimba siku hizi hatuimbi tena bali tunaweka cd za nyimbo za maombolezo.
 
hivi mtu unakaaje kuanza kuwatch video ya mazishi?
ya kipaimara tu naona shida kuiangalia, sembuse ya msiba!

si unaangalia tu kama unavoangalia ma video ya PILAU watu wanavotifuana mwanzo kati mwisho
 
Haya maisha na huu utaratibu nadhani umelenga huko mjini au jijini kwenu Dar es Salaam.

Sisi wa mikoani na vijijini msiba ni sehemu ya mshikamano na ushiriki ni sehemu ya kuonesha undugu.

Ukiacha kuweka matanga ya msiba, huku hata sherehe kama za harusi n.k huwa tunazifanya kijumuia zaidi.

Ujue vijijini hasa kwenu,ujamaa bado unatamalaki ndio maana watu tunaguswa sana. Last year nimepoteza baba zangu wadogo ndani ya mwezi mmoja na misiba yetu twalia time ndefu zaidi hata wiki2 kutegemea na umri wa marehemu. Ktk kipindi chote hicho jamii haichoki kulisha wafiwa ktk msiba kwa michango ya vyakula. Mijini watu wandharau misiba kwa sababu fikra zao nimePORWA na usasa.
 
ni hivi mpora wangu, nijuavyo huko tunafanyiaga vikao vya mazishi tu, na ni kamati tu inakaa huko, nyie wengine mtafatwa nyumbani kupewa taarifa tu juu ya kamati ilivyopanga sweetheart, unataka kuhairisha kuletwa mndenyi? Lol imekula kwako hiyo.

imekula kwangu kidogo!
ahahahhaha tatizo namwonea huruma dadangu Fixed Point tu
ujue anaweza kushtaki mahakamani ahhahahha!nacheka kama mazuri!
 
Last edited by a moderator:
Haya maisha na huu utaratibu nadhani umelenga huko mjini au jijini kwenu Dar es Salaam.

Sisi wa mikoani na vijijini msiba ni sehemu ya mshikamano na ushiriki ni sehemu ya kuonesha undugu.

Ukiacha kuweka matanga ya msiba, huku hata sherehe kama za harusi n.k huwa tunazifanya kijumuia zaidi.

Mkuu huwa mnaenda wote watu8?au ni mwendo wa kuwakilishana tu.
 
Last edited by a moderator:
ila kuna watu wana roho mbaya tu ..mi nilivofiwa na mama kuna mtoto wa uncle yangu hakuja kwenye msiba wala hakunitumia sms ya pole...sijui kafukuzwa kazi juzi kanitumia sms anaomba hela ...nilizima simu wiki nzima...
kuna misiba kama una utu ndani yako hutokosa muda hata wa kwenda kuonyesha sura jamani
Polee i know the feeling Smile,yaani hata sms tu af amepata shida anakumbuka kua nipo?yaani ningekua mimi ningempa maneno yake yote anayohitaji kuyasikia na hela simpi,ila nizime simu kwa ajili ya mtu mmoja asie na utu na selfish wakati kuna watu kibao wapo tayari kuwa upande wangu...hell no...yaani the moment namaliza kupokea sms yake nampigia simu kabisa..huyo hana nafsi
 
Inakuwaje sasa watu hao hao walio busy lkn wanapata nafac ya kwenda kwenye sherehe??????
Ndo maana nasema msiba huo unakua si wa mtu wao wa karibu,yaani hata nafsi haziwasuti jamani,na wengine wanaenda msibani kupiga majungu tu
 
The Boss huko tunakoelekea itakuwa kuhudhuria misiba shurti kwa invitation cards
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom