The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,669
- Thread starter
- #21
ila kuna nyumba wao pia hawahudhurii misiba ya wenzao, wanaenda kuonyesha sura tu na kutoa mshiko. watu huwa wanasoma sana na wanalipiziana kisasi.
kuna mama (kijijini) alikuwa hali kwenye misiba ya wenzake, siku akafiwa, watu wakajaa, wakapika vyakula kibao lakini hakuna aliyekula. Fikiria kijijini watu wanavyoshobokea wali na nyama lakini siku hiyo vya bure na hawakula
Na hii ya kulipiza kisasi ndo yenyewe siku hizi...
hata kama kweli 'ulibanwa'
watu wasipokuona wanakuweka 'pending'
nna mjomba wangu mmoja akifika kwenye misiba cha kwanza ni kuuliza nani na nani hawajafika lol