The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,669
Ilikuwa kati kati ya wiki nilipata msiba wa ndugu yangu mmoja 'bahati nzuri' alikuwa amefariki nje ya Dar na kuzikwa huko huko
so kikubwa kilikuwa ni kwenda nyumbani kwake na kutoa pole na sanasana 'kuonesha sura' tu kwamba ulikuwepo..
kufika huko nikakuta tu sio watu walikuwa kidogo but karibu kila mtu alikuwa na mawazo kama yangu ya 'kuonesha sura' tu na kusepa fasta...hapo msibani kwa masaa machache tu ungeweza kuona watu walivyo busy na simu zao,ipads na kadhalika na wengine walikuwa wanafuatilia mpira na kupeana taarifa tu za mpira..
wengi walipiga simu na kutoa pole zao kwa njia ya simu na kila mtu ana 'sababu ya muhimu' ya kutofika wengine kazi zimewabana,wengine wakitoka job wanawahi shule ili mradi ni kama vile 'siku hizi watu hatuna mda wa kuombeleza misiba tena
kila mtu yuko busy ana chase life....maofisini kuna 'bonus' na 'overtime' za kutafuta na bado kuna kuongeza shule jioni na kadhalika,
bado kuna foleni za jiji hasa Dar nazo zinafanya watu wawe too busy.
achilia mbali hii 'modern lifestyle ' inafanya watu wawe na 'tight timetable'za wiki nzima,kiasi akipewa taarifa ya msiba sehemu...suala la kwenda kushiriki ni gumu mno.
ni kama tunaelekea kuwa kama nchi zingine ambapo msiba unakuta watu wa tatu tu na kampuni za mazishi ndo zinashughulika.....
kuna watu hata wikiendi hawana muda wa kupumzika,biashara zingine wikiendi ndo siku za mauzo....na kadhalika...
Naona maisha yalivyo badilika 'lawama za kutokwenda misibani' zitaongezeka mno.