Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,944
- 11,486
ninasema hivi this week nimewaona wastaafu wengi wakelekea NY, na ninajua kua sasa wako huko, wamesafiri na makundi makubwa sana ya wasaidizi as opposed na sheria yako, sasa for that you can call me whatever you want lakini siwezi kubadili msimamo wangu kuwa hiyo sheria yako ya wasaidizi wawili is dead au haipo, kama haiku-expeire,
one thing huwezi fanya ni kuninyamazisha, that you can't!
Kwa hiyo kwa vile wakina Lowassa hawakufuata the Public Procurement Act ya mwaka 2004, hiyo sheria ni batili, imekufa, haipo au ime-expire? Mbona sheria hiyo hiyo ndiyo iliyotumiwa kuwahukumu?
Sina uwezo na sina haja ya kukunyamazisha. Kwa nini nifanye hivyo wakati kila ukiongea unazidi kuonyesha your ignorance?