Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Rais hana mshahara. Yeye kama yeye ni pesa na ndiyo maana hata taswira za marais huwekwa kwenye pesa. Utamlipaje mtu kwa pesa yake mwenyewe? Anakua tuu anahudumiwa kila kitu atakacho kiwe au kifanyike. Ukiona rais anajilimbikizia mali, basi huyo ni tamaa tuu ya mali. Kwanza mtu akishakuwa rais kamwe hawezi lala njaa au kupata sonona ya pesa mara baada ya ku staafu kwani mifumo iliyopo tuu inatambua ahudumiwe vipi hadi anaingia kaburini
Ww n mpumbavu
 
Mwaka jana Mbeki aliongezewa kutoka Rand 1.18 milioni hadi rand 1.27 milioni ingawa Tume ya Moseneke ilipendekezwa alipwe rand 1.89 milioni.

Rais Kibaki alikataa nyongeza ya 186% ambayo inasemekana ingemtoa kutoka US$ 10,000 kwa mwezi hadi US$ 27,600 na marupurupu ya US$ 18,600. Sisi wa kwetu analipwa ngapi? Na nani anayeamua kiasi gani anastahili?
 
Kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani?

Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika.

Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa rais.

Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?

Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
Wanalipwa mishahara Yao kutokana na Kodi za wananchi waliowapa dhamana kuongozq labda useme hujui exactly figures zake zipoje ambapo hata Sisi maamuma Hatujui. Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.
 
Kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani?

Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika.

Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa rais.

Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?

Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
Mwizi si rahisi kukuambia alichoiba kama wewe si mwizi!
 
Back
Top Bottom