- Mkuu ulikuwa hujui kwamba viongozi kama yeye wanakuwa na nyumba mbili between Dar na Dodoma?
ES so hio nyumba uliyoitaja ipo wapi...?....Bado naamini kama anakaa nyumba ya serikali hakuna Tatizo kwa nafasi aliyonayo....labda awe kapewa kimagumashi...
Chuma,
1. GOT kuuza nyumba zake ni blunder kubwa sana! Hii itaigharimu sana serikali kwa miaka mingi ijayo!
2. Hii nchi wanasiasa na viongozi wanaishi mbinguni..je kweli wako tayari kutetea maslahi ya wanyonge?
Nauliza tena hivi JK, PM, Speaker na Jaji Mkuu wao mshahara na marupurupu ni kiasi gani?
We have choices as a people don't we?Why are we letting these thieves run the affairs of our country and in doing so they pay themselves exhaustive salaries?
Why don't we punish them?
Mapato ya Wabunge yanakatwa kodi ya PAYE ?
Sina shida na pesa wanayopata output ipo?
Mfumwa,
Umeongea ukweli mtupu hapo juu, wengine wanazuia hata miradi ya maendeleo kwa kuhofia
wananchi wasije wakaona kumbe fulani anafaa.
Kuna waheshimiwa wanajaribu hata kushawishi vyombo vya fedha visisaidie baadhi ya miradi kwenye majimbo yao.
Ni ujinga mtupu.
- Wanasema kwa kupangisha nyumba kwa viongozi wanaendeleza uchumi wa taifa, maana hela zinazunguka.
We have choices as a people don't we?Why are we letting these thieves run the affairs of our country and in doing so they pay themselves exhaustive salaries?
Why don't we punish them?
Pata picha mume na mke ni wabunge, kwa mfano Mr and Mrs Malecela, Mr and Mrs Sita, familia yao ina make shilingi ngapi kwa mwezi?
Je kila mmoja wao analipwa house allowance?