Mishahara ya Marais wastaafu ipunguzwe

Mishahara ya Marais wastaafu ipunguzwe

Kikwete amefika Msasani juzi,ana walinzi wengi sana.
Kuingia kwa Kikwete Madarakani na jinsi alivyotoka madarakani ni tofauti kabisa kuna wakati mwishoni wa utawala wake alikua akivaa bullet proofs ,huenda anajua alichokifanya ndio maana yupo na msururu wa walinzi
 
Wapunguziwe tena hata nusu ya hiyo wanayoipata maana wengi wao ni mizigo tu kwasasa. huyu wa awamu ya tatu yeye ni mitusi tu kila wakati, sasa watu kama hao wanini ktk jamii? wanaifilisi nchi tu. Wanachokifanya ni kukumbatia madhambi tu!, ndicho wananchokiweza. mm naona kama wanataka wawapunguzie acha wapunguze sana tu!, Wanasingizia wanamshauri Rais wa sasa: wakati vipindi vyao wamevuruga. Wapunguze tu hiyo mishahara maana hayo ni MAJIPU MENGINE yanayolitafuna taifa letu!!!! thenkyuuuu
Mkuu mimi nashauri siyo tuu ipunguzwe bali iondolewe ili walipwe pension kama wastaafu wengine vinginevyo hii itakuwa double standard.
 
mkubwa hiyo trilion umeipateje,au naona vibaya.hizo ni hesabu za darasa la ngapi mkuu.
naomba msaada pls
Mkuu, nadhani Tanzania iko katika kiwango kibaya sana cha uelewa na sidhani kama jitihada za Mama Ndalichako zitasaidia kwa hali hii. Cha kusikitisha hata huyo dr. aliyetuletea division 5 anaendelea kupokea pension nene!
 
million 35 kwa mwezi.marais 2x80%x35,000,000+35,000,000=91,000,000
Kumbe ceo wa nhc anamzidi presida kwa mshahara!?
Ajitokeze mwenye data za kweli atujuze hawa waajiriwa wetu wanatukamua kiasi gani kutufanyia kazi zetu!
 
Kumbe ceo wa nhc anamzidi presida kwa mshahara!?
Ajitokeze mwenye data za kweli atujuze hawa waajiriwa wetu wanatukamua kiasi gani kutufanyia kazi zetu!
huwezi kupata data za ukweli maana nchi za kiafrika maraisi wapo kiwizi wizi kwa ajili ya masilahi yao,kwa nchi zilizo endelea mishahara ya viongozi wakubwa inajulikana
 
Ulgomvi wangu mimi ni kuhusu wale watu wanaoitwa "advisor"". Ukitazama utaona Barak Obama ana mshauri kuhusu uchumi,kuhusu sayansi,kuhusu kuyapiga vita madawa ya kulevya,etc. Washauri wa mambo tofauti. Wako 20,30 au zaidi. Rais hawrzi kufanya kila kitu. Ni hawa washauri,wakichukua hela nyingi bila kutoa ushauri,hapo ndio taifa linaenda mrama.
bro Nina swali

unavutaga bangi?
 
Wapunguziwe tena hata nusu ya hiyo wanayoipata maana wengi wao ni mizigo tu kwasasa. huyu wa awamu ya tatu yeye ni mitusi tu kila wakati, sasa watu kama hao wanini ktk jamii? wanaifilisi nchi tu. Wanachokifanya ni kukumbatia madhambi tu!, ndicho wananchokiweza. mm naona kama wanataka wawapunguzie acha wapunguze sana tu!, Wanasingizia wanamshauri Rais wa sasa: wakati vipindi vyao wamevuruga. Wapunguze tu hiyo mishahara maana hayo ni MAJIPU MENGINE yanayolitafuna taifa letu!!!! thenkyuuuu

Wakipunguziwa pia hata akina Lowassa,Sumaye watapunguziwa tena mimi ningependaiwe Kenya kama Kenya ambako unapewa hiyo hela ukiwa umestaafu na hujihusishi na mambo ya kisiasa,kama umeamua kuendelea na siasa basi hakuna cha kiinua mgongo wala marupurupu nahiyo ndio maana ya kuitwa mstaafu/aliyejiuzuru
ye
 
Hiyo ml 460 nina mashaka nayo. Hesabu kidogo, 80% ya ml 460 ni ml 368. Chukua ml 368 zidisha kwa marais watatu wastaafu walio hai unapata 1.104 trilioni, kisha jumlisha na ml 460 ya rais aliyepo madarakani unapata 1.564 trilion. Makusanyo ya mwezi yakizidi sana ni Trilioni 1.3, ambayo iko chini ya mishahara ya marais hao. Je, makusanyo yote ndiyo kusema huishia kwenye kulipa mishahara ya marais? Acheni usengerema.
368,000,000x3= 1,104,000,000+460,000,000=1,564,000,000 kwa maneno ni bilioni moja na milioni mia tano na sitini na nne
 
hawa watu wana nafuu chungu nzima kwanini wanatukamua hivi lakini ? kwanini wasipewe pensheni kama zile zinazopindisha migongo wazazi wetu ?
 
Kweli ujinga mzigo, ndiyo maana huo mshahara nikawa naona unagoma kichwani, kumbe mimi ndiye nimeleta upopoma wangu humu ndani. Duuh
Wewe sio popoma, tatizo Mkuu umekurupuka. Pole sana!
 
.....Umekurupuka....Hesabu zako za Kayumba....! milioni....then billion...halaf ndo trillion...ebu rekebisha
Na watoto wetu mashuleni wanafeli hivi hivi Mkuu! Baada ya kutuliza kichwa mwanafunzi anakurupuka tu.
 
Shukrani kwa Ufafanuzi,nilishangaa hii inaingia akilini kweli?
Usipende kutafuniwa, ndo ninyi ninyi shuleni kazi ni kupiga chabo tuu. Mwenzako kakosea kupiga hesabu na wewe unamuunga mkono!
 
Elimu Elimu Elimu! Tangu lini tshs 368 milion x 3 = 1. 104 trilion? Jibu sahihi ni 1.104 billion. Elimu elimu elimu!
Kwa kutopenda elimu akaamua kumchagua magufuli ili pia apewe bora elimu tena bure kabisa!
 
Back
Top Bottom