Mishahara ya Marais wastaafu ipunguzwe

Mishahara ya Marais wastaafu ipunguzwe

Hii itaongezaje kipato chako?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
ww unahitaji maelezo ya kina. Ujue unapopunguza fungu la mtu mmoja na fungu hilo ukalielekeza mahala pengine kwa matumizi mengine unakuwa umesaidia watu wengine kwa njia moja ama nyingine. "Multiplier effect"
 
Hata kama hujasoma hesabu ama hisabati, tumia akili ndogo tu hii ifuatayo. Kwa mjibu wa TRA, kuna miezi makusanyo huishia milioni 800, ukitoa milioni 400+ ya rais aliye madarakani tu, unapata salio la milion 300+, hapo hujawalipa marais wastaafu, mawaziri wakuu wastaafu, waziri mkuu aliye madarakani na wastaafu wengine, je maendeleo ndiyo kusema yatategemea misaada tu?

Makusanyo ya TRA kwa mwezi ni kama Billioni 900 sio million, nafikiri kuna makosa.Pia unatakiwa kujua wanaposema mshahara wa Raisi labda ni sh. Million 200 au 400 sio kwamba analipwa Cash ya 200m au 400m maana yake ni kwamba gharama za raisi kwa mwezi, Yaani nyumba, afya, walinzi binafsi na wa familia, malipo kwa mke wake nk. Hii inaweza ikawachanganya watu kidogo.....sio hela nyingi kama nikilinganisha na hela wanazolipwa baadhi ya wakurugenzi wa makampuni ya simu.


-
 
.....Umekurupuka....Hesabu zako za Kayumba....! milioni....then billion...halaf ndo trillion...ebu rekebisha

Mnajua maana ya Trillion au mnakurupuka kama waandishi wa magazeti ya Mawio.? Trillioni maana yake ni Billioni elfu moja (1 Trillion=1000 billion na Billioni moja ni Millioni 1000, kwa kifupi Trillioni moja ni million moja moja million moja? Hesabu za darasa la Tano.yaani 1 trillion inaandikwa hivi nadhan wengi hatujawahi kuona hizi tarakimu. " 1,000,000,000,000."
 
Kwa mujibu wa African Review mwaka 2015, Mishahara ya baadhi ya Marais wa Afrika ni:

1.Cameroun - Paul Biya US$610,000 kwa mwaka.
2.Morocco - King Mohamed VI US$480,000 kwa mwaka
3. South Africa - Jacob Zuma US$272,000 kwa mwaka
4.Tanzania - Jakaya Kikwete- US$192,000 kwa mwaka
Wengine ni Kenya- Uhuru Kenyatta US$132,000 kwa mwaka na Uganda Yoweri Museveni US$13,000 kwa mwaka.

Hivyo kwa Utaratibu huo Mshahara wa Rais wa Tanzania (Wakati huo JK) ni US$16,000 kwa mwezi.
sawa na TZS.35,200,000. (1 US$= TZS 2,200).
Tarakimu hizi zinaweza zisiwe halisi lakini zinatupa uhalisia wa aina fulani..
 
Dola 192elfu kwa mwaka, tuache uwongo eti raisi analipwa ml. 40,Wakati mkurugenzi NHC analipwa ml.36, makusanya ya mwezi ya nchi ni bil.900 hivyo tukitoa mil. 400 kumlipa raisi utaona ni ela ndogo.
 
Back
Top Bottom