Mishahara ya Marais wastaafu ipunguzwe

Mishahara ya Marais wastaafu ipunguzwe

It's too much.Huwa sipata logic,ni ujinga wa aina fulani tu unaotembea.Kwani marais wastahafu wana tofauti gani na watumishi wengine wa serikali,Wao ni watu zaidi?Wana roho zaidi ya moja?Wanakula zaidi?Kwa nini formula ile ile inayotumika kwa watumishi wengine isitumike kwao?Sielewi kwa kweli.Kama kuna mpango wa kuwapunguzia sawa tu,they are getting too much afterall.
Wanalipwa 80 percent ya chochote anachopata Magufuli. Hii ni pamoja na mishahara, Magari, Matibabu etc
 
kama nakumbuka vizuri,serikali ya awamu ya tatu iliongeza mishahara ya watumishi wa tra kwa kisingizio kwamba kutowatamanisha kupokea rushwa,lakini embu angalia majipu yote yanakotokea hadi saiz. mr clemence baraka.
 
It's too much.Huwa sipata logic,ni ujinga wa aina fulani tu unaotembea.Kwani marais wastahafu wana tofauti gani na watumishi wengine wa serikali,Wao ni watu zaidi?Wana roho zaidi ya moja?Wanakula zaidi?Kwa nini formula ile ile inayotumika kwa watumishi wengine isitumike kwao?Sielewi kwa kweli.Kama kuna mpango wa kuwapunguzia sawa tu,they are getting too much afterall.

Mkuu shida ni kuwa iko kikatiba na katiba inayowawajibsha viongozi ndio hawaitaki
 
Hiyo ml 460 nina mashaka nayo. Hesabu kidogo, 80% ya ml 460 ni ml 368. Chukua ml 368 zidisha kwa marais watatu wastaafu walio hai unapata 1.104 trilioni, kisha jumlisha na ml 460 ya rais aliyepo madarakani unapata 1.564 trilion. Makusanyo ya mwezi yakizidi sana ni Trilioni 1.3, ambayo iko chini ya mishahara ya marais hao. Je, makusanyo yote ndiyo kusema huishia kwenye kulipa mishahara ya marais? Acheni usengerema.
ni bilioni si trilioni
 
No
Hata kama hujasoma hesabu ama hisabati, tumia akili ndogo tu hii ifuatayo. Kwa mjibu wa TRA, kuna miezi makusanyo huishia milioni 800, ukitoa milioni 400+ ya rais aliye madarakani tu, unapata salio la milion 300+, hapo hujawalipa marais wastaafu, mawaziri wakuu wastaafu, waziri mkuu aliye madarakani na wastaafu wengine, je maendeleo ndiyo kusema yatategemea misaada tu?
Ni billion mkuu we vepee
 
acheni kupotosha makamanda. mshahara hauzidi 40milioni kwa mwezi kwa.wastani. kwa hiyo 400milioni ni kama ya mwaka mzima
 
Hiyo ml 460 nina mashaka nayo. Hesabu kidogo, 80% ya ml 460 ni ml 368. Chukua ml 368 zidisha kwa marais watatu wastaafu walio hai unapata 1.104 trilioni, kisha jumlisha na ml 460 ya rais aliyepo madarakani unapata 1.564 trilion. Makusanyo ya mwezi yakizidi sana ni Trilioni 1.3, ambayo iko chini ya mishahara ya marais hao. Je, makusanyo yote ndiyo kusema huishia kwenye kulipa mishahara ya marais? Acheni usengerema.

mkubwa hiyo trilion umeipateje,au naona vibaya.hizo ni hesabu za darasa la ngapi mkuu.
naomba msaada pls
 
Wakuu ningeomba kuwasilisha hapa mana Leo asubuhi nimeskia kwenye radio ktk magazeti ya Leo wakisoma moja ya kichwa hicho cha hbr!. Juu ya mishahara yao kupunguzwa, ningependa kufahaamishwa hivi hao maretired ni kweli bado wanalipwa kiwango kile kile cha utumishi.
Tunanyonywa! Mh. Zitto chonde chonde peleka malalamiko yetu bungeni
naunga mkono hoja wapunguziwe.....walipwe 50% ya anachopata maghufuli.
kwanza tujue Magufuli anapata ngapi.
 
J
Hiyo ml 460 nina mashaka nayo. Hesabu kidogo, 80% ya ml 460 ni ml 368. Chukua ml 368 zidisha kwa marais watatu wastaafu walio hai unapata 1.104 trilioni, kisha jumlisha na ml 460 ya rais aliyepo madarakani unapata 1.564 trilion. Makusanyo ya mwezi yakizidi sana ni Trilioni 1.3, ambayo iko chini ya mishahara ya marais hao. Je, makusanyo yote ndiyo kusema huishia kwenye kulipa mishahara ya marais? Acheni usengerema.[Kweli umejitahdi kuchambua kidogo ki great thinker, mtu kama una uhakika na kile ukisemacho ni vizuri ku quite sio kukoncludi kwa usichokijua
 
Hiyo ml 460 nina mashaka nayo. Hesabu kidogo, 80% ya ml 460 ni ml 368. Chukua ml 368 zidisha kwa marais watatu wastaafu walio hai unapata 1.104 trilioni, kisha jumlisha na ml 460 ya rais aliyepo madarakani unapata 1.564 trilion. Makusanyo ya mwezi yakizidi sana ni Trilioni 1.3, ambayo iko chini ya mishahara ya marais hao. Je, makusanyo yote ndiyo kusema huishia kwenye kulipa mishahara ya marais? Acheni usengerema.

Umekosea kidogo mkuu 1.564 Bilioni...... Sipingi hoja, bali naiweka iwe sahihi tu
 
Nilipata kuwa somewhere nikapata kuliweka hilo mbele ya wadau nikiwaambia mshahara wa prezida tz ni zaidi ya mil400 mbali na posho mbali na overtime hapo... Huwezi kuamini walin'gaka wengine wakaniambia kiasi hicho hakipo raisi analipwa mil arobaini na tano.
Nilisikia sehem io 400M kwa mwaka so ukigawa kwa 12 ndo unapata kwa mwez anapokea sh ngap kama 32 iv
 
Ulgomvi wangu mimi ni kuhusu wale watu wanaoitwa "advisor"". Ukitazama utaona Barak Obama ana mshauri kuhusu uchumi,kuhusu sayansi,kuhusu kuyapiga vita madawa ya kulevya,etc. Washauri wa mambo tofauti. Wako 20,30 au zaidi. Rais hawrzi kufanya kila kitu. Ni hawa washauri,wakichukua hela nyingi bila kutoa ushauri,hapo ndio taifa linaenda mrama.
 
Katika utawala bora,kama wanasiasa wanavyojinadi wakati wa kampeni wakiwemo wagombea Urais,mishahara yao inafaa ijulikane kwa umma mbona inafanywa siri? Unapata mshahara ambao mwajiri wako haujui kweli? Kama kweli hao ni watumishi wetu tujue mishahara yao.
Unataka kufa???
 
Back
Top Bottom