Rais wa Afaghanstan hizi ni dollar za kimarekani 500 au elfu tano? au wamekosea
Rais wa Iran dollar 250 naona haya makosa ya data,250*1600=400,000 za pesa za madafu
Ndio uhalisia,hujawahi soma makala za ahmadinejad yeye hata chakula ofisini analetewa na mke wake,nyumba anayoishi aliijenga kabla ya kuwa kiongozi wa serikali.
Rais wa Afaghanstan hizi ni dollar za kimarekani 500 au elfu tano? au wamekoseaRais wa Iran dollar 250 naona haya makosa ya data,250*1600=400,000 za pesa za madafu
Wananchi wana haki ya kujua mshahara wa rais wao coz kama wanampatia pesa kidogo tutaomba aongezewe,hebu angalia kenya,at least rais wetu apate dola laki 2 na nusu hadi dola laki 3 ama 4 sawa tu
mkapa aliondoka na mshahara wa milioni 66per month nadhani ------ since 2005 itakuwa imeshafika milioni 100 na ushee kwa mwezi kama sio 200 kabisa!. mleta thread hebu tuletee na mshahara alioondoka nao kibaki watu washangae vizuri.
S o itakuwa:
Jakaya Mrisho Kikwete-President of Tanzania:Born 1951 or 53,Tanzania-Married-Several wives-Children-Several
.Annual: USD 360,000
.Monthly:USD30,000
.Daily: USD 1,000,
Kwa mujibu wa Kibanga Ampiga Mkoloni.
NAMSHUKURU mleta Uzi, amenisaidia sana, kumbe mishahara ya Marais ni Kidogo hivyo, Nchi Kama Marekani Raisi Monthly anachota 33,333 hiyo ni gross Bado net pay ambayo baada ya makatokato ya Uzeeni possibly anabaki Na 25,000 usd, kitu gani Kwa linchi kubwa Kama Hilo, hapo anatakiwa awasomeshe Watoto wake, nguo zake, amfurahishe Michelle, achangie JF Kama ni member, Obama atabaki Na nini, true Kwamba Usafiri, house, bill zote, Na mengine analipiwa Na state lakini amana yake ni kiduchu sana, nakubali Kwamba Urais ni Utumishi SIO KIPATO, waNaogombea uongozi wa Nchi Kwa shinikizo la njaa zao Basi hapa wapate SOMO. HAKUNA FEDHA KWENYE SIASA NI UTUMISHI TU..
Kile siku hizi ni kijiwe unaweza ingia pale na usilipwe mshahara na wala usife njaa na ukitoka pale una mijihela uswisi ya kukutosha na mshahara hujawahi chukua
Kwetu bongo viongozi wa kisiasa wanalipwa vizuri kuliko watalamu..Hii ndio bongo bwana.
Sasa nimeanza kupata picha ni kwa nini rais wa Iran anakubalika sana kwa watu wake.
S o itakuwa:
Jakaya Mrisho Kikwete-President of Tanzania:
.Monthly:USD30,000
.Daily: USD 1,000,
Kwa mujibu wa Kibanga Ampiga Mkolo. nO HUO NI MSHAHARA WA BOSI WA TANROADS, C.A.G, TRA, TPA, MWAMUNYANGE, OTHMAN, N.K
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.