Mishahara ya marais duniani

Mishahara ya marais duniani

duh! ina maana mzee wa jinsia moja( david cameron) anazidiwa na wayne rooney mara zaidi ya 60!
 
Jakaya Mrisho Kikwete, president, Tanzania Rep. Born 1955, married (3 wives), children 32
Annual US $ =357,489
Monthly US $ =29790
WeeklyUS $ =6875
DailyUS $ =979

Acheni utani jaman!! Yan jamaa kumbe ndio maana mambo yanamuwia magum bana sasa ww mfamilia wote huo!? Tumuongezeen mshahara mkuu wetu wa kaya asiee.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
[h=2]hii ni top 5 ya mwaka 2011
1.Lee Hsien Loong[/h]
Prime Minister Of Singapore
Annual Salary- US$2,856,930 (S$3,870,000)

[h=2]2.Donald Tsang[/h]
Chief Executive of Hong Kong
Annual Salary- US$513,245

[h=2]3.Raila Odinga[/h]
Prime Minister of Kenya

Annual Salary- US$427,886

[h=2]4.Barack Obama[/h]
President Of United States

Annual Salary- US$400,000

[h=2]5.Nicolas Sarkozy[/h]
President of France

Annual Salary- US$345,423 (€240,000)
 
hii ni makala ya mwaka 2012 october na mshahara wa rais wa malawi ni huu
According to the Daily Telegraph, Banda’s annual take-home pay will decline to £26,000 (about $42,000) from £37,000 a year.
president;Joyce Banda
SALARY; $42,000 PER YEAR
PER MONTH;$3500 PER MONTH
PER WEEK:$500
PER DAY:$71
 
President Museveni's salary is shs 3.6m, Musisi

PREISDENT;MUSEVENI
SALARY; 3.6 MILLION PER MONTH
 
Jacob Zuma - President South Africa - Born: 1942 South Africa - Married - Children: 20

Ameeeeeeen....
 
dah... sasa ndugu Chimbuvu ulikuwa unatafakari nini mpaka ukafikia kwenye mishahara ya hawa top top?? au watakatangaza nia nini?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha mkubwa ni utafiti tu
dah... sasa ndugu Chimbuvu ulikuwa unatafakari nini mpaka ukafikia kwenye mishahara ya hawa top top?? au watakatangaza nia nini?
 
Last edited by a moderator:
AMAZING AMAZING AMAZING AMAZING!!!!!!!!!!!!!!!!

Mahmoud Ahmadinejad
- President Iran - Born:
1956
Iran - Married -
Children: 3
Annual: USD 3,000.00 Monthly: USD 250.00
Weekly: USD 60.00
Daily: USD 12.00

Dah! kweli huyu Rais ni noumaa na Dini imemkaa kwelikweli.
Kama analipwa USD 30000 kwa mwaka ni sawa na 4,500,000
Tsh kwa mwaka that means kwa mwezi ni sawa na mshahara wa mwalimu 375,000Tsh.....Na ni Rais ambae anaishi maisha ya kawaida kwani uki google utashangaa kwani ata chakula anachokula ni cha kupikiwa na mkewe tofauti na viongozi wengine......Ni meshangaa Rais wa LIBERIA anajilipa fedha kibao nauku nchi yao bado sana kimaendeleo naukizingatia ndo kwanza wametoka ktk vita...Na kuna haja gani ya kiongozi kulipwa mihela yote hiyo nauku kila kitu anahudumiwa na serikali hadi kufa kwake?
 
mkimaliza mlete data za walimu hapa jamvini
 
Rais wa Iran ni noma maana mshahara wake kwa mwezi ni sawa na wa dereva pale TRA. Nimemzidi hata ninaomlipa kijana niliyemwajiri ofisini kwangu.
 
Acheni utani jaman!! Yan jamaa kumbe ndio maana mambo yanamuwia magum bana sasa ww mfamilia wote huo!? Tumuongezeen mshahara mkuu wetu wa kaya asiee.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Anakula bure, kulala bure, mavazi buse, usafiri bure, ada watoto na kila kitu bure. unaongeza mshahara wa kazi gani?
 
shida ya wabongo tunapenda kujudge vitu ambavyo havituhusu wewe hizo salary zao umezipata wapi na una uhakika gani na salary zao ebu jaribu kufuata yanayotuhusu achana na mambo ambayo yapo nje ya uwezo wako, think about your country forget about the rest
 
Back
Top Bottom