Mishahara ya marais duniani

Mishahara ya marais duniani

Nafikiri wewe ubongo wako una lag behind by 180 degree maana yake,hata kama wewe ni msomi basi huo usomi wako haujakusaidia kitu zaidi ya kunyoosha mkono mwisho wa mwezi na kupewa kikupasacho.ITS NOT UR FAULT,sio tatizo lako.but ungejiuliza capitalism,socialism ni idea ya nani na kwa nini nchi ziliamua kufuata hizo desturi ambazo ni manmade. Funguka,ili kuendelea ni lazima ujifunze kwa waliokutangulia.c'mon learn to think out of the box

shida ya wabongo tunapenda kujudge vitu ambavyo havituhusu wewe hizo salary zao umezipata wapi na una uhakika gani na salary zao ebu jaribu kufuata yanayotuhusu achana na mambo ambayo yapo nje ya uwezo wako, think about your country forget about the rest
 
1.obama 640m
2 cameroon 338m
3 kenyatta 227m
4 frncois(france) 475m
5 mugabe 27m
6 zuma 400m
7 Plutin 174m
8 jinping(china) 60m
9 kikwete???
NB orodha ipo kwa tsh
 
AMAZING AMAZING AMAZING AMAZING!!!!!!!!!!!!!!!!

Mahmoud Ahmadinejad
- President Iran - Born:
1956
Iran - Married -
Children: 3
Annual: USD 3,000.00 Monthly: USD 250.00
Weekly: USD 60.00
Daily: USD 12.00

It doesn't make sense
 
Tanzanian president mshahara $300,000 kwa mwaka plus makazi,malazi,mavazi,afya yeye na familia pamoja na usafiri vyote hivyo ni package mbali na mshahara
 
1.obama 640m
2 cameroon 338m
3 kenyatta 227m
4 frncois(france) 475m
5 mugabe 27m
6 zuma 400m
7 Plutin 174m
8 jinping(china) 60m
9 kikwete???
NB orodha ipo kwa tsh

No:9, 480,000,000 shillings
 

Dah! kweli huyu Rais ni noumaa na Dini imemkaa kwelikweli.
Kama analipwa USD 30000 kwa mwaka ni sawa na 4,500,000
Tsh kwa mwaka that means kwa mwezi ni sawa na mshahara wa mwalimu 375,000Tsh.....Na ni Rais ambae anaishi maisha ya kawaida kwani uki google utashangaa kwani ata chakula anachokula ni cha kupikiwa na mkewe tofauti na viongozi wengine......Ni meshangaa Rais wa LIBERIA anajilipa fedha kibao nauku nchi yao bado sana kimaendeleo naukizingatia ndo kwanza wametoka ktk vita...Na kuna haja gani ya kiongozi kulipwa mihela yote hiyo nauku kila kitu anahudumiwa na serikali hadi kufa kwake?

Iran ni nchi tajiri sana na maisha ni ghali huo mshahara hata mfanyakazi wa kawaida haumtoshi
 
ushabiki was kidini wanukia apa

Kila kitu ni dini tu kila hoja dini,
Mi nimesema hivyo kwa sababu naijua Iran vizuri, chai yenyewe ni $ 1.50 nimeandika hivyo kutokana na fact wala sipo udini labda tu umeelewa vibaya
 
Back
Top Bottom