Mishahara ya marais duniani

Mishahara ya marais duniani

Jakaya Mrisho Kikwete, president, Tanzania Rep. Born 1955, married (3 wives), children 32
Annual US $ =357,489
Monthly US $ =29790
WeeklyUS $ =6875
DailyUS $ =979
 
.....Endelea....
TZ,
kenya
Nigeria
Japan,
 
AMAZING AMAZING AMAZING AMAZING!!!!!!!!!!!!!!!!

Mahmoud Ahmadinejad
- President Iran - Born:
1956
Iran - Married -
Children: 3
Annual: USD 3,000.00 Monthly: USD 250.00
Weekly: USD 60.00
Daily: USD 12.00

nimeipenda sana pia
 
  • Annual: USD 313,222.00
  • Monthly: USD 26,102.00
  • Weekly: USD 6,264.00
  • Daily: USD 1,253.00
Huu mshahara unamtosha kweli huyu jamaa kwa hii familia ya watoto 20??

Huyu jamaa sijui hata kama anahitaji huo mshahara,huyu jamaa tajiri sana,amechukua urais wakati ameshakuw atajiri
 
Mfanzo rais wa kenya mwaka jana alikuwa analipwa Ksh mil43 sasa tanzania haijawahi kusema Raisi analipwa sh ngapi sasa tujiulizeni,ndogo kiasi gni au nyingi kiasi gani
 
tanzania hakuna rais.....ila mwenye kiti wa ccm ...pamoja na marupurupu ana chukuwa mara 5 ya obama
 
AMAZING AMAZING AMAZING AMAZING!!!!!!!!!!!!!!!!

Mahmoud Ahmadinejad
- President Iran - Born:
1956
Iran - Married -
Children: 3
Annual: USD 3,000.00 Monthly: USD 250.00
Weekly: USD 60.00
Daily: USD 12.00

Hata mimi hii imenikuna, hasa idadi ya watoto! Lol,
 
Mshahara wa rais wetu umehojiwa hapa na Nyani Ngabu toka 2007 lakini hakuna majibu ya maana.

Je, inamaanisha JF haijapenya hadi ikulu??

Jason bourne vipi hili huwezi kulipata??
 
Last edited by a moderator:
Jakaya Mrisho Kikwete, president, Tanzania Rep. Born 1955, married (3 wives), children 32
Annual US $ =357,489
Monthly US $ =29790
WeeklyUS $ =6875
DailyUS $ =979

Aaaaaah! Kumbe source ni Sinai, nilidhani ni reliable source Chimbuvu.
 
Last edited by a moderator:
Mfanzo rais wa kenya mwaka jana alikuwa analipwa Ksh mil43 sasa tanzania haijawahi kusema Raisi analipwa sh ngapi sasa tujiulizeni,ndogo kiasi gni au nyingi kiasi gani

Haya ndiyo mambo yanayotakiwa kuwekwa kwenye Katiba mpya, mshahara wa Magogoni uwekwe wazi.

Watanzania bwana! tunapoteza muda mwingi kujadili masuala ya udini na ugaidi, wakati kuna mamboya muhimu kama hili.
 
Jk hana mshahara yeye anachukua tu anazotaka!
 
Zuma watoto 20 na bado anaoa na kuzaa
 
AMAZING AMAZING AMAZING AMAZING!!!!!!!!!!!!!!!!

Mahmoud Ahmadinejad
- President Iran - Born:
1956
Iran - Married -
Children: 3
Annual: USD 3,000.00 Monthly: USD 250.00
Weekly: USD 60.00
Daily: USD 12.00

Huyo jamaa achana naye yuko serious kuliko maelezo, mpaka msosi anapikiwa na mke wake na kupelekewa ofisini!!!
 
Hakuna haja ya kupokea mshala mkubwa namna hiyo wakati nchi zinamatatizo kama za kiafrika,umasikini, maradhi na ujinga.
 
Back
Top Bottom