Mishahara ya marais duniani

Mishahara ya marais duniani

In America(USA) and some european countries urais ni prestige but in Africa ni deal.
NAMSHUKURU mleta Uzi, amenisaidia sana, kumbe mishahara ya Marais ni Kidogo hivyo, Nchi Kama Marekani Raisi Monthly anachota 33,333 hiyo ni gross Bado net pay ambayo baada ya makatokato ya Uzeeni possibly anabaki Na 25,000 usd, kitu gani Kwa linchi kubwa Kama Hilo, hapo anatakiwa awasomeshe Watoto wake, nguo zake, amfurahishe Michelle, achangie JF Kama ni member, Obama atabaki Na nini, true Kwamba Usafiri, house, bill zote, Na mengine analipiwa Na state lakini amana yake ni kiduchu sana, nakubali Kwamba Urais ni Utumishi SIO KIPATO, waNaogombea uongozi wa Nchi Kwa shinikizo la njaa zao Basi hapa wapate SOMO. HAKUNA FEDHA KWENYE SIASA NI UTUMISHI TU..
 
mkapa aliondoka na mshahara wa milioni 66per month nadhani ------ since 2005 itakuwa imeshafika milioni 100 na ushee kwa mwezi kama sio 200 kabisa!. mleta thread hebu tuletee na mshahara alioondoka nao kibaki watu washangae vizuri.

katiba ijayo, Rais atumie gharama zake kwenye safari za kikazi, hii itapunguza tabia ya marais wetu kushinda angani muda mwingi kama mbayuwayu kuliko nchi kavu na kufuja hela za wamanchi.
 
Kwa hawa viongozi wa kwetu Afrika hiyo mishahara hailezei chochote kwani kuna kitu nyuma ya pazia. Umilikaji wa mali za nchi na vitu kibao vya umma na kufanya kuwa vyao. Sasa niambie, kwa mishahara wapatao baadhi ya viongozi wetu wa kiafrika kwa mwaka wanawezaje kumiliki mali walizonazo?
 
Watoto 20 duh
  • Annual: USD 313,222.00
  • Monthly: USD 26,102.00
  • Weekly: USD 6,264.00
  • Daily: USD 1,253.00
Huu mshahara unamtosha kweli huyu jamaa kwa hii familia ya watoto 20??
 
Ngoja nikushushie data zake
lakini si yeye tu mwenye kiasi kidogo!hata waIran na afganistan nao wana mshahara wa chini ya Mugabe ila yeye rangi ya maandishi haijabadirika!
 
mwaka 1999 gazeti la Majira liliandika habari kuhusiana na mishahara ya viongozi ukiwemo na mshahara wa rais, lilisema rais analipwa shilingi milioni 10 za kitanzania kwa mwezi. Baada ya kutoa habari hii gazeti la Majira lilifungiwa kwa muda.
 
Una maana mshahara wa rais wa tanzania ni SIRI....KALI ambapo serikali haitaki kuweka wazi?
mwaka 1999 gazeti la Majira liliandika habari kuhusiana na mishahara ya viongozi ukiwemo na mshahara wa rais, lilisema rais analipwa shilingi milioni 10 za kitanzania kwa mwezi. Baada ya kutoa habari hii gazeti la Majira lilifungiwa kwa muda.
 
Una maana mshahara wa rais wa tanzania ni SIRI....KALI ambapo serikali haitaki kuweka wazi?

pengine ni siri kwasababu mishahara ya viongozi wengine wa ngazi za juu kama jaji mkuu na spika wa bunge inajulikana lakini mshahara wa rais haujulikani waziwazi.
 
Tupakulie za east afrika mkuu.

Ucnkumbushe mbali,teh,teh!Sio ya kucheka lakini mh!!Nilibahatika kukutana na mwingereza mmoja nje ya jiji la Nairobi kunako jam kwa zuio la msafara wa Presder wa pale enzi za Mr Kibaki ngwe yake ya kwanza,Dak zimekata msafara haupiti ni gari maalum za usalama zinapita kwa kasi kupanda kushuka.Mh mzungu kuangalia saa yake kavimba uso mara mwekunduu!C akaanza kufoka mwenyewe!!!Kwa nini sisi kusubiri zaidi na zaidi kwa mtu anayelipwa zaidi kupita?sikumwelewa naye akajua cjamwelewa.Akapiga hatua 6,tatu kwenda tatu kunirudia,pua karibu yangu mkono wa kulia sikioni kwangu,Afrika inachekesha,huyu anakuja(wanakuja) kule kwetu kusema saidia.Akaachia sikio langu na kusema KWA NINI SISI KUWASAIDIA WAKATI ANAYEOMBA MSAADA ANALIPWA KULIKO KIONGOZI WETU???Aaaaaakh!akitingisha kichwa.Naona akili zikamjia anayempigia nduru si lolote c chochote na anaona kama hakimhusu.Akanikazia macho baada ya kuangalia plate Number ya gari nililokuwa nalo na kutambua kuwa ni M-tizii,hata kwenu shida hii ipo,kwa nini mnawalipa viongozi wenu mishahara mikubwa kuliko sisi huku mkilalamika ni maskini wa kusaidiwa(huku akinyoosha mikono na body language ya kuonyesha mtu aliyedhalili.Kwa nini??KWA NINI WENGI WA VIONGOZI WA AFRICA WANALIPWA HELA NYINGI???WA KWENU ANALIPWA NGAPI?Nikamjibu sijui.Akatingisha kichwa cha kunisikitikia,Unatakiwa kujua 'ndio sababu sasa kusimama robo saa kusubiri Kibaki kupita.Saa hizo msafara wapita gari za kutosha anashangaa na kubeza akiwa ameshikilia kichwa kwa mikono miwili mbele ya gari.anasema kwanini kutumia mafuta miingi kwa gari miingi namna hii???Akaingia kwenye gari akabamiza mlango kwa nguvu huku,tayari amewasha,ashaweka gia handbreak chini mafuta amekanyaga nakuanza kusogea kutoka.Askari wamemkazia macho naye amewakazia,gari haziishi.Kavimba-by bwana mara kioo juu.Nikabaki nimeduwaa.Acha niiwaze AFREQUE YETU.Alichafua maneno ya kutosha kukoroga ubongo wangu kwa dak kadhaa.
 
AMAZING AMAZING AMAZING AMAZING!!!!!!!!!!!!!!!!

Mahmoud Ahmadinejad
- President Iran - Born:
1956
Iran - Married -
Children: 3
Annual: USD 3,000.00 Monthly: USD 250.00
Weekly: USD 60.00
Daily: USD 12.00

Huu uongo bana, yaani kwa maneno mengine ni kwamba, nina mshahara mkubwa kuliko Rais wa Iran?
 
Back
Top Bottom