Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Kilichoongezeka ni Annual Increment tu! Ambayo ipo kisheria lakini ilizuiwa wakati huu wa awamu ya 5. Hakuna nyongeza ya mishahara wala arrears! Najaribu kujiuliza zile fedha zilizotangazwa na mkulu kuwa zitalipa watumishi elfu 59 zimepangiwa kazi nyingine au?
 
Wale wa nmb mzigo ushaingia tayar.

Increment vile vile Kama nilivosema.

Yule jamaa alokua ananibishia humu akuje hapa haraka

Anipe msimbazi wangu nikanywe supu sahivi
 
Wale wa nmb mzigo ushaingia tayar.

Increment vile vile Kama nilivosema.

Yule jamaa alokua ananibishia humu akuje hapa haraka

Anipe msimbazi wangu nikanywe supu sahivi
Hahaaaa Achaaaaaa kupagawisha waruuuuu[emoji13] [emoji14] [emoji14]
 
Huu uzi hufa mara tu kila mtumishi akipata mshahara.
Mshahara ni haki ya kila mtumishi bila kujali kaajiriwa sekta gani au anashughuli gani za ziada.
 
Watumishi nawapa poleee jiandaeni kisaikolojia huo ndio ukweli nawapa hamna jipya zaidi ya ile nyiongeza ya kila mwezi Wa saba haizidi 20000 kuna watakao pata 9000 na 19000 haizidi hapo kulingana na daraja la mtu
 
Back
Top Bottom