Miriam Makeba hatunaye tena

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Yule mwanamama ngwiji wa music na kuigiza Miriam Makeba 76 'Mama Africa' wa Afrika kusini amefariki dunia nchini Italia aliko kwenda kutumbuiza aliigua gafla.
 
Last edited by a moderator:
Ni vyema tukiwa tunaweka na source jamani for credibility.
MAY THE SOUL OF THE FAITHFUL DEPARTED REST IN PEACE.AMEN
 
Malaika, nakupenda malaika, nami nifanyeje kijana mwenzio, nashindwa na mali sina we, ningekuoa malaika.
RIP Mama Miriam
 
'Mama Africa'

Ms Makeba was born in Johannesburg on 4 March 1932 and was a leading symbol in the struggle against apartheid.

Her singing career started in the 1950s as she mixed jazz with traditional South African songs.

She came to international attention in 1959 during a tour of the United States with the South African group the Manhattan Brothers.

She was forced into exile soon after when her passport was revoked after starring in an anti-apartheid documentary and did not return to her native country until Nelson Mandela was released from prison.

Makeba was the first black African woman to win a Grammy Award, which she shared with Harry Belafonte in 1965.

She was African music's first world star, says the BBC's Richard Hamilton, blending different styles long before the phrase "world music" was coined.

After her divorce from fellow South African musician Hugh Masekela she married American civil rights activist Stokely Carmichael.

It was while living in exile in the US that she released her most famous songs, Pata Pata and the Click Song.

Habari kamili hapa: BBC NEWS | Africa | Singer Miriam Makeba dies aged 76

Hii pengine si mahali pake lakini huyu mama ali transcend music na alikuwa sauti ya bara letu huko ughaimuni! Naomba wakati tunasherehekea ushindi wa mwanetu Obama tuchukue muda kuwakumbuka hawa waliotupigania kuanzia Afrika hadi huko ughaimuni (aliolewa na Stokely Carmichael). Huyu na wenzake wakina Dorothy Masuka ndio waliopeperusha bendera ya uafrika wetu.

Upumzike kwema Mama Afrika! Upumzike kwema Miriam Makeba!
Amandla.
 
_45190047_akfap.jpg


Samahanini kwa makosa ya hapo juu.
 
RIP Miram Makeba..umauti umekukuta ukiwa kazini.Sisi tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi.
 
Tunaweza unganisha thread hii na ile ya kwenye interment forum...ili tuweze kuwa sawa..katika hili RIP makeba...
 
Nimekumbuka ile Filamu ya Sarafina, alivyo kuwa anaongea kwa hisia kali. RIP Miriam Makeba.
 
11makeba.600.jpg


Miriam Makeba performed in a concert on Sunday night in southern Italy shortly before she died early Monday.

RIP Mama Makeba
 
11makeba.600.jpg


Miriam Makeba performed in a concert on Sunday night in southern Italy shortly before she died early Monday.

RIP Mama Makeba

She will always be remembered for her fight against apartheid!
Its a great loss!
RIP Mama Africa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom