TANZIA Ramadhani Wasso afariki dunia

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Yule beki kisiki wakushoto Ramadan Wasso amefariki dunia Leo nchini Burundi akiwa na miaka 39.....
Alikuwa sehemu ya kikosi Cha Simba sc kilichotinga makundi cafcl 2003.
---

1711388197628.png
Beki wa zamani aliyekipiga Simba SC na Yanga SC, Ramadhan Waso, raia wa Burundi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 25, nchini kwao.

Beki huyo aliyejiunga Simba mwaka 2000 na baadae kujiunga na Yanga, alikuwa sehemu ya kikosi cha mnyama kilichoitoa Zamalek mwaka 2003 kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Simba SC yaomboleza kifo cha mkongwe huyo.
 
Back
Top Bottom