Mirathi ya Le Mutuz iligawanywaje?

Mirathi ya Le Mutuz iligawanywaje?

Mtu yeyote bachelor mirathi yake huwa inaisha kwa amani.

Le mutuz alikuwa hana mke. Hivyo familia yake imegawana kwa aman.

Ni kama Ruge mutahaba vile hakuwa na mke na yeye mirathi yake imegawanywa kwa amani.

Ila kama Le mutuz angekuwa ameoa leo hii kungekuwa na vita kubwa kugombea vijumba vyake vya kinyerezi na kule kwingine
Alikuwa na watoto US
 
Ndo maana kuna siku nilikutana nae mlimani city akanitolea macho balaaa anasubiri nishobokee "jamani lembebez 😅" kumbe mie tayari nilikuwa nishasikia kazi yake ya kutafutia matajiri mademu
Basi na wewe mkuu ni kisu hasa😁😜.

Kadamnasi yote ya Mlimani city mtu aanze kukusorolea, basi una mvuto na ni mkali kishenzi.

Nitangulize hongera.
 
Hapana wengine walikuwa wananiangalia kawaida tuu ila yeye aliniangalia sana ni kama alikuwa anategemea niende kumsalimia si unajua vile watu hu react wakiona watu maarufu
Uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu unaweza kupishana na mtu asikuzingatie ila mtu mwingine akikuona umakini wote unahamia kwako hali huwa ipo hivyo
 
Mwenye kujua namna mirathi ya celebrity Marehemu William Malecela a.k.a Le Mutuz ilivyogawanywa atujuze. Nyumba (2), apartments (3), akaunti benk, online TV na Magari
Zigawanywe kwa nani wakati Le Mutuz hakuwa na mke wala watoto mkuu?
 
Sasa kulikuwa na nini cha kugawa? Nyumba ya msajili, Noah old model ilishajichokea, Online Tv sidhani kama ilikuwa ina substantial revenue.

Labda ile mishati mikubwa, kanzu moja nyeupe, nyanya puza lake na ile chain ya English gold.

Le Mutuz alikuwa tajiri wa nafsi (aliridhika na kuwa na marafiki matajiri) sio tajiri wa mali.
 
Sasa kulikuwa na nini cha kugawa? Nyumba ya msajili, Noah old model ilishajichokea, Online Tv sidhani kama ilikuwa ina substantial revenue.

Labda ile mishati mikubwa, kanzu moja nyeupe, nyaya puza lake na ile chain ya English gold.

Le Mutuz alikuwa tajiri wa nafsi (aliridhika na kuwa na marafiki matajiri) sio tajiri wa mali.
Heavy breakfast in 5 star hotel u know!
 
Ndo maana kuna siku nilikutana nae mlimani city akanitolea macho balaaa anasubiri nishobokee "jamani lembebez 😅" kumbe mie tayari nilikuwa nishasikia kazi yake ya kutafutia matajiri mademu
Dada @mrspablo mambo 🤔🤔
 
Back
Top Bottom