Mirathi ya Le Mutuz iligawanywaje?

Mirathi ya Le Mutuz iligawanywaje?

Sasa kulikuwa na nini cha kugawa? Nyumba ya msajili, Noah old model ilishajichokea, Online Tv sidhani kama ilikuwa ina substantial revenue.

Labda ile mishati mikubwa, kanzu moja nyeupe, nyaya puza lake na ile chain ya English gold.

Le Mutuz alikuwa tajiri wa nafsi (aliridhika na kuwa na marafiki matajiri) sio tajiri wa mali.
Was kanzu kubwa necessarily?
 
Mbona Watanzania tunapenda umbea kuliko kazi? taarifa za mirathi si uende nyumbani kwako ukaulize? umeshaulizia kwao au kwa ndugu zake ukakosa majibu mpk umeamua kuja huku? Nonsense!!
Ndicho tunachojuwa zaidi
Alafu tunalalamika mbona mchina anauza mpaka yebo×2

Ova
 
Mwenye kujua namna mirathi ya celebrity Marehemu William Malecela a.k.a Le Mutuz ilivyogawanywa atujuze. Nyumba (2), apartments (3), akaunti benk, online TV na Magari
Mzee wa ze utamuz
 
Kesi ya moto ya Malecela ambayo naona Mangę anaipigia kelele ni mirathi ya Dr Mwele.

Kuna sijui captain Lazaro ambae alikuwa mume wa Dr Mwele anasumbua; Bigamy law za Tanzania hazitambui ndoa ya awali mtu akishaoa mke wa pili.

Sasa labda huyo Kibatala awe mwanasheria wa hovyo; lakini kwa sheria za Tanzania na imani ya ki-kikristo huyo Captain Lazaro mahakama aitakiwi kumtambua kama mume wa Dr Mweke kama kesha oa mara mbili baada ya kuachana na Dr Mwele hata kama hawakuwa na divorce rasmi.

Ndio maana BAKWATA wanapigania kwa upande wa waislamu itumike Sharia Law. Vinginevyo kwa sheria ya Tanzania Cpt Lazaro sio claimant kwenye mirathi ya Dr Mwele hawana marriage ties tena baadae ya yeye kuoa ndoa ya kisheria na kanisani.
 
Let my New York City brother Rest In Peace.

It is uncouth to drag his name in mud unnecessarily.

He is not here to defend himself.

One.
Ma DIASPORA mnapaswa mjitafakari sana yaani washkaji zangu wakirudi bongo wanarudi na vihela hawakosi walau 200k usd ila sijui mnajifunza nini wenzetu huko huwa hawana time ya kuoa hawna mahusiano poa na watoto waliozaa bila kuwatunza na huspend all their last life kula bata mfano
1.Mmoja anaitwa Musa wa kigoma wanamjua alikuwa anafanya biashara ya vinyago(vintage vile) huku alikuwa akirudi anakuja tu kuimarisha network ya kumtumia at his 70 aliamua kurudi alikuwa na nyumba kigoma premium kama 5 barabarani moja akajenga club inaitwa lakeview ilikuwa inabamba yaani maish yake alikuwa single na ana watoto kama 4 wote hakuwahi walea ni walaibu wa pombe na ni mabinti sad enough alikuwa analewa nao
2.Anaitwa Mamba huyu ameishi sana minesota alirudi sababu alioa mzungu wakaachana demu akawa anakula almost 70% ya mshahara wake kisa child support aliporudi bongo akaoa malaya sugu sinz afu anaishi nae kiulaya mara watembee wameshikana mikono mara migahawa ya icecreme posta etc yaan demu alikuwa anagongwa balaa jamaa anampa uhuru sana na mpaka leo ni mzee wa bata tu hakuna maeneo ya massage malaya hawamjui

balozi haya ilipawa iyachunguze kenya dispora wao wamefanya mambo sana wetu wanarudi wakiwa wazungu
 
Mkuu,

Hao ni diaspora unaowajua wewe, ni sample ndogo tu.

Mimi najua wengi wako tofauti.

Mfano mimi sina issue ya child support, nina mahusiano mazuri na familia yangu, nafanya kazi vizuri, naendesha kazi na biashara zangu vizuri, na huko Bongo hata hunioni kwa sababu sijaja muda mrefu na sina mpango wa ku retire Bongo.

Wambea wengi hamjui kushika hamsini zenu kila siku kufuatilia maisha ya watu tu.

Huyo aliyeamua kulewa na binti zake hayo ndiyo maisha yake kaamua yawe hivyo, tatizo lako liko wapi? Kalewa kwa hela zako?

Haya, huyo aliyeachana na mkewe mzungu analipa child support anam support mtoto wake, wewe tatizo lako lipi hapo? Ukitaka akulipe wewe?

Kaamua kuoa unayemuita malaya, kivyake. Tatizo lako nini? Ulitaka akuoe wewe?

Mwanamme unalalamika mwanamme mwenzako anakula ice cream na mwanamke aliyemchagua? Unalalamika anamshika mkono mwanamke aliyemchagua? Unataka akushike mkono wewe?

Una ugonjwa gani wa akili wewe?

Wewe huna mwanamke wako wa kula naye unachotaka mpaka unaanza kuwanyanyapaa watu baki walioamua kuishi wanavyotaka?
 
Sawa mzungu!
Huku africa tuna utamaduni wa kufuatiliana sio umbea ni tunapendana .
Huku hatuna bima ya afya ,hatuna gari wala detector ya kujua tuko home pekeyetu na tuna heart attack.
Sisi huku ukilewa na washkaji mkifika home mnaulizana vipi umefika salama ,asubuhi tunaulizana umeamkaje .
Hakuna asiejua maisha ya mzungu ni ya ubinafsi na upweke.neno mind ur busines linaishia pale airport
Ila ukitaka huduma hiyo tunakupa vyema sana .
Mm nimefanya kazi sana ya utalii arusha nimefanya sana kuwa peleka nje gemstones diaspora naowajua ni si chini ya 1000 nadhan miaka yetu ujanja ilikuwa kwenda nje sikuhizi bongo hakuna anaekuona umefanikiwa cha maana kuwa nje .hela za kuja kula malaya huko wiki na kurudi easy kutafuta hapa bongo tu .
Skuizi marekan wanaenda kina mwijaku na baba levo.watu makini tunaenda emerging economies kusaka fursa na maarifa ya kutajirikia home .dola laki 2 usa hupati hata nyumba wakati hapa ukienda china unarudi fungua kiwanda kikubwa cha sausage sinza .
So hatuwatizami tena kama winners tunawatizama kama ndo chaguo lenu na hatusemi mnapatia au mnakosea ,ila 70% wanaorudi hapa wanajikuta tumewaacha hatua 1000
 
Huku kufuatiliana kwa kumzodoa mshikaji wako ambaye hata hayupo hapa kujitetea si kupendana, ni umbea, ni sadism.

Ila mnajivisha gamba la kupendana ku justify unafiki wenu tu.

Friends don't talk about friends the way you do.

With friends like you, who need enemies?
 
Kwanza simzodoi maana hakuna anaemjua hapa ni ,jamiiforum moja ya utamu wake ni kushauriwa juu ya sinario sio an individual its a meeting of mind pengine hapa ndo napata nini nimshauri maana tuna madogo kibao wameanza maisha ulaya kwa gia ya kuwapakia mkongo wabibi wakizungu arusha tunaita last bullet .watu wanashare stori mpaka sensitive kama ndoa kupitia wahuni tu humu mtu anapa good way to go ,wengine hatushei fake stories.
Kingine kuhusu kupendana hilo uliwahi kuwa muafrica unauhakika sisi washkaj wanakaaga huko mwaka hana rafiki akitua airport tunampokea na msululu utasema hatuna kazi za kufanya its what columbus said" native people have beutiful hearts love one another for real they dont know even the concert of possessions but always smile and laugh"
Karibu sinza kumekucha ujipatie safari baridi
 
Know your role. Learn to respect others space.

Huyo mshkaji wako kama unampenda kaa naye umueleze unayoyaona.

Kama hataki unayoona sawa, muachie aishi anavyotaka.

Si kila mtu anataka kuishi kama wewe.
 
Point taken umeshauri kiungwana ,bravo!
 
Back
Top Bottom