That is besides the point. Logical non sequitur fallacy.Nobody expect him to defend himself anyway.
MrsPablo1 toto hujambo 😁Ndo maana kuna siku nilikutana nae mlimani city akanitolea macho balaaa anasubiri nishobokee "jamani lembebez 😅" kumbe mie tayari nilikuwa nishasikia kazi yake ya kutafutia matajiri mademu
Sema nawe huwa ni mpana 😁😂Alikuwa hana ata msibani aliyempa apartment na gari alisema, hiyo ya kinyerezi ipo ukweni na walikuwa wanajenga pamoja na mkewe wakiwa marekani na walipoachana kila kitu kiliishia hapo hapo
he shall continue resting in peace,Let my New York City brother Rest In Peace.
It is uncouth to drag his name in mud unnecessarily.
He is not here to defend himself.
One.
Hii Ngoma ya hip hop tunge iita, fanya wewe 😂🤔Mkuu,
Hao ni diaspora unaowajua wewe, ni sample ndogo tu.
Mimi najua wengi wako tofauti.
Mfano mimi sina issue ya child support, nina mahusiano mazuri na familia yangu, nafanya kazi vizuri, naendesha kazi na biashara zangu vizuri, na huko Bongo hata hunioni kwa sababu sijaja muda mrefu na sina mpango wa ku retire Bongo.
Wambea wengi hamjui kushika hamsini zenu kila siku kufuatilia maisha ya watu tu.
Huyo aliyeamua kulewa na binti zake hayo ndiyo maisha yake kaamua yawe hivyo, tatizo lako liko wapi? Kalewa kwa hela zako?
Haya, huyo aliyeachana na mkewe mzungu analipa child support anam support mtoto wake, wewe tatizo lako lipi hapo? Ukitaka akulipe wewe?
Kaamua kuoa unayemuita malaya, kivyake. Tatizo lako nini? Ulitaka akuoe wewe?
Mwanamme unalalamika mwanamme mwenzako anakula ice cream na mwanamke aliyemchagua? Unalalamika anamshika mkono mwanamke aliyemchagua? Unataka akushike mkono wewe?
Una ugonjwa gani wa akili wewe?
Wewe huna mwanamke wako wa kula naye unachotaka mpaka unaanza kuwanyanyapaa watu baki walioamua kuishi wanavyotaka?
Alikuwa anajenga kinyerezi nyumba ilikuwa imefika kwenye lenta mbweni hakuwa na nyumbaAlikuwa na nyumba kinyerezi na Mbweni mkuu pia.
ohh jambo la kheri, nili kuwa nasoma huu uzi nika kutana na hekaheka zako.Sijambo
Alikuwa anajenga kinyerezi nyumba ilikuwa imefika kwenye lenta mbweni hakuwa na nyumba