Miradi ya Maprofesa wa Bongo

Miradi ya Maprofesa wa Bongo

Hao maprofesa ilifaa wajikite kwenye tafiti na namna bora ya kuboresha elimu yetu, hiyo miradi wanayohamgaika nayo sababu kubwa ni kipato duni.
Hakuna sababu nyingine yeyote inayohalalisha profesa kuhangaika na biashara ya bar au bajaji!
 
Huna unachojua mwehu wewe! Unafahamu Prof. Mdegela wewe? Wacha nisitaje miradi yake! Mbona wengi tu wanapiga hela kwenye fani zao! Unataka prof. Wa SUA asifuge ng'ombe? Eti unasema ng'ombe wawili, hujawahi kumwona Prof mwenye ranch ya ng'ombe wa nyama na maziwa pale SUA?
Mbona kama povu mkuu,acha jaziba tujadili mada kwa utulivu
 
Mchawi kibunda mkuu

Kuna madogo wafanyabiashara wa kichaga na wa kikinga hapo Kariakoo akaunti zao zina mkwanja mrefu kuliko hata hao maprofesa

Hiyo title ya Profesa hata isikutishe
Mshahara wa professor ni zaidi ya 6million kwa mwezi hapo hujaweka marupurupu mengine kama semina nk...

Na hawana stress za biashara kama watu kariakoo walivyo...
Kimsimgi they are living life
 
Back
Top Bottom