Miradi iliyoachwa na Hayati Dkt. Magufuli yawatesa mafisadi

Kumbuka upembuzi yakinifu na mpango wa mradi ulianza kipindi Cha JK.

Kwa hiyo kila mtu anastahili pongezi
Jk anastahili pongezi hipi,kama sio ujasiri wa Magufuri,kisingelifanyika chochote,Jk alikuwa ameisha kimbilia bandali ya Bagamoyo, kuwapa Wachina na Warabu,ili kuuwaa bandari ya Dar.Jk alikuwa janga kwa Taifa hili
 
Hahahahaa basi Kaka, basi ndugu yangu shusha pumzi. Wasamehe usijekuta ukaongela na mambo y abarabara kupunguzwa upana.....
 
Pole sana hapa
Watanzania wa Leo sio wale wa zama za mawe
 
Tumetulia hatutaki kumsema Marehemu vibaya
Taa.hira kweli wew, umseme JPM kwa lipi? watanzania tunamfahamu na tuliridhika nae, yeyote atayeenda kinyume na hayo JPM aloyaanzisha atajuta, msijidanganye pale mnapomtukana mitandaoni tumekaa kimya basi mkaona nyie ndo watanzania sana, the majority tupo tunawacheki tu.
 
Uzalendo ni Pamoja nakuwa na uchungu wa pesa ya wananchi ambayo selikal imeahawekeza

Isijetokea hataaaa kuhairisha mradi wa bwawa
 
Wewe umeanza vizuri kuwaeleza mafisadi wanaotaka kuitupilia mbali maproject ya Mgufuli..bila Shaka mafisadi hao wako serikalini wakiongozwa na mkuu wa machief..
Nilikuwa nimeanza kukuelewa lakini umeacha ghafla maelezo hayo ukarukia kwa Tundu Lissu..tangu lini Lissu akasimimamia project za Magufuli?
 
Acha uongo. Yote hayo ndio nini maana tunawajua kwa uzushi. Mngekua na shutuma ya ufisadi wa kweli kwa magufuli mungebandika matangazo na ushahidi duniani hadi mbinguni. Mlaaniwe wote mliyomsema vibaya magufuli.
 
Mama ndio ataumiza project za magufuli. Anajipitishapitisha kuwaringishia wenzake urais badala ya kusimamia vita dhidi ya ufisadi na uzembe. Utafikiri kama vile rais mwanamke inaongeza uchumi wa watu.
 
Nchi imetulia kwa sababu mfuatiliaji hamna sasa hivi! We iba, kula rushwa fanya lolote ila usibambwe tu na mwajiri mkuu! Hamna kufuatiliana awamu hii!

So watu ni kama wanataka ku recover kwenye ukata wanajiandikia ma per diem na mavikao! Wanajichotea hela sababu hamna wa kuhoji! Nchi ipo kwenye Auto-Pilot mode!
 
Mkuu mbona unateseka sana???
 
Mkuu magamba wanaweweseka na hawajui wakitakacho. miradi yote mikubwa ilikuwa imeshasimama wakati wa mwendazake wakandarasi wakidai malipo yao hili hawalisemi TULILIONA! Na huenda ni miongoni mwa visababishi vya msongo vilivyopelekea umeme kukata. Anyway wamelipwa na kwa tozo tunalipia mambo yanaenda na watu hawaporwi kwa mabavu kwenye akaunti zao...
 
Timu gaidi mko vizuri
 
Acha uzushi wewe. Mngekua na kashfa ya kweli dhidi ya magufuli nyie fisadi mngeacha awapige za usoni bila majibu. Mngemsema kwa ushahidi kwa kelele hadi mbingu zifunguke.
 
Acha uzushi wewe. Mngekua na kashfa ya kweli dhidi ya magufuli nyie fisadi mngeacha awapige za usoni bila majibu. Mngemsema kwa ushahidi kwa kelele hadi mbingu zifunguke.
Hawana ushahidi hao
 
Mtu ameua watu.
Amepora korosho za watu
Amejiuzia nyumba za umma
Amenunua wapinzani
Àmepandisha mankato ya mikopo 8%-15% elimu ya juu.
Halijapandisha madaraja ya watumishi.
We bado unalisifia
Kalifufue uzikwe wewe
 
Kiongosi tuletee hii hata inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…