Mine me, Baba wa mbingu, Seran, Mshana Jr na wengine

Ushalogwa nn mkuuuu tayari???mchk mmshana inbox ukisubiri kuitana humu wanakumalixa ndugu utaisha sikuhizi uloxi mwezi wananalixana na wewe
Cc
Mshana mpwa
.....mpwa kumbuka sadaka baada ya kazi namba yangu n ileleile mwisho 22
 
Hebu unipigie unipe umbea tuwasunbue wote tajiri min me🤩
😃😃 Tulia kwanza dili Bado hata halijapoa , ndio nipo hapa nashughulikia mazaga ya Canada 😃 hapa naona nachomoka kabisa 😃 hapo ni mtiti wa baridi kali
 
😃😃 Tulia kwanza dili Bado hata halijapoa , ndio nipo hapa nashughulikia mazaga ya Canada 😃 hapa naona nachomoka kabisa 😃 hapo ni mtiti wa baridi kali
Hahhaa unaenda kwa le wii! Fanya mpango tupae wote nmechoka joto na vumbi! Ukowapi kwanza tulewe mpaka tuangukie mtaroni😂
 
Hahhaa unaend akwa le wii! Fanya mpango tupae wote nmechoka joto na vumbi! Ukowapi kwanza tulewe mpaka tuangukie mtaroni😂
Mamyoo ngoja kwanza hiki kikongwe nikakipelekee moto , kikikanda uchi ujue tumetoboa😃
 
Hebu fanya kweli bamnyo, kuteseka sio sifa na ule mchongo unipe😎
Mamnyo nimeacha hekari zaidi ya 100 kwa sababu msimu haueleweki ma mvua ma utabiri ya kishamba nimevunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…