wa jeiefu ndio na pm zao,ila wa mitaani ni poa tu,usimwambie mtu:nono:
Hivi libol.o linatoshaga kweli?
wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,matapeli,
nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
Loh! Makubwa.Hivi libol.o linatoshaga kweli?
haupo peke yako:tape2:
Pole shoshti kwa kuchelewa kuwang'amua hawa viumbe wabaya. Wenzio tulishawang'amua siku nyingi tukaamua kuwa watawa.
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
Wanawake tunapenda kusingizia wanaume sana wakati wanawake wengi huwa hawajui makosa yao au kuwa wanakitu/tabia inakimbiza wanaume
Hivi libol.o linatoshaga kweli?