Mimi ni mzima - Lema

Mimi ni mzima - Lema

hahahaha!hata mimi nimeshangazwa na kauli ya Lema.....pancha ya kawaida ni kubadilisha tairi ni zoezi ambalo halimalizi dk kumi na kuondoka ss nashangaa huo uchelewaji ambao umemfanya hadi ashindwe kufika mkutanoni.....tena ameEnda Dar kabisa. Na bado badala yakumuuliza kulikoni kuna watu wala hawafikirishi akili....!wanasiasa wanatufanya wananchi maboya.

Kwanza chadema Ina watu ambao wako kishabiki zaidi wanashindwa hata kuihoji uhalisia wa hiyo taarifa watu wamechukua MDA MREFU KUZIBA PANCHA Lakin eti kwa sasa wako dar wanaufaham umbali wa kutoka shinyanga dar hapo haujaweka FOLLEN za dar kuanzia huku kibaha hadi ubungo
 
Tumepata pancha ya kawaida lakini tumechelewa sana kufika Kahama. Tehetehetehetehe
 
Nimeona kwenye mitandao kuwa mimi pamoja na Mkiti wa Vijana Taifa kuwa tumepata ajali, taarifa hizo sio za kweli isipokuwa leo mchana wakati tunajaribu kuwahi mkutano Kahama gari letu lilipata pancha ya kawaida sana na ilituchukua muda mrefu kurekebisha na hivyo kushindwa kufika Kahama.

Sisi ni wazima na sasa niko Dar nimewasili jioni hii..
Mtu yeyote anayetenda kazi ya Mungu ( ukombozi ) kama ufanyavyo wewe ujue kwamba kila wakati na kila mahali uko salama .
 
Kamanda,

Nafikiri kuwa umuhimu wa kuwa na Business Continuity Plan (BCP) katika taasisi yenu. Mmepata pancha mkashindwa kufika Kahama, naamini kuna wananchi huko walikuwa wakiwasubiri kwa hamu but impression mliyoiacha uko wanaweza wakafikiri mmewa-ignore. Kuelekea uchaguzi mkuu mnatakiwa kuwa na BCP, akishindwa Lema au kiongozi yeyote kufika sehemu fulani kwa muda fulani then awepo alternative individual(s) ambaye (w)anaweza kwenda kuonana na hiyo audience kuepuka undesired perception kwa chama. Mngekuwa na spare tire naamini mngechelewa kidogo kufika Kahama, but still mngeweza kuonana na wananchi angalau kwa muda mchache. Ni mtazamo wangu tu.

Taasisi yao kiongozi ni Mbowe. Class six dropout. Low scale pub operator. Kamanda wao ni Lema. Mhuni wa Arusha. Sasa hiyo BCP wataijua kweli.
 
we ndo mana nakuambiaga akili zako ndogo tair imepata pancha ukiwa kwenye mwendo unakataa sio ajali,unajua maana ya ajali?kasome memkwa haijafutwa

Wewe ni zaidi ya janga la taifa hili,unajuaje kama alikuwa anatembea au walisimama?kwani pancha lazima itokee wakati gari lipo ktk high speed?au lazima liwe linatembea?kama shule urudi wewe kilaza mkubwa
 
ile bakora ya cyber crime ikianza kutembezwa,upotoshaji wa matukio utapungua!!!
 
we ndo mana nakuambiaga akili zako ndogo tair imepata pancha ukiwa kwenye mwendo unakataa sio ajali,unajua maana ya ajali?kasome memkwa haijafutwa

Zzk ametuletea majanga kwa kukunulia hicho ki tecno
 
Tatizo mnatumbua tu kwa anasa pesa zinazotolewa na serikali kwa ajili ya service ya magari yenu ya wabunge.

Pamoja na kwamba mmeamua kutumia magari ya walipa kodi kwa kazi zenu za chama, basi angalau myafanyie service. Pesa nyingi tu utolewa kwa ajili hiyo.

Hivi kumbe ni nyigi sana kama zile za escrow?
 
Kweli chadema mna watu wa hovyo hovyo kabisa gari ilipata pancha mkachukua MDA MREFU KUREKEBISHA na kwa sasa mko dar
unajua umbali wa kutoka shinyanga Dar + FOLLEN za Dar mmetumia ndege ?kwa kweli wajinga ndo waliwao pole sana kwa kutudanganya kamanda

Duh. Waliipakia gari kwenye ndege wakarudi zao Dar kwa meli
 
Back
Top Bottom