Mimi ni mzima - Lema

Mimi ni mzima - Lema

Siasa za Lema zinaanzia Ngaramtoni mwisho kwa Ngulelo Arusha. Lema alikosa watu wa kuwahutubia Kahama akaamua kujisingizia ajali. Lema amefilisika kisiasa

Ulijuaje mkuu, alishaambiwa na wapambe usije maana hakuna hata mtu tofauti na sisi we fanya namna urudi dar, aibu zingine tamthilia tupu..!!
 
Wewe ni muongo,kwani gari halina spea tairi?
wala siamini kama hata mwanza umefika.

halafu nyie ndio wachawi wenyewe ata kama spea tairi lipo unadhani litajibadilisha lenyewe? halafu nahisi wewe ndio unawaloga viongozi wa chadema
 
Jaman imetosha msameheni huyu kichaa alikuwa hajajipanga, kwa haraka haraka ndio kaja uongo wa pancha. Hiki kibarua walichopewa na mzee Mtei kufukuza upepo wa Zitto kitawatoa ute wa mk.undu mwaka huu.

magamba mnaweweseka tu mliposikia ajali mkafurahii, kudadeki kidume lema kinadunda.
 
halafu nyie ndio wachawi wenyewe ata kama spea tairi lipo unadhani litajibadilisha lenyewe? halafu nahisi wewe ndio unawaloga viongozi wa chadema

Kwa ufupi alikuwa kasubiliwa kwa hamu,afu eti kwa muda mfupi kaishafika dar,sie siyo watoto kudanganywa.
 
Toa dharau za kijinga wewe hayawani,ukome kabisa kuwadharau viongozi wetu,hao viongozi wenu wa ccm wana ubora gani? Serikali yote imejaa majuha watupu kuanzia ikulu hadi ngazi ya vijiji,wameua uchumi,sh haina thamani yoyote hivi sasa,sekta zote zimeoza na ni majeneza,police,mahakama,hosp za umma,zote ni majanga,hivi huwa mnapata wapi ujasiri wa kuwa pro-ccm? Nyie wanachama wa ccm wote kama mlivyo ni watoto wa mbwa,tena mbwa koko,na ni mataahira wote kabisa,hamna hata aibu washenzi ninyi,na huu mwaka ndo the end of harlots to reign in the state house nyambaf zenu.

Ila washabiki wa CHADEMA wote ni mas. h. oga
 
Jaman imetosha msameheni huyu kichaa alikuwa hajajipanga, kwa haraka haraka ndio kaja uongo wa pancha. Hiki kibarua walichopewa na mzee Mtei kufukuza upepo wa Zitto kitawatoa ute wa mk.undu mwaka huu.

Yani watu wameshinda wanachomwa na jua,katibu wilaya aliposema eti kapata ajari wakasambaa wote,afu anakuja na uongo wake hapa.
 
Pancha wamepatia karibia wanafika Kahama baada ya kuwasiliana na pro-Chadema mkutanoni akaambia hamna watu akaamua kurudi Dar.

Utapiga kelele sana tu, lakin mwaka Huu chadema tunachukua nchi
 
Tatizo mnatumbua tu kwa anasa pesa zinazotolewa na serikali kwa ajili ya service ya magari yenu ya wabunge.

Pamoja na kwamba mmeamua kutumia magari ya walipa kodi kwa kazi zenu za chama, basi angalau myafanyie service. Pesa nyingi tu utolewa kwa ajili hiyo.

Ujinga kabisa huu, kuna service ya kuzuia puncture?
 
Back
Top Bottom