Mimi ni mzima - Lema

Mimi ni mzima - Lema

Tatizo mnatumbua tu kwa anasa pesa zinazotolewa na serikali kwa ajili ya service ya magari yenu ya wabunge.

Pamoja na kwamba mmeamua kutumia magari ya walipa kodi kwa kazi zenu za chama, basi angalau myafanyie service. Pesa nyingi tu utolewa kwa ajili hiyo.

We nawe, unajua anatumia pesa ipi? au wewe ndio unamshikia hela zake, hayo magari umeambiwa ni ya kwenda dodoma tu? Laumu serikali dhaifu kwa kufunga kiwanda cha general trye na kuleta matairi ya kichina ili watunukiwe uprofesa.
 
We nawe ndio urudi shule, kama pancha ni ajali kama unavyoishadadia mbona gari zipatazo pancha hazipimwi na trafiki au hazitangazwi kwenye vyombo vya habari? Kamanda anajua hiyo ni kitu minor tu ndio maana amesema sio ajali, angekuwa mbunge wa ccm angekuja kuchukuliwa na helkopta awahishwe india kutibiwa shinikizo la damu. Haya mwanao akivunja kikombe mwambie pole kwa kupata ajali.

Mkuu una upeo mdogo sana(kama kweli unaamini ajali ni lazima mtu afe au ajeruhiwe)....mapenzi na ushabiki visitufanye tusitumie elimu tuliyoipata rationally hata kama ni ya msingi....
 
Lema, acha uongo yaani pancha tu iwafanye mrudi Dar es Salaam? Sema ukweli tu baada ya kupiga simu mkutanoni ukaambia hamna watu ukaamua kurudi Dar es Salaam.

mtaumia sana ila LEMA ndio habari ya mujini, nakuambia kwa ujasiri wa lema hata angekuwa peke yake angehutubia kwa kutumia kipaza sauti na ujumbe wangeupata tu, wenyewe wangekuja mkutanoni mbio kanaga mkononi na viatu michwani, watu wamebarikiwa bwana.
 
Tupia picha za ajali . Au tairi lililipata pancha

Umekimbia aibu Kahama. Nayange kufika .
 
Mkuu una upeo mdogo sana(kama kweli unaamini ajali ni lazima mtu afe au ajeruhiwe)....mapenzi na ushabiki visitufanye tusitumie elimu tuliyoipata rationally hata kama ni ya msingi....

Najua hata kujikata na wembe ni ajali, ila wanatumia ushabiki kipuuzi kuikuza ajali hiyo kwa lengo la kudhoofisha hamasa ya watu ndio maana nae amekanusha, sasa wamesema amepelekwa bugando wakati si kweli ili iweje?
 
chadema kinatia aibu sana,hebu lema tuambie hyo pancha ndogo ilishindkana kubadili tair kwenda kwenye mkutano?sielew kwa kwel gari ilikua inaenda dar au kahama?
Kikwete alipopata matatizo kwenye gari lililombeba kwenye msafara wake gari likazima gafla mkadai mfumo wa mafuta ulileta shida! Mnachakachua mpaka mafuta kwenye gari la Raisi?
 
Tatizo mnatumbua tu kwa anasa pesa zinazotolewa na serikali kwa ajili ya service ya magari yenu ya wabunge.

Pamoja na kwamba mmeamua kutumia magari ya walipa kodi kwa kazi zenu za chama, basi angalau myafanyie service. Pesa nyingi tu utolewa kwa ajili hiyo.

Wataka nawe uliwe pia? mh LEMA ana mke kwa hyo pekeka huo ukulubemb.e wako huko actccm
 
Tupia picha za ajali . Au tairi lililipata pancha

Umekimbia aibu Kahama. Nayange kufika .
Hata mimi nilitaka kushangaa, LEMA huyu huyu ambaye sasa akiitisha mkutano Arusha watu hawafiki, leo hii aitishe mkutano kahama apate watu wa kumsikiliza? Hapakuwa na namna lazima angekimbia!
 
Mkuu pole sana! umeanza masomo ya jioni nini mbona umeanza kuwa na busara gafla?

kwani kuna tofauti gani ya kusoma jioni na asubuhi? zile degree zitolewazo kwa wafanyakazi wanaohudhuria chuo jioni hazina ubora sawa na wanaohudhuria asubuhi? kunyamaza pia ni jibu.
 
watakushangaa watu wa kahama ukisema hapakuwa na watu........huku sio kigoma bwana.
 
Back
Top Bottom