Mimi ni mzima - Lema

Mimi ni mzima - Lema

Nimeona kwenye mitandao kuwa mimi pamoja na Mkiti wa Vijana Taifa kuwa tumepata ajali, taarifa hizo sio za kweli isipokuwa leo mchana wakati tunajaribu kuwahi mkutano Kahama gari letu lilipata pancha ya kawaida sana na ilituchukua muda mrefu kurekebisha na hivyo kushindwa kufika Kahama.

Sisi ni wazima na sasa niko Dar nimewasili jioni hii..
Hiyo pacha ulipatia wapi?
 
Napenda sana ujasili wako kamanda!
 
Punguani wahedi wewe mpambe wa Lema wewe hata Lema akijisaidia haja kubwa upo tayari kula.

Haya wewe tuambie tajiri yako kapatia pacha wapi.

Kauzu kweli wewe.

Akili za viroba zimefika point of view wewe mjinga
 
chadema kinatia aibu sana,hebu lema tuambie hyo pancha ndogo ilishindkana kubadili tair kwenda kwenye mkutano?sielew kwa kwel gari ilikua inaenda dar au kahama?
 
Mungu mmoja!..ila kamanda usisahau ratiba ya kwenda kumpa kampani james mbatia kule kigoma
 
Punguani wahedi wewe mpambe wa Lema wewe hata Lema akijisaidia haja kubwa upo tayari kula.

Haya wewe tuambie tajiri yako kapatia pacha wapi.

Kauzu kweli wewe.

Hata ukielezwa itakusaidia nini wewe boya? Una kiherehere kupe wewe
 
Haya magamba Kuna siku yatasema Nape kafa. Propaganda chafu zimewakaa Sana!!
 
Punguani wahedi wewe mpambe wa Lema wewe hata Lema akijisaidia haja kubwa upo tayari kula.

Haya wewe tuambie tajiri yako kapatia pacha wapi.

Kauzu kweli wewe.

Huyu nae Ni GT!!? Kazi IPO!
 
karibu mujini kamanda...ushapata moja baridi...moja moto?kama bado pata kamanda nitakuja kulipa!
 
we ndo mana nakuambiaga akili zako ndogo tair imepata pancha ukiwa kwenye mwendo unakataa sio ajali,unajua maana ya ajali?kasome memkwa haijafutwa

Hakuna ajaali we jini kahaba!!!mbona unalazimisha kupata damu??leo damu hakuna we Mjumbe wa shetani!!kalale na njaa yako.
 
Safi sana Kamanda

Mungu akujalie miaka mingi ya kuishi yenye furaha tele na amani tele mpaka mwenyewe useme "PLEASE SIR, REDUCE THEM"
 
Haya yule Nduka kwenye ule uzi mwingine alikuwa anaomba kisichokuwapo. Mungu ni mkubwa pole sana kamanda.
 
Last edited by a moderator:
Nimeona kwenye mitandao kuwa mimi pamoja na Mkiti wa Vijana Taifa kuwa tumepata ajali, taarifa hizo sio za kweli isipokuwa leo mchana wakati tunajaribu kuwahi mkutano Kahama gari letu lilipata pancha ya kawaida sana na ilituchukua muda mrefu kurekebisha na hivyo kushindwa kufika Kahama.

Sisi ni wazima na sasa niko Dar nimewasili jioni hii..
Kamanda, Pancha tu ukaahirisha safari? Gari haikuwa na spare tyre!?

"Ukombozi" wa nchi umekuwa lelemama sana!
 
Hata ukielezwa itakusaidia nini wewe boya? Una kiherehere kupe wewe
Badala ya kurusha matusi, ungejibu hilo swali lake? Lema alipatia pancha wapi?

Mbona alishakaribia kahama kabisa? imekuwa ageuke na kurudi Dar?
 
Back
Top Bottom