albuluushiy
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 1,404
- 687
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
Lema, acha uongo yaani pancha tu iwafanye mrudi Dar es Salaam? Sema ukweli tu baada ya kupiga simu mkutanoni ukaambia hamna watu ukaamua kurudi Dar es Salaam.Nimeona kwenye mitandao kuwa mimi pamoja na Mkiti wa Vijana Taifa kuwa tumepata ajali, taarifa hizo sio za kweli isipokuwa leo mchana wakati tunajaribu kuwahi mkutano Kahama gari letu lilipata pancha ya kawaida sana na ilituchukua muda mrefu kurekebisha na hivyo kushindwa kufika Kahama.
Sisi ni wazima na sasa niko Dar nimewasili jioni hii..
Nimeona kwenye mitandao kuwa mimi pamoja na Mkiti wa Vijana Taifa kuwa tumepata ajali, taarifa hizo sio za kweli isipokuwa leo mchana wakati tunajaribu kuwahi mkutano Kahama gari letu lilipata pancha ya kawaida sana na ilituchukua muda mrefu kurekebisha na hivyo kushindwa kufika Kahama.
Sisi ni wazima na sasa niko Dar nimewasili jioni hii..
we ndo mana nakuambiaga akili zako ndogo tair imepata pancha ukiwa kwenye mwendo unakataa sio ajali,unajua maana ya ajali?kasome memkwa haijafutwa
Lema, acha uongo yaani pancha tu iwafanye mrudi Dar es Salaam? Sema ukweli tu baada ya kupiga simu mkutanoni ukaambia hamna watu ukaamua kurudi Dar es Salaam.
Nimeona kwenye mitandao kuwa mimi pamoja na Mkiti wa Vijana Taifa kuwa tumepata ajali, taarifa hizo sio za kweli isipokuwa leo mchana wakati tunajaribu kuwahi mkutano Kahama gari letu lilipata pancha ya kawaida sana na ilituchukua muda mrefu kurekebisha na hivyo kushindwa kufika Kahama.
Sisi ni wazima na sasa niko Dar nimewasili jioni hii..
Unaconclude wakati hukuwepo kwenye eneo la tukio. Unazijua pancha za tubeless tyres?we ndo mana nakuambiaga akili zako ndogo tair imepata pancha ukiwa kwenye mwendo unakataa sio ajali,unajua maana ya ajali?kasome memkwa haijafutwa
Punguani wahedi wewe mpambe wa Lema wewe hata Lema akijisaidia haja kubwa upo tayari kula.Acha upumbavu wewe.... Unaropoka kwa kutokujua jiografia ya nchi. Pancha ya gari siyo ya baiskeli unatembea na pampu..... Pangaboy wewe
Tatizo mnatumbua tu kwa anasa pesa zinazotolewa na serikali kwa ajili ya service ya magari yenu ya wabunge.
Pamoja na kwamba mmeamua kutumia magari ya walipa kodi kwa kazi zenu za chama, basi angalau myafanyie service. Pesa nyingi tu utolewa kwa ajili hiyo.