Mimi ni Introvert, jamii inanichukulia tofauti sana

Mimi ni Introvert, jamii inanichukulia tofauti sana

Huo ni UONGO mkubwa mataifa yaliyoendelea muda wa kupiga umbeya kwenye vijiwe vya kahawa hakuna pia misibani hulazmishwi wala unapoishi jiran yako yawezekana usimjue
Sasa sisi ni wa huko ulaya..?
Wapi nimeandika nasapoti umbea wa vijiweni..
 
Introvert tunahudhuria shughuli za kijamii ikiwemo sherehe na misiba, hayo mambo muhimu unayokaa ukifikiria yana umuhimu kuliko misiba?
Introvert wa kweli anajichanganya na jamii inapomlazimu ila ndio inampa shida kila wakati anatamani shughuli iishe aondoke

Wewe sio introvert ni anti-social na una dharau kama unavyotuhumiwa

Ufukuzwe hapo mtaani huna tofauti na kibaka au jizi
Goddamnit don't be a silly little girl. Unajua maana ya free country? nani ana mamlaka ya kumfukuza mwenzake nchini hapa?

Hii ni nchi huru hakuna anayeishi kwa ajili ya mwenzake na kila mtu ataishi anavyotaka mradi havunji sheria kama akivunja sheria then mamlaka husika zipo hatupo enzi za ujima.

Yaani mimi ninunue kiwanja na kujenga kwa pesa yangu alafu mbuzi mmoja aje kunifukuza kisa siishi anavyotaka yeye?
What the hell is this? niamini kama ungekuwa unaniambia mimi hayo maneno na upo karibu yangu ningekutandika makofi ya kutosha akili ikae sawa.
 
Hutu tu maneno maneno twa kizungu tumeleta matatizo sana siku hizi, maana kila mwenye kitabia chake cha ajabu anakitafutia jina la kizungu.

Kuna ubinafsi, uchoyo na kujiona bora kuliko wengine utasikia 'introvert.

Mcharuko, kuongea bila ya break, kila kitu kujua wewe, utasikia 'extrovert.

Jitu linabadilisha mahusiano kama nguo. Analalana ovyo na kila mtu, utasikia 'outgoing'.

Jitu halijielewi leo analala na mwanaume kesho mwanamke kesho kutwa mnyama utasikia 'bisexual'.

All in all uzungu umetuletea maneno ya kuhalalisha upumbavu kwa majina mazuri mazuri. Enzi za mababu zetu hutukusikia ujinga huu.

Wewe mtoa mada ni limbukeni wa maisha hakuna cha introvert wala nini. Subiri siku likutokee tatizo halafu uone kina Robert Greene waje kukusaidia.

Kila binadamu haijalishi uwezo wake wa kiuchumi anahitaji watu wengine kwa njia moja au nyingine.

Kuna baadhi ya mambo kwenye jamii yanaweza tatuliwa na watu wengine tu na si pesa yako wala kazi yako, mathalan kupatwa na janga la moto ghafla, sasa wewe na kujiona huna upuuzi wa kujichanganya unaweza jikuta umekuwa ndafu watu wakikuangalia tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo kwa bisexuals.
 
Nauliza maswali mepesi lakini nina uhakika kwa asilimia 75% hakuna atakayeweza kunijibu.
Sababu deep down kila mtu anajua uhalisia wa mienendo yake na wanaogopa kuuface ukweli wao wenyewe.
Shida watu wengi wanaishi kwa woga wanatafuta approval kutoka third parties hawajiamini wao wenyewe,kwa hiyo usishangae wakakosa majibu na majibu hawana kweli sababu they all fakers.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Sijui ni kwanini hili jambo linakuwa hivi jamiiforums!

Yaani ukitaka kujua jamii na watu hawana maamuzi binafsi wala kujitambua na kujua wanataka nini maishani na ni wafuata mkumbo angalia JF.
Mtu wa kwanza kucomment ndio anareflect au kuamua comment zijazo zitakuwa na content gani na watu wanaofuata watacomment nini.

Kwa lugha nyepesi yaani atakachocomment mtu kwanza basi watu wote watakaofuata watacomment hichohicho kuendana na comment ya kwanza tofauti na quora sehemu ambayo kila mtu anatoa mitazamo, opinion na perspective zake.

Sijui kwanini hili jambo lakini kwa asilimia kubwa au zote linamulika uhalisia wa jamii na maisha yao.
Najaribu kuangalia hilo pia,sina hakika ila napata picha kidogo kama watanzania wengi ni watu wa mizaha isiyo na tija na watu wanaopenda cheap discussion sio watu wa ku crack mind na kingine wengi wanakuwa tayari wapo biased kabisa sio watu wakuweza kuchambua mambo,yaani sio Analytical and Critical kabisa.
Kiufupi wengi wako empty kichwani mpaka mioyoni huo ndio ukweli.
Pata picha mtu analeta mada ya uzoefu aliopitia lakini badala ya kutoa michanganuo yao wao moja kwa moja wanaanza kuponda badala ya kuleta hoja fikirishi.
Pengine inaweza kuwa ndio hata sababu hii nchi bado tuko nyuma sana karibia kila nyanja watu wapuuzi sana wanapoteza sana muda.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Mimi sio Introvert lakini naishi ninavyotaka na ngoja nikuonyeshe experience yangu na maisha ya jamii na uone jinsi gani huu uzi umejaa waoga, fakers na wanafiki. just goddamn cowards.
I had to learn the hard way, and it's painfully.

Hapo kabla ukiwa unaishi vizuri kwa kunyenyekea watu na kufanya kila mtu anachokitaka bila kusema hapana utaonekana mwema, gentleman na mtaratibu na kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na sifa za kijinga ili kukujaza kichwa, yaani kusema hapana hauwezi sababu unaogopa watu watanichukuliaje hivyo unakuwa "ndiyo mzee" au yes man. unadhani kila mtu ni mwema kama wewe na ana moyo kama wako WRONG!.

Watu watakutumia wanavyotaka sababu wanajua hauwezi kukataa (na nikukumbushe kitu watu wote ni washenzi au niseme people are assholes sio kila mtu ni mwema kama wewe na hauwezi kuwa mwema mbele ya washenzi au utakuwa unaumia mwenyewe).
Hivyo watakuendesha kama boya na mwisho wa siku wanakukimbia humuoni hata mmoja.

Na nikuhakikishie kitu. siku unapata tatizo hakuna kima hata mmoja atakuja kukusaidia, unapata shida hawa washenzi uliokuwa unadhani ni watu ndio watakuwa wa kwanza kukucheka na kusema yule alikuwa anajiona sana hata kama unakaribia kufa na wanasahau yote uliyowasaidia na kujitolea. watakushusha chini na kukukanyaga kama tambala la kufutia miguu mlangoni you become a doormat!! na wanakuwa na furaha sana wakikuona wewe unaumia naongea hili sio theory bali ni fukcing experience na reality check niliyoshuhudia mimi mwenyewe.

Hivyo hawa cowards wanaosema "ishi na watu vizuri" "jichanganye na watu" "unajiona bora na kujisikia" "arrogant and shit." hawa wote hawajawahi kupitia uhalisia wa maisha na kuona watu wanavyokubadilikia siku ukianguka hasa ukikutana na waswahili.

Haijalishi unafanya nini kamwe hauwezi kuridhisha kila mtu na hauwezi kupendwa na kila mtu na kamwe usijaribu kumridhisha mtu yoyote ishi kwa ajili yako sababu mwisho wa siku wote mtakufa tu. sasa wewe kuwa mjinga upoteze muda wako kwa ajili ya kufikiria yule mjinga atanifikiriaje, just fukc them!

Ishi na mtu kwa jinsi anavyokuja kama anaonyesha ushirikiano kwako basi nawewe utaonyesha ushirikiano kwake na sio vinginevyo. kama shida zipo tu na kufa kupo tu na kamwe usiishi in pressure na kumwachia mbuzi yoyote achukue pride yako na ashushe self esteem yako NEVER. usijishushe au thamani yako haitaonekana na hautothaminika wala kuheshimika bali utakuwa unachezewa mindgame ili wakuminye na kupata faida kwako.

Hawa wanaosema uchanganyike na ushirikiane na jamii sio kwamba wanafanya hivyo kwa moyo bali kwa pressure na kutegemea malipo baadae na expectations lakini moyoni ndani kabisa wanajua ukweli.
Huu uzi umejaa fakers, wanafiki, waoga wanaoogopa kupata matatizo na kuogopa kufa hivyo waenaishi kwa kuridhisha watu ili kupata misaada baadae, malipo na kutafuta huruma na kukubalika. hizi ni sifa za wanafiki na waoga wa maisha.

Watu wengi ni waoga na wanafki, ndio maana nasema fukc people fukc everybody else fukc these motherfukcers, Eminem na Wayne wanasema bitch you get "No Love."
Naked truth.
 
Dharau zako zimeanzia hapa
Jambo linaweza tokea mtaani nawala nisiwe na habari nalo mi niko bize na mambo yangu. Mfano anaweza kuja mtu mashuhuri watu wakajazana kwenda kumuona lakini mimi sina huo upumbavu
kuita jambo fulani upumbavu ni dharau tosha hauna hata chembe ya uintrovert acheni kujing'ang'aniza kwenye tabia msizonazo.
sina shobo na mtu na sitaki mazoea na mtu, niko bize na mambo yangu. Ata jirani yangu sijui anaitwa nani wala anajishughulisha na nini.
 
Kizungu kingine kimekuja juzi juzi na ndege za baba jenet zamani hakikuwepo
 
Watu wanaishi maisha ya kufeki balaa,tena hao wanaojifanya eti wana marafiki wengi, ndiyo kabisa hawajui kama hawajui. Mwisho wa siku chaguo ulilobaki nalo ni kuwa strong peke yako.

Hao ulijikusanyia msimu huu jiulize kama unawahitaji msimu ujao. Kuwa kocha wa maisha yako na kamwe usiruhusu wakupangie ni kiasi gani unachostahili.
 
Bila shaka asilimia kubwa hapa mnatambua tabia za introvert, hizo tabia zimepelekea jamii inayo nizunguka kuniona ni mtu wa ajabu sana. Huenda ni sababu ya wao kukosa uelewa kuhusu watu walio katika kundi la Introvert. Hizi ni baadhi ya tabia zinazo wafanya wanione mtu wa tofauti sana kulinganisha na wao.

Sipendi kuchangamana na watu, yaani napenda niwe peke yangu mimi kama mimi. Na muda mwingi niko bize na simu yangu nikiperuzi JamiiForums, sijawahi kutumia Facebook, Instagram wala Twitter. Ata hii JamiiForums nilijiunga baada ya mara kwa mara kila nikisachi kule Google lazima itokee kwahiyo nikaona bora nijiunge. Kwahiyo mara nyingi niko na simu nikichoka kuperezu nachukua kitabu najisomea kwaajili ya kuongeza maarifa. Nasoma vitabu vilivyo andikwa na waandishi kama Robert Greene, Eric Jorgenson, James Clear, Daniel Carnegie, Robin Sharma, Robert Kiyosaki, Morgan Housel. Kwahiyo mara nyingi niko bize na kitabu sitaki kuwa karibu na watu kabisa.

Jambo linaweza tokea mtaani nawala nisiwe na habari nalo mi niko bize na mambo yangu. Mfano anaweza kuja mtu mashuhuri watu wakajazana kwenda kumuona lakini mimi sina huo upumbavu.

Ni mtu mkimya sana sina shobo na mtu na sitaki mazoea na mtu, niko bize na mambo yangu. Ata jirani yangu sijui anaitwa nani wala anajishughulisha na nini.

Siendi kwenye sherehe yoyote ile wala sihudhulii kwenye msiba wowote ule, kifupi sipendi kujichanganya na watu napenda niwe peke yangu nikitafakari mambo muhimu.

Najiamini na kujikubali sana, hii hali imepelekea jamii kuniona mtu mwenye dharau kwao. Hii sio sawa ila ndio njisi nilivyo. Tabia zinazo wafanya wanione tofauti ni nyingi sana hizo ni baadhi tu.

Je mwana introvert mwenzangu unapitia changamoto zipi katika jamii inayo kuzunguka.
Kwahiyo unajiona mjanja..? Kwangu mimi nakuona Foo tu!
 
Mimi sio Introvert lakini naishi ninavyotaka na ngoja nikuonyeshe experience yangu na maisha ya jamii na uone jinsi gani huu uzi umejaa waoga, fakers na wanafiki. just goddamn cowards.
I had to learn the hard way, and it's painfully.

Hapo kabla ukiwa unaishi vizuri kwa kunyenyekea watu na kufanya kila mtu anachokitaka bila kusema hapana utaonekana mwema, gentleman na mtaratibu na kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na sifa za kijinga ili kukujaza kichwa, yaani kusema hapana hauwezi sababu unaogopa watu watanichukuliaje hivyo unakuwa "ndiyo mzee" au yes man. unadhani kila mtu ni mwema kama wewe na ana moyo kama wako WRONG!.

Watu watakutumia wanavyotaka sababu wanajua hauwezi kukataa (na nikukumbushe kitu watu wote ni washenzi au niseme people are assholes sio kila mtu ni mwema kama wewe na hauwezi kuwa mwema mbele ya washenzi au utakuwa unaumia mwenyewe).
Hivyo watakuendesha kama boya na mwisho wa siku wanakukimbia humuoni hata mmoja.

Na nikuhakikishie kitu. siku unapata tatizo hakuna kima hata mmoja atakuja kukusaidia, unapata shida hawa washenzi uliokuwa unadhani ni watu ndio watakuwa wa kwanza kukucheka na kusema yule alikuwa anajiona sana hata kama unakaribia kufa na wanasahau yote uliyowasaidia na kujitolea. watakushusha chini na kukukanyaga kama tambala la kufutia miguu mlangoni you become a doormat!! na wanakuwa na furaha sana wakikuona wewe unaumia naongea hili sio theory bali ni fukcing experience na reality check niliyoshuhudia mimi mwenyewe.

Hivyo hawa cowards wanaosema "ishi na watu vizuri" "jichanganye na watu" "unajiona bora na kujisikia" "arrogant and shit." hawa wote hawajawahi kupitia uhalisia wa maisha na kuona watu wanavyokubadilikia siku ukianguka hasa ukikutana na waswahili.

Haijalishi unafanya nini kamwe hauwezi kuridhisha kila mtu na hauwezi kupendwa na kila mtu na kamwe usijaribu kumridhisha mtu yoyote ishi kwa ajili yako sababu mwisho wa siku wote mtakufa tu. sasa wewe kuwa mjinga upoteze muda wako kwa ajili ya kufikiria yule mjinga atanifikiriaje, just fukc them!

Ishi na mtu kwa jinsi anavyokuja kama anaonyesha ushirikiano kwako basi nawewe utaonyesha ushirikiano kwake na sio vinginevyo. kama shida zipo tu na kufa kupo tu na kamwe usiishi in pressure na kumwachia mbuzi yoyote achukue pride yako na ashushe self esteem yako NEVER. usijishushe au thamani yako haitaonekana na hautothaminika wala kuheshimika bali utakuwa unachezewa mindgame ili wakuminye na kupata faida kwako.

Hawa wanaosema uchanganyike na ushirikiane na jamii sio kwamba wanafanya hivyo kwa moyo bali kwa pressure na kutegemea malipo baadae na expectations lakini moyoni ndani kabisa wanajua ukweli.
Huu uzi umejaa fakers, wanafiki, waoga wanaoogopa kupata matatizo na kuogopa kufa hivyo waenaishi kwa kuridhisha watu ili kupata misaada baadae, malipo na kutafuta huruma na kukubalika. hizi ni sifa za wanafiki na waoga wa maisha.

Watu wengi ni waoga na wanafki, ndio maana nasema fukc people fukc everybody else fukc these motherfukcers, Eminem na Wayne wanasema bitch you get "No Love."
Huna adabu kabisa, maandishi yako yanasadiki tabia yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom