Mimi ni Introvert, jamii inanichukulia tofauti sana

Huu uzi jamaa anapewa za uso hadi huruma, kakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ameonyesha dharau na kiburi kwenye kuwasilisha uintrovert wake

Anaita upumbavu mambo wanayofanya wengine
Huendi msibani

Ametuaibisha maintrovert wote mpaka tunaonekana wa michongo[emoji1787]
 
Jitahidi kujichanganya Mimi pia ni mmoja ya wenye hilo tatizo nnapenda kukaa peke yangu mtu akiniongelesha nnachukia nnaona km ananisumbua,hila katika suala la kuhudhulia matukio pia sipendi hila lazima ntajitahidi mpk ntahudhulia iwe msiba,harusi au kuona mgonjwa kuna vitu lazima ujifosi siku shida ikikupata utapata tabu sana.
 
Mimi sio Introvert lakini naishi ninavyotaka na ngoja nikuonyeshe experience yangu na maisha ya jamii na uone jinsi gani huu uzi umejaa waoga, fakers na wanafiki. just goddamn cowards.
I had to learn the hard way, and it's painfully.

Hapo kabla ukiwa unaishi vizuri kwa kunyenyekea watu na kufanya kila mtu anachokitaka bila kusema hapana utaonekana mwema, gentleman na mtaratibu na kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na sifa za kijinga ili kukujaza kichwa, yaani kusema hapana hauwezi sababu unaogopa watu watanichukuliaje hivyo unakuwa "ndiyo mzee" au yes man. unadhani kila mtu ni mwema kama wewe na ana moyo kama wako WRONG!.

Watu watakutumia wanavyotaka sababu wanajua hauwezi kukataa (na nikukumbushe kitu watu wote ni washenzi au niseme people are assholes sio kila mtu ni mwema kama wewe na hauwezi kuwa mwema mbele ya washenzi au utakuwa unaumia mwenyewe).
Hivyo watakuendesha kama boya na mwisho wa siku wanakukimbia humuoni hata mmoja.

Na nikuhakikishie kitu. siku unapata tatizo hakuna kima hata mmoja atakuja kukusaidia, unapata shida hawa washenzi uliokuwa unadhani ni watu ndio watakuwa wa kwanza kukucheka na kusema yule alikuwa anajiona sana hata kama unakaribia kufa na wanasahau yote uliyowasaidia na kujitolea. watakushusha chini na kukukanyaga kama tambala la kufutia miguu mlangoni you become a doormat!! na wanakuwa na furaha sana wakikuona wewe unaumia naongea hili sio theory bali ni fukcing experience na reality check niliyoshuhudia mimi mwenyewe.

Hivyo hawa cowards wanaosema "ishi na watu vizuri" "jichanganye na watu" "unajiona bora na kujisikia" "arrogant and shit." hawa wote hawajawahi kupitia uhalisia wa maisha na kuona watu wanavyokubadilikia siku ukianguka hasa ukikutana na waswahili.

Haijalishi unafanya nini kamwe hauwezi kuridhisha kila mtu na hauwezi kupendwa na kila mtu na kamwe usijaribu kumridhisha mtu yoyote ishi kwa ajili yako sababu mwisho wa siku wote mtakufa tu. sasa wewe kuwa mjinga upoteze muda wako kwa ajili ya kufikiria yule mjinga atanifikiriaje, just fukc them!

Ishi na mtu kwa jinsi anavyokuja kama anaonyesha ushirikiano kwako basi nawewe utaonyesha ushirikiano kwake na sio vinginevyo. kama shida zipo tu na kufa kupo tu na kamwe usiishi in pressure na kumwachia mbuzi yoyote achukue pride yako na ashushe self esteem yako NEVER. usijishushe au thamani yako haitaonekana na hautothaminika wala kuheshimika bali utakuwa unachezewa mindgame ili wakuminye na kupata faida kwako.

Hawa wanaosema uchanganyike na ushirikiane na jamii sio kwamba wanafanya hivyo kwa moyo bali kwa pressure na kutegemea malipo baadae na expectations lakini moyoni ndani kabisa wanajua ukweli.
Huu uzi umejaa fakers, wanafiki, waoga wanaoogopa kupata matatizo na kuogopa kufa hivyo waenaishi kwa kuridhisha watu ili kupata misaada baadae, malipo, kutafuta huruma na kukubalika. hizi ni sifa za wanafiki na waoga wa maisha.

Watu wengi ni waoga na wanafki, ndio maana nasema fukc people, fukc everybody else, fukc these motherfukcers, Eminem na Wayne wanasema bitch you get "No Love."
 
Shiriki shughuli za kijamii we kijana, kua introvet ndo mambo ya kijamii usishirikie utakuja kufia huko ndani unakosomea hayo mavitabu shauri yako.

Kuna habari BBC, mwili wa mdada ulikuja kugunduliwa ndani baada ya miaka 3. Yaani alifia seblen kwake majirani hawajui, baada ya miaka 3 ndo wakaja kujua napo ni baada ya watu gani sijui kutaka kufanya service kwenye hiyo nyumba.

Na wewe unaelekea huko.
What if kama ameoa?
 
Jitahidi kujichanganya Mimi pia ni mmoja ya wenye hilo tatizo nnapenda kukaa peke yangu mtu akiniongelesha nnachukia nnaona km ananisumbua,hila katika suala la kuhudhulia matukio pia sipendi hila lazima ntajitahidi mpk ntahudhulia iwe msiba,harusi au kuona mgonjwa kuna vitu lazima ujifosi siku shida ikikupata utapata tabu sana.
Hii tabia ya kwamba unaenda msiban au harusi ili siku ikikutokea na wao waje kwako naonaga ni ya kipuuzi sana, ndio nyinyi mnaenda kwenye events ili muonekane ? Kwa taarifa yako unaweza ukaenda na watu wasishiriki pia ktk event yako, acheni ku fake maisha Kila mtu aishi maisha yake.
 
Jitahidi kujichanganya Mimi pia ni mmoja ya wenye hilo tatizo nnapenda kukaa peke yangu mtu akiniongelesha nnachukia nnaona km ananisumbua,hila katika suala la kuhudhulia matukio pia sipendi hila lazima ntajitahidi mpk ntahudhulia iwe msiba,harusi au kuona mgonjwa kuna vitu lazima ujifosi siku shida ikikupata utapata tabu sana.
Na siku ukipata shida na hakuna mtu atakayekuja kukusaidia utafanya nini?
 
Nimekuelewa sana tena sana. Mimi huwa siandafii kenge yoyote ile kila mmoja afanye mambo yake. Kama ni kufa kila mtu atakufa

Acha wanione niko tofauti ama nina dharau ila uhalisia ndio huo na ninajivunia kuwa hivyo.
Mimi sio Introvert lakini naishi ninavyotaka na ngoja nikuonyeshe experience yangu na maisha ya jamii na uone jinsi gani huu uzi umejaa waoga, fakers na wanafiki. just goddamn cowards.
I had to learn the hard way, and it painfully.

Hapo kabla ukiwa unaishi vizuri kwa kunyenyekea watu na kufanya kila mtu anachokitaka bila kusema hapana utaonekana mwema, gentleman na mtaratibu na kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na sifa za kijinga ili kukujaza kichwa, yaani kusema hapana hauwezi sababu unaogopa watu watanichukuliaje hivyo unakuwa "ndiyo mzee" au yes man. unadhani kila mtu ni mwema kama wewe na ana moyo kama wako WRONG!.

Watu watakutumia wanavyotaka sababu wanajua hauwezi kukataa (na nikukumbushe kitu watu wote ni washenzi au niseme people are assholes sio kila mtu ni mwema kama wewe na hauwezi kuwa mwema mbele ya washenzi au utakuwa unaumia mwenyewe).
Hivyo watakuendesha kama boya na mwisho wa siku wanakukimbia humuoni hata mmoja.

Na nikuhakikishie kitu. siku unapata tatizo hakuna kima hata mmoja atakuja kukusaidia, unapata shida hawa washenzi uliokuwa unadhani ni watu ndio watakuwa wa kwanza kukucheka na kusema yule alikuwa anajiona sana hata kama unakaribia kufa na wanasahau yote uliyowasaidia na kujitolea. watakushusha chini na kukukanyaga kama tambala la kufutia miguu mlangoni you become a doormat!! na wanakuwa na furaha sana wakikuona wewe unaumia naongea hili sio theory bali ni fukcing experience na reality check niliyoshuhudia mimi mwenyewe.

Hivyo hawa cowards wanaosema "ishi na watu vizuri" "jichanganye na watu" "unajiona bora na kujisikia" "arrogant and shit." hawa wote hawajawahi kupitia uhalisia wa maisha na kuona watu wanavyokubadilikia siku ukianguka hasa ukikutana na waswahili.

Haijalishi unafanya nini kamwe hauwezi kuridhisha kila mtu na hauwezi kupendwa na kila mtu na kamwe usijaribu kumridhisha mtu yoyote ishi kwa ajili yako sababu mwisho wa siku wote mtakufa tu. sasa wewe kuwa mjinga upoteze muda wako kwa ajili ya kufikiria yule mjinga atanifikiriaje, just fukc them!

Ishi na mtu kwa jinsi anavyokuja kama anaonyesha ushirikiano kwako basi nawewe utaonyesha ushirikiano kwake na sio vinginevyo. kama shida zipo tu na kufa kupo tu na kamwe usiishi in pressure na kumwachia mbuzi yoyote achukue pride yako na ashushe self esteem yako NEVER. usijishushe au thamani yako haitaonekana na hautothaminika wala kuheshimika bali utakuwa unachezewa mindgame ili wakuminye na kupata faida kwako.

Hawa wanaosema uchanganyike na ushirikiane na jamii sio kwamba wanafanya hivyo kwa moyo bali kwa pressure na kutegemea malipo baadae na expectations lakini moyoni ndani kabisa wanajua ukweli.
Huu uzi umejaa fakers, wanafiki, waoga wanaoogopa kupata matatizo na kuogopa kufa hivyo waenaishi kwa kuridhisha watu ili kupata misaada baadae, malipo na kutafuta huruma na kukubalika. hizi ni sifa za wanafiki na waoga wa maisha.

Watu wengi ni waoga na wanafki, ndio maana nasema fukc people fukc everybody else fukc these motherfukcers, Eminem na Wayne wanasema bitch you get "No Love."
 
Mapenzi ya mtu kwenda kuangalia mtu maarufu sio upumbavu?

Unasoma vitabu kujiongezea maarifa ili ukayatumie na nani na wewe hupendi kujichanganya?

Ngoja siku upate shida, utamjua jirani yako anaitwa nani.

Wewe ni antisocial na una tatizo la saikolojia
Kwa hiyo wewe unafanya kila unachokifanya kwa ajili ya watu sio sababu unapenda au kutoka moyoni bali sababu "unaogopa" siku ukipata shida hawatokuja kukusaidia?

Vipi wasipokuja kukusaidia utajisikiaje na utafanyaje?
 
Nahisi muanzisha uzi alichotarajia na alichopata ni tofauti katika uzi huu.

Karibia kila mchangiaji kampa za uso mshkaji.

Kama ni mwenye akili utaanza kubadili mfumo wa maisha yako hasa swala la kutojihusisha na mambo ya kijamii.
Kuna uwezakano wa kuwa private pasi kuathiri kujihusisha kwako na jamii hasa misiba.
Unaogopa kufa?
 
Na ndio lengo langu jamii yote inaniona tofauti
Nahisi muanzisha uzi alichotarajia na alichopata ni tofauti katika uzi huu.

Karibia kila mchangiaji kampa za uso mshkaji.

Kama ni mwenye akili utaanza kubadili mfumo wa maisha yako hasa swala la kutojihusisha na mambo ya kijamii.
Kuna uwezakano wa kuwa private pasi kuathiri kujihusisha kwako na jamii hasa misiba.
 
Hutu tu maneno maneno twa kizungu tumeleta matatizo sana siku hizi, maana kila mwenye kitabia chake cha ajabu anakitafutia jina la kizungu.

Kuna ubinafsi, uchoyo na kujiona bora kuliko wengine utasikia 'introvert.

Mcharuko, kuongea bila ya break, kila kitu kujua wewe, utasikia 'extrovert.

Jitu linabadilisha mahusiano kama nguo. Analalana ovyo na kila mtu, utasikia 'outgoing'.

Jitu halijielewi leo analala na mwanaume kesho mwanamke kesho kutwa mnyama utasikia 'bisexual'.

All in all uzungu umetuletea maneno ya kuhalalisha upumbavu kwa majina mazuri mazuri. Enzi za mababu zetu hutukusikia ujinga huu.

Wewe mtoa mada ni limbukeni wa maisha hakuna cha introvert wala nini. Subiri siku likutokee tatizo halafu uone kina Robert Greene waje kukusaidia.

Kila binadamu haijalishi uwezo wake wa kiuchumi anahitaji watu wengine kwa njia moja au nyingine.

Kuna baadhi ya mambo kwenye jamii yanaweza tatuliwa na watu wengine tu na si pesa yako wala kazi yako, mathalan kupatwa na janga la moto ghafla, sasa wewe na kujiona huna upuuzi wa kujichanganya unaweza jikuta umekuwa ndafu watu wakikuangalia tu.
Kwa hiyo wewe unafanya kila unachokifanya kwa ajili ya watu na jamii sio sababu unapenda au kutoka moyoni bali sababu "unaogopa" siku ukipata shida hawatokuja kukusaidia?

Vipi siku ukipata tatizo na wasipokuja kukusaidia utajisikiaje na utafanyaje?
Utaendelea kufanya unachokifanya kwenye jamii na watu au utaacha?
 
Mimi ni introvert........ila Kuna line nyembamba sana kati ya Introvert na arrogant au Pride lakini mkuu una Pride na arrogance

Mimi najitenga sababu najikuta sina story nakua bored haraka...Lakini haninyimi kushiriki kwenye event za kijamii huwa Kuna parts hata kufanya usafi na barakoa yangu au kwenda kunawisha watu maji

Nasoma vitabu sana lakini pia Nina Marafiki wachache naopata muda naongea nao....Nina mawazo makubwa ila kilicho akilini nakiwakilisha vizuri kwa kuandika kuliko kuzungumza

Nimekuwa nikipitia Changamoto Kazini wengi uniona Nina Pride na classes za watu naozungumza nao Sasa sababu sio wakwenda huku na huku kujitetea wengi wanaamini hvyo ingawa wachache wamenielewa

What i see mkuu unalelea muonekano wa Kiburi na arrogance Haitakiwi kuwa hivyo
Nakuuliza simple question: kwanini haitakiwi kuwa na kiburi na arrogance?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom