Mimi ni Introvert, jamii inanichukulia tofauti sana

Toka mitanganyika ijue neno introvert Sasa Kila mtu ni introvert.

Introversion ina trend duniani kote Kila mtu ni introvert sasa hawapo tena life of the party.

Mtu akiwa na tabia yeyote ya kipumbavu anadai sababu yeye ni introvert.

Afu lately hizi threads zimekua nyingi sana JF iziunganishe zote ziache kujaza homepage.

Vijana tafuteni pesa na tumieni akili sio kuiga Kila kitu Cha mizungu mwishowe mtaiga Hadi mambo ya kifirauni.
 
Kizungu kingine kimekuja juzi juzi na ndege za baba jenet zamani hakikuwepo

Toka mitanganyika ijue hili neno imekua patashika.

Watu hawana hela wanajidai introverts hawataki kutoka.

Ukiwa mpumbavu na zwazwa unajiita introvert tu.

Dunia ya Leo hakuna mtu hata mmoja anayedai yeye ni extrovert.
 
Bila shaka asilimia kubwa hapa mnatambua tabia za introvert, hizo tabia zimepelekea jamii inayo nizunguka kuniona ni mtu wa ajabu sana. Huenda ni sababu ya wao kukosa uelewa kuhusu watu walio katika kundi la Introvert. Hizi ni baadhi ya tabia zinazo wafanya wanione mtu wa tofauti sana kulinganisha na wao.

Sipendi kuchangamana na watu, yaani napenda niwe peke yangu mimi kama mimi. Na muda mwingi niko bize na simu yangu nikiperuzi JamiiForums, sijawahi kutumia Facebook, Instagram wala Twitter. Ata hii JamiiForums nilijiunga baada ya mara kwa mara kila nikisachi kule Google lazima itokee kwahiyo nikaona bora nijiunge. Kwahiyo mara nyingi niko na simu nikichoka kuperezu nachukua kitabu najisomea kwaajili ya kuongeza maarifa. Nasoma vitabu vilivyo andikwa na waandishi kama Robert Greene, Eric Jorgenson, James Clear, Daniel Carnegie, Robin Sharma, Robert Kiyosaki, Morgan Housel. Kwahiyo mara nyingi niko bize na kitabu sitaki kuwa karibu na watu kabisa.

Jambo linaweza tokea mtaani nawala nisiwe na habari nalo mi niko bize na mambo yangu. Mfano anaweza kuja mtu mashuhuri watu wakajazana kwenda kumuona lakini mimi sina huo upumbavu.

Ni mtu mkimya sana sina shobo na mtu na sitaki mazoea na mtu, niko bize na mambo yangu. Ata jirani yangu sijui anaitwa nani wala anajishughulisha na nini.

Siendi kwenye sherehe yoyote ile wala sihudhulii kwenye msiba wowote ule, kifupi sipendi kujichanganya na watu napenda niwe peke yangu nikitafakari mambo muhimu.

Najiamini na kujikubali sana, hii hali imepelekea jamii kuniona mtu mwenye dharau kwao. Hii sio sawa ila ndio njisi nilivyo. Tabia zinazo wafanya wanione tofauti ni nyingi sana hizo ni baadhi tu.

Je mwana introvert mwenzangu unapitia changamoto zipi katika jamii inayo kuzunguka.

Utofautishe kati ya introvert na Anti social ww n antisocial usijifariji na kuona uko sawa!!
eti msibani huendi harusini huendi, jirani yako humjuii ww uko na tatzo
Najua introvert wanakua na tatzo la kuchangamana na watu au kuwa waongeaji lakin c kwa haya uloongea ww
 
Mimi sio Introvert lakini naishi ninavyotaka na ngoja nikuonyeshe experience yangu na maisha ya jamii na uone jinsi gani huu uzi umejaa waoga, fakers na wanafiki. just goddamn cowards.
I had to learn the hard way, and it's painfully.

Hapo kabla ukiwa unaishi vizuri kwa kunyenyekea watu na kufanya kila mtu anachokitaka bila kusema hapana utaonekana mwema, gentleman na mtaratibu na kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na sifa za kijinga ili kukujaza kichwa, yaani kusema hapana hauwezi sababu unaogopa watu watanichukuliaje hivyo unakuwa "ndiyo mzee" au yes man. unadhani kila mtu ni mwema kama wewe na ana moyo kama wako WRONG!.

Watu watakutumia wanavyotaka sababu wanajua hauwezi kukataa (na nikukumbushe kitu watu wote ni washenzi au niseme people are assholes sio kila mtu ni mwema kama wewe na hauwezi kuwa mwema mbele ya washenzi au utakuwa unaumia mwenyewe).
Hivyo watakuendesha kama boya na mwisho wa siku wanakukimbia humuoni hata mmoja.

Na nikuhakikishie kitu. siku unapata tatizo hakuna kima hata mmoja atakuja kukusaidia, unapata shida hawa washenzi uliokuwa unadhani ni watu ndio watakuwa wa kwanza kukucheka na kusema yule alikuwa anajiona sana hata kama unakaribia kufa na wanasahau yote uliyowasaidia na kujitolea. watakushusha chini na kukukanyaga kama tambala la kufutia miguu mlangoni you become a doormat!! na wanakuwa na furaha sana wakikuona wewe unaumia naongea hili sio theory bali ni fukcing experience na reality check niliyoshuhudia mimi mwenyewe.

Hivyo hawa cowards wanaosema "ishi na watu vizuri" "jichanganye na watu" "unajiona bora na kujisikia" "arrogant and shit." hawa wote hawajawahi kupitia uhalisia wa maisha na kuona watu wanavyokubadilikia siku ukianguka hasa ukikutana na waswahili.

Haijalishi unafanya nini kamwe hauwezi kuridhisha kila mtu na hauwezi kupendwa na kila mtu na kamwe usijaribu kumridhisha mtu yoyote ishi kwa ajili yako sababu mwisho wa siku wote mtakufa tu. sasa wewe kuwa mjinga upoteze muda wako kwa ajili ya kufikiria yule mjinga atanifikiriaje, just fukc them!

Ishi na mtu kwa jinsi anavyokuja kama anaonyesha ushirikiano kwako basi nawewe utaonyesha ushirikiano kwake na sio vinginevyo. kama shida zipo tu na kufa kupo tu na kamwe usiishi in pressure na kumwachia mbuzi yoyote achukue pride yako na ashushe self esteem yako NEVER. usijishushe au thamani yako haitaonekana na hautothaminika wala kuheshimika bali utakuwa unachezewa mindgame ili wakuminye na kupata faida kwako.

Hawa wanaosema uchanganyike na ushirikiane na jamii sio kwamba wanafanya hivyo kwa moyo bali kwa pressure na kutegemea malipo baadae na expectations lakini moyoni ndani kabisa wanajua ukweli.
Huu uzi umejaa fakers, wanafiki, waoga wanaoogopa kupata matatizo na kuogopa kufa hivyo waenaishi kwa kuridhisha watu ili kupata misaada baadae, malipo na kutafuta huruma na kukubalika. hizi ni sifa za wanafiki na waoga wa maisha.

Watu wengi ni waoga na wanafki, ndio maana nasema fukc people fukc everybody else fukc these motherfukcers, Eminem na Wayne wanasema bitch you get "No Love."
Mazee Life la kitaa haliitaji ujuaji na kujiona wewe ndio wewe.

Zinapotea shida mtaani jichanganye mara kwa mara pia jichanganye na masela kitaa mara moja moja inapobidi unapokuwa haupo bize.

Kwamba fuvk em enh.....tumewaona wengi wadizaini yako kamanda hatupo America au Europe.
 
Bila shaka asilimia kubwa hapa mnatambua tabia za introvert, hizo tabia zimepelekea jamii inayo nizunguka kuniona ni mtu wa ajabu sana. Huenda ni sababu ya wao kukosa uelewa kuhusu watu walio katika kundi la Introvert. Hizi ni baadhi ya tabia zinazo wafanya wanione mtu wa tofauti sana kulinganisha na wao.

Sipendi kuchangamana na watu, yaani napenda niwe peke yangu mimi kama mimi. Na muda mwingi niko bize na simu yangu nikiperuzi JamiiForums, sijawahi kutumia Facebook, Instagram wala Twitter. Ata hii JamiiForums nilijiunga baada ya mara kwa mara kila nikisachi kule Google lazima itokee kwahiyo nikaona bora nijiunge. Kwahiyo mara nyingi niko na simu nikichoka kuperezu nachukua kitabu najisomea kwaajili ya kuongeza maarifa. Nasoma vitabu vilivyo andikwa na waandishi kama Robert Greene, Eric Jorgenson, James Clear, Daniel Carnegie, Robin Sharma, Robert Kiyosaki, Morgan Housel. Kwahiyo mara nyingi niko bize na kitabu sitaki kuwa karibu na watu kabisa.

Jambo linaweza tokea mtaani nawala nisiwe na habari nalo mi niko bize na mambo yangu. Mfano anaweza kuja mtu mashuhuri watu wakajazana kwenda kumuona lakini mimi sina huo upumbavu.

Ni mtu mkimya sana sina shobo na mtu na sitaki mazoea na mtu, niko bize na mambo yangu. Ata jirani yangu sijui anaitwa nani wala anajishughulisha na nini.

Siendi kwenye sherehe yoyote ile wala sihudhulii kwenye msiba wowote ule, kifupi sipendi kujichanganya na watu napenda niwe peke yangu nikitafakari mambo muhimu.

Najiamini na kujikubali sana, hii hali imepelekea jamii kuniona mtu mwenye dharau kwao. Hii sio sawa ila ndio njisi nilivyo. Tabia zinazo wafanya wanione tofauti ni nyingi sana hizo ni baadhi tu.

Je mwana introvert mwenzangu unapitia changamoto zipi katika jamii inayo kuzunguka.
Hiyo ni kawaida sana mkuu,watu lazima wakuone una dharau.Hata mimi mara nyingi sana niko busy na mambo yangu.Ukiletewa umbea mara nyingi wanashangaa kuwa wewe huna unachojua na wala hauko interested kabisa kujua habari za watu wengine.Wakati ule napiga vyombo nilikuwa nikiingia Bar napendelea sana kukaa kaunta,halafu mawazo yangu yanakuwa kwenye vitu vya ajabu sana,mtu akisogea kutaka kujoin huwa nilikuwa naona kama ni mzigo flani unaoniondolea starehe yangu,yani nilichokuwa nahitaji ni kukaa peke yangu nikiyatafakari maisha kwa kina sana.Ila hapo kwenye kuhudhuria misiba na vitu kama hivyo vya kijamii jitahidi kuhudhuria ingawa najua kwa introvert yoyote jinsi inavyokupa shida...
 
Umeongea point sana,ila najua yameshakukuta so you are talking through experience ya binadamu walivyo na tabia zao za kinafiki.Sijuti kuwa introvert hata siku moja na ninamshukuru Mungu kwa kunifanya niwe hivi kwani hakuna ninachpoteza,actually am happy for who i am...
 
@Marc Spector [emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni kawaida sana mkuu,watu lazima wakuone una dharau.Hata mimi mara nyingi sana niko busy na mambo yangu.Ukiletewa umbea mara nyingi wanashangaa kuwa wewe huna unachojua na wala hauko interested kabisa kujua habari za watu wengine.Wakati ule napiga vyombo nilikuwa nikiingia Bar napendelea sana kukaa kaunta,halafu mawazo yangu yanakuwa kwenye vitu vya ajabu sana,mtu akisogea kutaka kujoin huwa nilikuwa naona kama ni mzigo flani unaoniondolea starehe yangu,yani nilichokuwa nahitaji ni kukaa peke yangu nikiyatafakari maisha kwa kina sana.Ila hapo kwenye kuhudhuria misiba na vitu kama hivyo vya kijamii jitahidi kuhudhuria ingawa najua kwa introvert yoyote jinsi inavyokupa shida...
wee bwege kweli aisee, unataka kukaa peke yako bar halafu unenda kukaa counter sehemu ambayo ipo interacted na kila mtu kuanzia wahudumu na walevi wengine.ndio maana tunasema nyinyi ni ma antisocial.

siku nyingine ukienda bar na unahitaji privacy au hiyo kukaa alone, mwambie muhudumu wa bar akutengee meza yako pembeni kabisa kwenye kona ya bar.
 
Introverts wa ukweli hawana muda wa kuandika li uzi lirefu hivi sababu huwa hawana muda wa kuwaelezea watu juu ya hisia zao, habari zao n.k
 
wee bwege kweli aisee, unataka kukaa peke yako bar halafu unenda kukaa counter sehemu ambayo ipo interacted na kila mtu kuanzia wahudumu na walevi wengine.ndio maana tunasema nyinyi ni ma antisocial.

siku nyingine ukienda bar na unahitaji privacy au hiyo kukaa alone, mwambie muhudumu wa bar akutengee meza yako pembeni kabisa kwenye kona ya bar.
Kwahiyo bwege ni mimi au wewe?vile viti pale counter waliviweka kwa sababu gani,acha kuishi kwa kukariri,najua una exposure ndogo sana ndio maana unaongea hayo....
 
Bila shaka asilimia kubwa hapa mnatambua tabia za introvert, hizo tabia zimepelekea jamii inayo nizunguka kuniona ni mtu wa ajabu sana. Huenda ni sababu ya wao kukosa uelewa kuhusu watu walio katika kundi la Introvert. Hizi ni baadhi ya tabia zinazo wafanya wanione mtu wa tofauti sana kulinganisha na wao.

Sipendi kuchangamana na watu, yaani napenda niwe peke yangu mimi kama mimi. Na muda mwingi niko bize na simu yangu nikiperuzi JamiiForums, sijawahi kutumia Facebook, Instagram wala Twitter. Ata hii JamiiForums nilijiunga baada ya mara kwa mara kila nikisachi kule Google lazima itokee kwahiyo nikaona bora nijiunge. Kwahiyo mara nyingi niko na simu nikichoka kuperezu nachukua kitabu najisomea kwaajili ya kuongeza maarifa. Nasoma vitabu vilivyo andikwa na waandishi kama Robert Greene, Eric Jorgenson, James Clear, Daniel Carnegie, Robin Sharma, Robert Kiyosaki, Morgan Housel. Kwahiyo mara nyingi niko bize na kitabu sitaki kuwa karibu na watu kabisa.

Jambo linaweza tokea mtaani nawala nisiwe na habari nalo mi niko bize na mambo yangu. Mfano anaweza kuja mtu mashuhuri watu wakajazana kwenda kumuona lakini mimi sina huo upumbavu.

Ni mtu mkimya sana sina shobo na mtu na sitaki mazoea na mtu, niko bize na mambo yangu. Ata jirani yangu sijui anaitwa nani wala anajishughulisha na nini.

Siendi kwenye sherehe yoyote ile wala sihudhulii kwenye msiba wowote ule, kifupi sipendi kujichanganya na watu napenda niwe peke yangu nikitafakari mambo muhimu.

Najiamini na kujikubali sana, hii hali imepelekea jamii kuniona mtu mwenye dharau kwao. Hii sio sawa ila ndio njisi nilivyo. Tabia zinazo wafanya wanione tofauti ni nyingi sana hizo ni baadhi tu.

Je mwana introvert mwenzangu unapitia changamoto zipi katika jamii inayo kuzunguka.
kwa tabia hizo,ipo siku utahamia chooni mazima!!!!, nasijui utafanyaje??? manake nako kuna mende na nzi!!!....anya way hamia chooni uwape kampani mende,inzi na panya......
 
Mazee Life la kitaa haliitaji ujuaji na kujiona wewe ndio wewe.

Zinapotea shida mtaani jichanganye mara kwa mara pia jichanganye na masela kitaa mara moja moja inapobidi unapokuwa haupo bize.

Kwamba fuvk em enh.....tumewaona wengi wadizaini yako kamanda hatupo America au Europe.
Wewe ndio walewale hata mwandiko wako unasema hivyo, ufanye unachosema alafu baadae uje kuanguka ili uje kucheka na useme ulijifanya mjuaji wewe sasa kula jeuri yako. marufuku kujitia wema mbele ya wanafiki.

Kabla ulikuwa unaogopa kusema chochote sababu unaogopa kuonekana mjuaji but not now.
Mimi sioni tabu kujiona mjuaji au kuambiwa mjuaji na nafanya makusudi ili butthurt na wanafiki nione wataniambia nini "Anajifanya mjuaji na kiburi yule jamaa" just suck it I don't fu**king care anymore. and why does it matter?

Mimi ndio mjuaji mimi ndio mimi sawa now what?
Life is a bitch but society is twice of that.
 
Kuna vitu sio vyakujisifu kabisa! Ati ahuzulii misiba mara akija mtu mashuhuri huendi kwani hauna huo upumbavu!..

Mi nafikiri Kuna tatizo kwenye ubongo wako ukikua utajua umuhimu wa kuchangamana na jamii.

Kwa mtu mwenye akili timamu hivi vitu lazima viwe balance upo upande wa mambo yako na upande wa jamii,Kama unajiona wewe ni Bora Sana kaishi msituni huko!.

Mnapokuwa mkuwe na akili sio mnakuwa miili tu.
Hiyo kijana ni shoga kwa maelezo yake

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom