Mimi ni Introvert, jamii inanichukulia tofauti sana

Daaah...una majivuno halafu unajiona umesoma sana.
Tatizo liko wapi hapo?
Unataka na mimi ni kujudge uone inavyokuwa?

Yaani ningekuwa mimi ndio mleta mada ningefurahi sana kuona mtu ananiambia maneno kama haya.
Samething na nilichokiandika pale juu yaani ndio walewale.
 
Mimi sio Introvert lakini naishi ninavyotaka na ngoja nikuonyeshe experience yangu na maisha ya jamii na uone jinsi gani huu uzi umejaa waoga, fakers na wanafiki. just goddamn cowards.
I had to learn the hard way, and it's painfully.

Hapo kabla ukiwa unaishi vizuri kwa kunyenyekea watu na kufanya kila mtu anachokitaka bila kusema hapana utaonekana mwema, gentleman na mtaratibu na kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na sifa za kijinga ili kukujaza kichwa, yaani kusema hapana hauwezi sababu unaogopa watu watanichukuliaje hivyo unakuwa "ndiyo mzee" au yes man. unadhani kila mtu ni mwema kama wewe na ana moyo kama wako WRONG!.

Watu watakutumia wanavyotaka sababu wanajua hauwezi kukataa (na nikukumbushe kitu watu wote ni washenzi au niseme people are assholes sio kila mtu ni mwema kama wewe na hauwezi kuwa mwema mbele ya washenzi au utakuwa unaumia mwenyewe).
Hivyo watakuendesha kama boya na mwisho wa siku wanakukimbia humuoni hata mmoja.

Na nikuhakikishie kitu. siku unapata tatizo hakuna kima hata mmoja atakuja kukusaidia, unapata shida hawa washenzi uliokuwa unadhani ni watu ndio watakuwa wa kwanza kukucheka na kusema yule alikuwa anajiona sana hata kama unakaribia kufa na wanasahau yote uliyowasaidia na kujitolea. watakushusha chini na kukukanyaga kama tambala la kufutia miguu mlangoni you become a doormat!! na wanakuwa na furaha sana wakikuona wewe unaumia naongea hili sio theory bali ni fukcing experience na reality check niliyoshuhudia mimi mwenyewe.

Hivyo hawa cowards wanaosema "ishi na watu vizuri" "jichanganye na watu" "unajiona bora na kujisikia" "arrogant and shit." hawa wote hawajawahi kupitia uhalisia wa maisha na kuona watu wanavyokubadilikia siku ukianguka hasa ukikutana na waswahili.

Haijalishi unafanya nini kamwe hauwezi kuridhisha kila mtu na hauwezi kupendwa na kila mtu na kamwe usijaribu kumridhisha mtu yoyote ishi kwa ajili yako sababu mwisho wa siku wote mtakufa tu. sasa wewe kuwa mjinga upoteze muda wako kwa ajili ya kufikiria yule mjinga atanifikiriaje, just fukc them!

Ishi na mtu kwa jinsi anavyokuja kama anaonyesha ushirikiano kwako basi nawewe utaonyesha ushirikiano kwake na sio vinginevyo. kama shida zipo tu na kufa kupo tu na kamwe usiishi in pressure na kumwachia mbuzi yoyote achukue pride yako na ashushe self esteem yako NEVER. usijishushe au thamani yako haitaonekana na hautothaminika wala kuheshimika bali utakuwa unachezewa mindgame ili wakuminye na kupata faida kwako.

Hawa wanaosema uchanganyike na ushirikiane na jamii sio kwamba wanafanya hivyo kwa moyo bali kwa pressure na kutegemea malipo baadae na expectations lakini moyoni ndani kabisa wanajua ukweli.
Huu uzi umejaa fakers, wanafiki, waoga wanaoogopa kupata matatizo na kuogopa kufa hivyo waenaishi kwa kuridhisha watu ili kupata misaada baadae, malipo na kutafuta huruma na kukubalika. hizi ni sifa za wanafiki na waoga wa maisha.

Watu wengi ni waoga na wanafki, ndio maana nasema fukc people fukc everybody else fukc these motherfukcers, Eminem na Wayne wanasema bitch you get "No Love."
Gota kush Man[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hizi post about introvert huwa nazipita ila Leo nimepata kitu .inaonekana Mimi naweza kuwa mmoja wao pia.
1.sipendi kuzoea na watu kwa haraka haraka
2.naweza jua jambo ila vizuri in deep ila siwezi kulielezea vizuri Kwa kuongea.
3.SINA MARAFIKI KABISA, watu baadhi niliosoma nao zamani walikuwa Marafiki sio deep ila baada ya kuona Wana unafiki,so Hadi leo Sina Rafiki hata mmoja .
4.Huwa napenda kusoma vitabu
5.Huwa napenda Sana kujua Mambo ya kale yalikuwaje ,uumbaji wa dunia, nature ,sayari na elimu zinazofanana na Hizo
6.kila jambo linalotokea Duniani huna nathink na kufind Kama was happen to Bible
7.Huwa napenda Sana watu wawe na Amani wasiwe wagomvi ila sometimes huwa nakuwa na chuki na watu pia
8.Sipendi watu wanafiki kabisa.
9.ingawa nimesoma Hadi elimu ya masters ila Sina interest kabisa hata tone la kuajiriwa
10.Naweza shinda ndani nione poa tu hata nisipotoka nje.
11. Napenda Sana mitandao ya kijamii kwa wastani ..Kuna habari nikizikuta nakuwa interested Sana hasa za watu wabunifu, matukio sijawahi yasikia .ila sipendi habari za umbea kabisa sijui bongo fleva or movie etc ..na huwa siwaaapreciate wasanii wengi naona Kama hakuna kitu wanafanya na wahuni wahuni.
12.nina uelewa wa vitu vingi , ninajua maeneo mengi Sana kupitia google maps ni Kama ipo kichwani ..ukiniuliza umbali kutoka sehemu Fulani Hadi Fulani naweza kukwambia exactly km
13.HOBBIE YANGU KUBWA nayoipenda ni Running mazoezi ya kukimbia ..na nafurahi nikipata sifa kuwa nimekimbia kwa speed kubwa na umbali mrefu...hobbies hii imenifanya Kama kitu nakipenda naweza itafuta hiyo pesa lazima ninunue Kama raba za kukimbilia za Bei mbaya etc
14.Sipendi Sana mtu anaeiga iga.
15.napenda watoto Sana hasa wale wadogo Sana
16.NI NGUMU SANA kunikuta nachangia mada popote iwe kwenye daladala, au mikutano au kikundi Cha watu..Nina aibu sanaaaa
17.ukitaka niwe interest nawe nieleze story za kunifanya supprise..hasa mimea,wanyama, sayari, Mambo ya kale, secrets mbali mbali ,jinsi dunia inavyokwenda na principle zake...ukitaka unikere niambie habari za Simba na Yanga au bongo movie au fleva utanichefua
Me au Ke?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mimi sio Introvert lakini naishi ninavyotaka na ngoja nikuonyeshe experience yangu na maisha ya jamii na uone jinsi gani huu uzi umejaa waoga, fakers na wanafiki. just goddamn cowards.
I had to learn the hard way, and it's painfully.

Hapo kabla ukiwa unaishi vizuri kwa kunyenyekea watu na kufanya kila mtu anachokitaka bila kusema hapana utaonekana mwema, gentleman na mtaratibu na kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na sifa za kijinga ili kukujaza kichwa, yaani kusema hapana hauwezi sababu unaogopa watu watanichukuliaje hivyo unakuwa "ndiyo mzee" au yes man. unadhani kila mtu ni mwema kama wewe na ana moyo kama wako WRONG!.

Watu watakutumia wanavyotaka sababu wanajua hauwezi kukataa (na nikukumbushe kitu watu wote ni washenzi au niseme people are assholes sio kila mtu ni mwema kama wewe na hauwezi kuwa mwema mbele ya washenzi au utakuwa unaumia mwenyewe).
Hivyo watakuendesha kama boya na mwisho wa siku wanakukimbia humuoni hata mmoja.

Na nikuhakikishie kitu. siku unapata tatizo hakuna kima hata mmoja atakuja kukusaidia, unapata shida hawa washenzi uliokuwa unadhani ni watu ndio watakuwa wa kwanza kukucheka na kusema yule alikuwa anajiona sana hata kama unakaribia kufa na wanasahau yote uliyowasaidia na kujitolea. watakushusha chini na kukukanyaga kama tambala la kufutia miguu mlangoni you become a doormat!! na wanakuwa na furaha sana wakikuona wewe unaumia naongea hili sio theory bali ni fukcing experience na reality check niliyoshuhudia mimi mwenyewe.

Hivyo hawa cowards wanaosema "ishi na watu vizuri" "jichanganye na watu" "unajiona bora na kujisikia" "arrogant and shit." hawa wote hawajawahi kupitia uhalisia wa maisha na kuona watu wanavyokubadilikia siku ukianguka hasa ukikutana na waswahili.

Haijalishi unafanya nini kamwe hauwezi kuridhisha kila mtu na hauwezi kupendwa na kila mtu na kamwe usijaribu kumridhisha mtu yoyote ishi kwa ajili yako sababu mwisho wa siku wote mtakufa tu. sasa wewe kuwa mjinga upoteze muda wako kwa ajili ya kufikiria yule mjinga atanifikiriaje, just fukc them!

Ishi na mtu kwa jinsi anavyokuja kama anaonyesha ushirikiano kwako basi nawewe utaonyesha ushirikiano kwake na sio vinginevyo. kama shida zipo tu na kufa kupo tu na kamwe usiishi in pressure na kumwachia mbuzi yoyote achukue pride yako na ashushe self esteem yako NEVER. usijishushe au thamani yako haitaonekana na hautothaminika wala kuheshimika bali utakuwa unachezewa mindgame ili wakuminye na kupata faida kwako.

Hawa wanaosema uchanganyike na ushirikiane na jamii sio kwamba wanafanya hivyo kwa moyo bali kwa pressure na kutegemea malipo baadae na expectations lakini moyoni ndani kabisa wanajua ukweli.
Huu uzi umejaa fakers, wanafiki, waoga wanaoogopa kupata matatizo na kuogopa kufa hivyo waenaishi kwa kuridhisha watu ili kupata misaada baadae, malipo, kutafuta huruma na kukubalika. hizi ni sifa za wanafiki na waoga wa maisha.

Watu wengi ni waoga na wanafki, ndio maana nasema fukc people, fukc everybody else, fukc these motherfukcers, Eminem na Wayne wanasema bitch you get "No Love."

Watu wameupita lakini huu ndio ukweli halisi.. Ukipata mtu atakaekushikilia kama mama yako mzazi bhasi huyo ni rafiki wa maisha

Hawa majirani na hizo lousy relationships zitakusaidia kwenye msiba wa siku moja au mbili na unaweza kuta unajaza watu wanaokuja kupiga menyu pia.. Ila kwenye ugonjwa wa kuuguza wiki au miezi

Wiki ikikatika hutooana mtu..

Kuishi na watu vizuri ni kitu basic ila sio ndo useme yakikufika makubwa unakuwa na assurance. HAPANA

Na haya sio maneno ya kusikia, nimejionea kwa macho yangu mwenyewe
 
Kila binadamu hapa duniani lazima awe na muda/ kipindi ambacho hukaa mwenyewe hasa kwenye kufanya evaluation ya mambo yake, kutafakari mambo mapya, kujutia mistakes zake na mambo kama hayo.

Hiyo siyo kigezo cha kutokujichanganya na watu wengine, binafsi yangu ni muongeaji sana japo sio sana, napenda kujuana na watu wapya kwaajili ya connection, baadhi yao walikua msaada na wengine walizingua sana, mwisho wa siku napata maumivu nakaa mwenyewe najitafakari na kufanya maamuzi mengine ya kutafuta watu wengine maisha yaendelee.

Sasa hapo kwenye kujitafakari watu wengi huchanganya na kusema wao ni introvert kitu ambacho sio sahihi [emoji23][emoji23][emoji23] ni kipindi fulani tuu cha ku meditate na utulivu wa moyo na kupanga mipango mipya.

Hebu tujiulize kabla elimu ya sijui introvert mara extrovert hazijaja, inamaana watu tulikua hatutafakari..? , Sisi ni waafrika ni kweli kila mmoja anatabia yake, makuzi yake na mapendeleo yake, jamii ni sehemu yetu, tuwe na mtu mmoja wa kupiga stori, kama ni mtu wa jogging tafuta mtu mmoja wa kukupa kampani, kama ni mtu wa music tafuta mtu mmoja ambaye mtakuwa partners, hizi psychological behaviors siyo zetu, tuzipuuze na baadae sasa turudi kwenye misingi yetu ya kale

Mwisho sasa mtoa mada, suicidal cases nyingi wahanga wake ni hao so called introvert ( siku attack) ila tafuta hata watu wawili ikishindikana tafuta mmoja ambaye day won't pass kama hamjachekiana, kama ni kwenye misiba nenda nae, kama ni kwenye sherehe nenda nae regardless of gender mkiwa wote mtakuwa na something common to share each other utakuja kinishukuru

Kyala akusajhe... Pitasi.
 
Siendi kwenye sherehe yoyote ile wala sihudhulii kwenye msiba wowote ule, kifupi sipendi kujichanganya na watu napenda niwe peke yangu nikitafakari mambo muhimu.

Najiamini na kujikubali sana, hii hali imepelekea jamii kuniona mtu mwenye dharau kwao. Hii sio sawa ila ndio njisi nilivyo.

Mazingira bado yana nafasi kubwa ya kukufundisha,,,, Jipe muda tu yatakufundisha...
 
Goddamnit don't be a silly little girl. Unajua maana ya free country? nani ana mamlaka ya kumfukuza mwenzake nchini hapa?

Hii ni nchi huru hakuna anayeishi kwa ajili ya mwenzake na kila mtu ataishi anavyotaka mradi havunji sheria kama akivunja sheria then mamlaka husika zipo hatupo enzi za ujima.

Yaani mimi ninunue kiwanja na kujenga kwa pesa yangu alafu mbuzi mmoja aje kunifukuza kisa siishi anavyotaka yeye?
What the hell is this? niamini kama ungekuwa unaniambia mimi hayo maneno na upo karibu yangu ningekutandika makofi ya kutosha akili ikae sawa.
Unamwandikia nani insha
 
Hizi post about introvert huwa nazipita ila Leo nimepata kitu .inaonekana Mimi naweza kuwa mmoja wao pia.
1.sipendi kuzoea na watu kwa haraka haraka
2.naweza jua jambo ila vizuri in deep ila siwezi kulielezea vizuri Kwa kuongea.
3.SINA MARAFIKI KABISA, watu baadhi niliosoma nao zamani walikuwa Marafiki sio deep ila baada ya kuona Wana unafiki,so Hadi leo Sina Rafiki hata mmoja .
4.Huwa napenda kusoma vitabu
5.Huwa napenda Sana kujua Mambo ya kale yalikuwaje ,uumbaji wa dunia, nature ,sayari na elimu zinazofanana na Hizo
6.kila jambo linalotokea Duniani huna nathink na kufind Kama was happen to Bible
7.Huwa napenda Sana watu wawe na Amani wasiwe wagomvi ila sometimes huwa nakuwa na chuki na watu pia
8.Sipendi watu wanafiki kabisa.
9.ingawa nimesoma Hadi elimu ya masters ila Sina interest kabisa hata tone la kuajiriwa
10.Naweza shinda ndani nione poa tu hata nisipotoka nje.
11. Napenda Sana mitandao ya kijamii kwa wastani ..Kuna habari nikizikuta nakuwa interested Sana hasa za watu wabunifu, matukio sijawahi yasikia .ila sipendi habari za umbea kabisa sijui bongo fleva or movie etc ..na huwa siwaaapreciate wasanii wengi naona Kama hakuna kitu wanafanya na wahuni wahuni.
12.nina uelewa wa vitu vingi , ninajua maeneo mengi Sana kupitia google maps ni Kama ipo kichwani ..ukiniuliza umbali kutoka sehemu Fulani Hadi Fulani naweza kukwambia exactly km
13.HOBBIE YANGU KUBWA nayoipenda ni Running mazoezi ya kukimbia ..na nafurahi nikipata sifa kuwa nimekimbia kwa speed kubwa na umbali mrefu...hobbies hii imenifanya Kama kitu nakipenda naweza itafuta hiyo pesa lazima ninunue Kama raba za kukimbilia za Bei mbaya etc
14.Sipendi Sana mtu anaeiga iga.
15.napenda watoto Sana hasa wale wadogo Sana
16.NI NGUMU SANA kunikuta nachangia mada popote iwe kwenye daladala, au mikutano au kikundi Cha watu..Nina aibu sanaaaa
17.ukitaka niwe interest nawe nieleze story za kunifanya supprise..hasa mimea,wanyama, sayari, Mambo ya kale, secrets mbali mbali ,jinsi dunia inavyokwenda na principle zake...ukitaka unikere niambie habari za Simba na Yanga au bongo movie au fleva utanichefua

7 & 15 tupo pamoja
 
Nyie watoto mkifika umri wa miaka 40 ndio mtaelewa maisha ni nini kwa sasa endeleeni kujiita maintrovert
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom