GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,859
- Thread starter
-
- #21
🙏🙏🙏Mimea Huhisi Maumivu Katika Quran
Januari 21, 2023 Miujiza ya Quran
Mimea Huhisi Maumivu Katika Quran
Quran 17:44
Zinamtakasa mbingu saba na ardhi na vilivyomo ndani yake. Na hakuna chochote isipokuwa kinamtukuza Mwenyezi Mungu kwa sifa zake, lakini nyinyi hamufahamu jinsi wanavyotakasika. Hakika Yeye ni Mpole na Msamehevu.
📖 Quran 22:18
Je, huoni kwamba vinamsujudia Mwenyezi Mungu vilivyomo mbinguni na vilivyomo ardhini na jua na mwezi na nyota na milima na miti na viumbe vinavyotembea na watu wengi ? Lakini juu ya wengi adhabu imehalalishwa. Na ambaye Mwenyezi Mungu amemdhalilisha, hana wa kumstahi. Hakika Mwenyezi Mungu hufanya apendavyo.
- Imethibitishwa kisayansi kwamba mimea hutoa machozi au maji ili kujilinda kutokana na athari mbaya za bakteria na kuvu. Madhumuni ya maji haya ni kupigana na vimelea vya magonjwa, kudhibiti na kudumisha viwango vya unyevu vyema kwenye majani, na kwa usafiri wa virutubisho kwenye mmea.
- Rejea : Je, Mimea Hulia?
- Mimea Marejeleo Ina Hisia Pia
Taarifa za ziada
Quran inachukuliwa kuwa kitabu cha miujiza kutokana na uwezo wake unaotambulika wa kutoa mwongozo, hekima, na kutabiri matukio yajayo. Ufasaha wake na uzuri wake wa kifasihi pia huchukuliwa kuwa miujiza na wengi. Zaidi ya hayo, Waislamu wanaamini kwamba Quran ina habari za kisayansi ambazo hazikujulikana wakati ilipoteremshwa na kwamba huo ni ushahidi wa asili yake ya kimungu. Hii ni pamoja na habari juu ya embryology, astronomy, na nyanja zingine za sayansi, Waislamu wanaamini kwamba uhifadhi wa Quran na ukweli kwamba imebaki bila kubadilika kwa zaidi ya miaka 1400 pia ni muujiza.
Aisee! Ningeishia kusema "MUNGU NI MKUU!"Sasa kama ungekutana na hii inayotembea si unge bongonyoka kabisa?
View attachment 2775952
Yaani niugharamie mimi halafu matunda uyapeleke kwa jirani? Sitauruhusu!!!Ngoja mmea wako ukue uvuke na fensi uende kwa jirani ako ndio utajua kua mmea. Una akili au akili una mmea.
Bado hujasema.
Mkuu FaizaFoxy, nashukuru kwa hizo link. Nimezipitia nikazidi kushangaaa😀😀😀
Kweli kabisa! Nimeshangaa, na naendelea kushangaa!Na atashangaa sana
Mkuu, mimea inakula "wanyama?" Ina mfumo ya kuweza kumeng'enya wadudu?Mimea ina nguvu ndani yake,ipo mimea usinyaa ikiguswa,ipo mimea hula wadudu akitua tu inajifunga analiwa,ipo mimea ina nguvu za kuzuia nguvu za wachawi na majini wasiweze kuingia eneo nyumba au shamba.
Ipo mimea inayovutia nyoka na isiyovutia pia.
Ipo mimea ndani ya nyumba kama hakuna amani haikui inasainyaa,ipo mimea uleta bahati,nk
Nahisi wewe ni msoja!Huku machakani tunatumia mimea kugundua planted mines (Mabomu) katika eneo husika.
Bioengineered.
Mimea ina kitu kinachosense stimuli mbali mbali.
Mfano Geotropisim - Mmea huelekea upande tofauti na nguvu ya uvutano wa Dunia na Jua.
Phototropisim - Mmea hukua kuelekea uelekeo wenye mwanga wa jua.
Mmea umeumbwa na uwezo wa ku sense mimea iliyo jirani kwa kutumia vitu kama vile kivuli kutambua kusa kuna mmea jirani hivyo kuufuata.
Atakua anatumia kijana sio kileounatumia kileo mkuu
Na utasemaKweli kabisa! Nimeshangaa, na naendelea kushangaa!
Ipande mpwa mix colors zote nyumbani utapaona kama paradise....sema migumu kidogo kuota ukiwa na dhambi flaniflani haioti ukipanda😁🙏🙏🙏
Nimeipenda hiyo "mibourganville"
Mimea ina utambuzi wa dhambi? Dhambi gani labda?Ipande mpwa mix colors zote nyumbani utapaona kama paradise....sema migumu kidogo kuota ukiwa na dhambi flaniflani haioti ukipanda😁
😀Je mumea hauhisi maumivu unapokatwa?[emoji16]
Swali lako la ajabu! Unajua akili nini hadi mimea iwe na akili?Hapana mkuu. Nini kimekushangaza?